Wewe unafanya nini hapo mahakamani wakati wenzako wanajaza fomu za uanachama kule Chauma tayari kula pesa za mama Abdul. Hapo sio mahali pako nenda kule chauma ukale ubwabwa wa Rungwe.
Mbowe je?Lissu ni Shujaa
Aliropoka Kipi utotoh2002Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
muhalifu ni muhalifu tu,Utakuwa Tomaso bandia,we ni mgeni nchi hii!Huoni ulivyo kinyume na mada!Angelia changizo la Mzalendo,TAL,hata Magereza wanakenua!Ficha aibu Yako!
Huyu jamaa noma sana...Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
It's a nonsense to a nonsense empty set person like you and your evil collegues..muhalifu ni muhalifu tu,
hata aende na makamani na library au bookshop ya vitabu vya sheria, ni nonsense gentleman.
hiyo haiondoi makosa yako yanayokufanya usote korokoroni
calm down and relax gentleman,It's a nonsense to a nonsense empty set person like you and your evil collegues..
Akili unazo,ila unajitia MLA miraa!Ngoja mageuzi yaja soon, Akili itakurudi!muhalifu ni muhalifu tu,
hata aende na makamani na library au bookshop ya vitabu vya sheria, ni nonsense gentleman.
hiyo haiondoi makosa yako yanayokufanya usote korokoroni
Nduguye mwashambwa.It's a nonsense to a nonsense empty set person like you and your evil collegues..
Safari hii hela za Uchawa mtajengea chooni!calm down and relax gentleman,
that's nature of the truth.
kua mstahimilivu na polepole utazoea tu
Aliropoka Kipi utotoh2002
punguza spidi ya uropokaji gentleman ikiwa huna hojaSafari hii hela za Uchawa mtajengea chooni!
Not me!!!!! Ask your neighbor 😀😜Unaliwa na Wasira
lofa kujiexpress ati una akili ni nonsense mbele ya wadau makini wa JF gentleman, relax tu banaAkili unazo,ila unajitia MLA miraa!Ngoja mageuzi yaja soon, Akili itakurudi!
Wewe ndiwe mjinga kwa sababu unadhani kila kuzungumza kwa ukali kwa kutumia maneno mliyofundishwa na babu zenu kuwa ni "taboo" kuyatumia, basi ni uropokaji...Angalia ile video ndugu
Nakubaliana na wewe zile risasi sio rahisi kuponaLissu sio mtu wa kawaida kabisa. Kuna nguvu kubwa sana nyuma ambayo haiwezi kuonekana kwa macho ya kibinadamu.
Kuna member humu alimwita ZEZETA so asikuhumize kichwa bureUtakuwa Tomaso bandia,we ni mgeni nchi hii!Huoni ulivyo kinyume na mada!Angelia changizo la Mzalendo,TAL,hata Magereza wanakenua!Ficha aibu Yako!
Unafikiria kwa kutumia utumbo moana bila shaka, Kuongea ukweli ndio kuropoka?Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Unafikiria kwa kutumia utumbo moana bila shaka, Kuongea ukweli ndio kuropoka?