900 Itapendeza zaidi
JF-Expert Member
- Nov 19, 2017
- 9,485
- 11,556
dah nimefurahi sana ila kuna watu wana-public attention hadi rahaNatamani ajiteee mwenyewe badala ya mawakili asaidie na Kibatala
saa100 angelala tu ndani siku mbili nafikiri tunge ongea mengineLissu ni Shujaa
hakika nashangaa katika hilo kwanini watawala wametiwa giza machoniLissu anaonekana ni mtu ambae hana noma na Mtu ni vile ni mtu wa Kupenda haki basi ndo kosa lake
kutukana mtumishi wa Mungu ni laana, jihadhari sana na hilo.👿 Yani wewe natamani nikutukane bahati yako…!!
inategemea unamtafsirijeIla Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Inafurahisha 😂Siyo kisomi bali kitaaluma! Wewe siyo mmakinifu!
c waliyatakaWatayapata!!neno gumu sana!
Magu alikuwa hapendi kabisa Sheria na mawakili. Alikuwa anasema mtu akikamatwa aende moja kwa moja jela, mahakamani ni kupoteza muda
Zile risasi zilikosea sana kuacha kichwa bila mkwaruzo.Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Miongoni mwa mambo aliyofanya ni kutoa salamu ya No reforms, no election, kuwaambia wafuasi wake kuwa wapo vizuri lazima kesi yake iendeshwe hadharani kwenye mahakama ya wazi.
Pia anaonekana yupo imara sana, mwingi wa furaha. Amesema waliomshtaki wameyataka wenyewe hivyo watayapata.
Pia soma
Tazama makachero wetu wa magereza wanasumbuliwa bure, kutumia pesa nyingi kwa kesi ambayo ilikuwa sio lazima.Lissu ni kama Mtu ambae yupo Gifted, Jamaa Ni kama amebeba maono ivi
Tumezoea uongo.Kusema ukweli sio uropokaji
MarvelousIncredible!
He is strong from inside outIla Lisu aongeze busara kidogo; I like him, angeacha uropokaji angekuwa the best! Basi tu Mungu awezi kukupa kila kitu, I pray for him!
Hapo Mahakamani karopoka sana na ushabiki wa hovyo kabisa! Nimeona aibu Mimi, I real like him!
Bibi kidude ana mission ya kulipa kisasiTunapoteza rasilimali nyingi, tunaharibu taswira ya nchi yetu kwa ajili ya kudeal na kesi ya kawaida kabisa ambayo tumeamua kuifanya kuwa kubwa tu bila kujali image yetu.
Sijui kama tunafikiria sawa sawa kama tunafikiria sawa sawa basi tumeamua kuharibu jina la zuri la Tanzania kwa maslahi binafsi.
Sikutegemea kama siku moja tutakuwa level moja na nchi za Uganda,Rwanda,Burundi, Sudan maana Tanzania imekuwa kisima cha ukombozi daima leo watu watakuja kujifunza namna magomvi, crashing, excessive use of force.
Tujisahihishe kabla hatujaharibu jina letu zaidi.
Muhimu ni vitabuMwandishi asante ila unatuchanganya, ukitumwa begi utaleta lile? Sema ametinga na shangazikaja la vitabu eboo!