Uchaguzi 2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

Aisee kumbe ni Yeye. Wasiojilikana kumbe wanajuliakana
Namuomba YEHODAYA ajitokeze tena na akane kuwa hayo si kweli aliyaandika humu Jamii Forums, namsingizia tu. Uzuri wa hii mitandao ni kwamba huwezi kufuta ulicho-post, unaweza kujidanganya umefuta lakini huko mawinguni maandishi yako yatabaki tu upende usipende. Si hivyo tu waliokuwa Jamii Forums wakati huo, wote walisoma yote aliyoyaandika huyo YEHODAYA
 
Endeleeni kumdanganya Lussu. EU wenye akili wamesha kubali ya ishe. Lissu is a losing horse and curse to this nation "Tanzania" Someone needs to be out of his/her mind to support him.
Ndio hilo nyomi linamuunga mkono!Lia au upasuke kabisa,iko hivyo!
 
Ni hapa hapa alipouliwa comrade Alfonse Mawazo kwa sbb ya misimamo yake. R.I.P ndugu yetu. Mkuu wa kaya anaihofia sana hii sehemu hata juzi alihutubia akiwa kwenye gari tena barabarani. Kiufupi Katoro ni Benghazi ya Tz
 
Baada ya uchaguzi 28/10/2020 wembe ni ule ule hakuna nafasi ya ule upuuzi wa kuendeleza mikutano ya hadhara ya kisiasa isiyo na tija yeyote. Kaa ukijua hilo.
Haki ya kukutana ni haki ya kikatiba,mliinajisi katiba kwa kuzuia vyama vya siasa kutotekeleza haki yao ya msingi!Hilo sio suala la kujivunia badala yake mnatakiwa mumkee mvunjaji wa katiba!
Pamoja na kufanya siasa wenyewe miaka 5,bado watu wanaunga mkono upinzani!Hilo hamkutegemea kwani mlitegemea upinzani mmeufuta!
 
Lissu aliwahadaa akina nani,Lini na wapi?Mungu kaokoa maisha ya Lissu kuonesha ukuu wake!Hila za binadamu zimegonga mwamba na Lissu yupo imara na mwenye furaha!
Hilo kwa sisi tunaounga mkono upinzani linatutosha na mioyo yetu ni mieupe kabisaa!
 
Lissu The Greatest
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…