Tundu Lissu awa bubu, ashindwa kueleza msimamo wake

Chadema ina haki ya kuchukua ruzuku kwani vigezo na masharti wamekidhi tatizo hao wabunge waliopelekwa bungeni hawajaidhinishwa na chama ndio maana hawawatambui na wanataka watoke wapelekwe wale watakaoidhinishwa na chama.
 
sukuma gang 2025 tunawafuta kabisa mmebaki keyboard worriors kuomboleza jf kwa upumbavu wenu kama mnamachungu na mzoga wa chato nenden mkazikwe naye hata maombolezo ya kifo chake mmeyatelekeza matokeo yake amejikuta shigela pekeyake wajinga nyinyi.
 
Kwa sasa sioni u muhimu wowote wa kuwatambua au kutowatambua wabunge wale maana baada ya kukubali kufanya maridhiano na Mkuu wa Nchi ambaye ndiye Mkuu wa Chama tawala hapo ujue Flexibility lazima iwepo kutoka pande zote zilizomo kwenye hayo mazungumzo ya maridhiano !! Kwenye maridhiano huwa hakuna kushupaza shingo !! Kumbuka Siasa sio uadui !! Tundu lisu na Chadema yake wapo sahihi katika hili !
 
Hizo nafasi ni haki ya chama kutokana na kura zilizoopata uchaguzi mkuu. Walitakiwa wao watoe wabunge ila serikali ikapeleka wztu wao. Ile ruzuku ni automatic kwa kura zilizokuwa zimepatika na shetia ya uchaguzi sio huruma ya serikal kwani hata chama tawala kinapata kwa idadi ya kura ilizopata. Kitu kimoja tu uwe umeitambua serikali iliyoko madarakani sio SHARTJ LA KUPEWA RUZUKU.
 
sukuma gang 2025 tunawafuta kabisa mmebaki keyboard worriors kuomboleza jf kwa upumbavu wenu kama mnamachungu na mzoga wa chato nenden mkazikwe naye hata maombolezo ya kifo chake mmeyatelekeza matokeo yake amejikuta shigela pekeyake wajinga nyinyi.
Huna tusi jipya?
Mbona ni yale yale? Jitahidi basi uje na matusi mapya wewe asiyeweza kujenga hoja!
 
Badili jina asee hilo linaukakasi sana...
huna akili ya kumwelewa Lissu!!
Tatizo kuubwa hapa nchini umeona nikupokea ruzuku ili kazi ya kuikosoa serikali ifanyike??
 
Badili jina asee hilo linaukakasi sana...
huna akili ya kumwelewa Lissu!!
Tatizo kuubwa hapa nchini umeona nikupokea ruzuku ili kazi ya kuikosoa serikali ifanyike??
Ni ujinga kujadili jina Mkuu!

Kwa nini chadema walisusia Ruzuku na sasa wanapokea bila badiriko lolote maana uchaguzi ni uleule uliowaingiza wabunge mlionao
 
Acha basi ukigeugeu Mkuu!
Kuna vyama vingapi vilishiriki uchaguzi havina luzuku kwa sababu havina mbunge hata mmoja?
Usilolijua kubali wanaolijua wakuelimishe.
Mbona la kupata ruzuku inaeleweka halitokani na idadi ya wabunge wa chama husika bali,ni kutokana na kura zaidi ya asilimia tano walizopata Chadema.
Ndiyo maana Zitto hapati ruzuku pamoja nakuwa na wabunge.
Issue ya ruzuku imefafanuliwa mara kwa mara hapa jamvini lakini watu wengine kwa maksudi kabisa wanaendelea kupotosha ukweli kwa maslahi yao.
 
Usicheze na njaa mbona muda si mrefu atapewa kadi ya ccm Nyiriri subiri
 
Khasante ila si walikataa kutambua serikali na uchaguzi uliofanyika?
Hizo ndio siasa au wewe ni mgeni kwenye siasa.
Unakumbuka mwenyekiti wa CCM alivyokuwa anashupaza shingo na kusema Tanzania hakuna Corona lakini alipoingia mwenyekiti mpya wa chama hicho hicho akatangaza uwepo wa Corona.
Katika siasa lolote linawezekana.
 
Huo ni mpango wa huyo mwenyekiti mpya hataki kufanya kazi wala kuumiza kichwa,Corona ilikuwepo ila JPM alituondolea tu hofu na akasema tufanye kazi,huyu ameingia kaiabudu sana Corona kila siku anavaa mabarakoa ili apewe hela za wafadhili na ndo hizo anagawaia simba na yanga kwa kununua kila gori moja.
 
Kwani uchaguzi ule ulikuwa halali?
Utapataje halali katika haramu?
 
Walipoapa kutokuchukua luzuku yao hiyo sheria haikuwepo?
Waliapa kwani?! Kwako? Manake wengine hatukusikia hicho kiapo. Chama cha Siasa ni Taasisi na kinatekeleza majukumu yake kwa Sheria, Kanuni na Miongozo na Wala si kwa viapo. Kawadanganye wajinga wenzio huko.
Weka hapa documents zinazoonesha CDM iliwahi kugomea ruzuku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…