Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

Mwenyekiti anafanya Mpaka kina lissu waonekane sio watu Makini
 
Achana na Wagonga ulimbo,,,hakuna chama cha upinzani kwa Tz vyote ni matawi ya chama tawala,,kutokana na mifumo iliywekwa,,,, iliyopo na inayoendelea kuwekwa na chama tawala!!
Huna lolote, wewe ni kenge tu!
 
Walipoapa kutokuchukua luzuku yao hiyo sheria haikuwepo?
Mwafaka na mustakabali wa siasa zetu ulikuwa haueleweki. Kwasasa mama kaazimia kuweka mambo sawa,ni upumbavu kutochukua ruzuku.
 
Bado unarudi kule kule. Wao walisema uchaguzi hawautambui. Kwa hiyo unapozungumzia uchaguzi wa 2020 chadema kwao ni NIL.
Sasa mazingira ya siasa zetu tangu mwenda zake aende zake mebadilika. Ni ujuha kuendelea na siasa na misimamo ya nyakati za mwenda wakati huu kuna miafaka
 
Huna lolote, wewe ni kenge tu!
Na huo ndio ukweli wenyewe,,,hakuna upinzani haswa tz ni matawi ya chama tawala wengi ni njaa kali wanajitafutia namna ya kushiba kwa kujifanya wapinzani,,wakati hata ruzuku ya kuendesha vyama vyao inayotoka serikalini inahidhinishwa na chama tawala,,,watakuhadaa mwisho wa siku wao wanakutana na kugonga cheers na kulipana marupurupu,,,Jitafute/jipiganie mwenyewe ukae sawa ule maisha yako na familia yako,,,hakuna wa kukupigania maisha yako,,wao wenyewe wanajipigania kwa ajili ya maisha yao na familia zao!!!na kaa ukijua upinzani wa kweli si lelemama kama unavyofikiri na kudhani pia!!!
 
Ila kwa mujibu wa maelezo inaonesha kama unahoji ubunge wabunge wale 19 na ruzuku kitu ambacho ndio umeeleweshwa.
Elewa kama fedha ya ruzuku haihusiani na wabunge kwahiyo LIHARIRI ANDIKO LAKO
 
huna uelewa ndio maana wafuas wa ccm huwa mnaitwa NGURUWE kwa taarifa yako hao makahaba wenu hata wakiondolewa leo ruzuku ya chadema iko palepale ila kwa kuwa ccm inafuga mashoga akili ilishawatoka mmebaki na jambo moja tu.
 
Soma katiba na soma sheria ya vyama vingi vya siasa utatambua. CDM kupata ruzuku ni haki yao.
mkuu ndio maana nimekoment hapo juu kuwa ccm inafuga NGURUWE matokeo yake imekuwa na mzigo usio na msaada wowote akiwemo mleta thread, hawa nguruwe wamebaki kufugwa kwenye makorido ya lumumba na hawataki kujielimisha matokea yake ni kuleta thread za kipumbavu na kufikir wote humu ni kama mbumbumbu.
 
Achana na Wagonga ulimbo,,,hakuna chama cha upinzani kwa Tz vyote ni matawi ya chama tawala,,kutokana na mifumo iliywekwa,,,, iliyopo na inayoendelea kuwekwa na chama tawala!!
comment of lunatic who does not know anything on political space but motivated by lunacy.
 
Usitusemee, mhitaji wewe

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
huna uelewa wewe NGURUWE tafuta elimu ili ujue ruzuku inatolewaje vinginevyo utazeekea kwenye makorido ya lumumba na ujinga wako.
 
Nguruwe karudie kusikiliza mahojiano ili uelewe kwanin sasa wamechukua ruzuku usijitie wazimu wakati jibu limetolewa, sukuma gang jiandaen 2025 tunawafuta kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…