PreGE2025 Tundu Lissu atinga Mahakama ya Kisutu kibabe akiwa na begi la vitabu, asema wameyataka wenyewe hivyo watayapata

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Acheni ujinga. Tafsiri ya neno kuropoka ni speak without thinking au talk nonsense. Kikwebo unachokifikiri na kuhisi hakipo kabisa. Tuliza halmashauri ya kichwa chako.
 
mkulimamiwa hayo ni matokeo ya nidhamu ya uwoga ambayo watu wengi wasiojitambua wamepandikizwa tokea wakiwa watoto kuanzia shule walizosoma na sehemu wanazoabudu.

Shuleni/Vyuoni unafunzwa OBEY OR FAIL. Kanisani/misikitini unafunzwa OBEY OR HELL na serikali/mamlaka inakwambia OBEY OR JAIL.
 
Rekebisha kichwa cha mada tafadhali.

Sio vitabu vile.

Ni maripoti ya matume ya Rais ya kina Warioba kama evidence ya wanayomshtaki kuyatamka, ikiwemo majaji corrupt, mahakama mbovu, sio huru.

Maripoti yaliyotengenezwa kwa fedha na wataalam walioombwa na serikali.
 
Kuijui sheria kuna raha yake,unajua kabisa kwa haya mashotaka wanakupotezea muda tu unatoboa.

Akina Singasinga na Rugemalila pamoja na kuwa na pesa za kulipa mawakili daraja la kwanza ila walikuwa wanatia huruma hapo Kisutu.
Magu alikuwa hapendi kabisa Sheria na mawakili. Alikuwa anasema mtu akikamatwa aende moja kwa moja jela, mahakamani ni kupoteza muda
 
Ila Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!

Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
🚮🚮🚮
 
Namba 4 na 5 nadhani ndio sahihi zaidi kwake
 
Huu ushauri ungewapa askari tangia mwazo, watu wasingeumizwa bila ya sababu za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…