Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

This is of course one version, the other side cannot defend itself. Lakini kama ni kweli, kakaa miezi 3 akitembea Nchi nzima si wangemuua kwa ajali Sekenke au Kitonga? Hii ni ushahidi hafifu, sawa na ule wa risasi 16 za AK 47 zikukose wakati Wabunge wote Area D wamemriwa kususia lunch.
Wewe ulishaua wangapi hapo Mlima KITONGA na SEKENKE?.
 
Hata wakileta majibu ya uchunguzi yakatofautiana na mawazo yako utakataa pia.

..hakuna ripoti ya uchunguzi ambayo matokeo yake yaliungwa mkono kwa asilimia 100.

..pamoja na ukweli huo serikali imekuwa ikiunda tume za uchunguzi kila wakati.

..kinachoshangaza ni Polisi kukwepa wajibu wako wa kuchunguza tukio la Lissu na serikali kuunda tume ya uchunguzi.

..Serikali pia imekataa ombi na ushauri wa kuwashirikisha wachunguzi toka nje ili kuongeza kuaminika kwa matokeo ya uchunguzi.

..Tuendelee kusisitiza Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI ili waliomshambulia Lissu wajulikane na sheria ichukue mkondo wake.
 
Alipofika katika Ubalozi wa Ujerumani, kabla ya kuruhusiwa kuingia magari matatu yalifika katika ubalozi na kutaka kumchukua kumpeleka kituo cha polisi. Lissu alibisha kwa kutaka kujua kosa lake na sababu ya kupelekwa kituoni.

Wakati wametaka kumuingiza kwenye gari, Naibu Balozi wa Ujerumani alitoka na kuwahoji waliokuwa wanataka kumchukua Lissu. Naibu balozi aliomba kama wanaweza kwenda na Lisu kwenye mahojiano ambapo waliotaka kumchukua walikubali, hivyo Naibu Balozi na Polisi na Lissu walienda wote kituoni na Naibu balozi aliuliza kuhusu muda watakao muhoji na kusubiri ili wakimaliza waondoke nae.

Baada ya majibizano, Naibu balozi alimuambia Lissu kuwa nchi hii sio salama hivyo wakampa makazi katika makazi ya ubalozi wa ujerumani. Alikaa hapo kwa siku nane akisaidiwa kupata vitu vyote vya safari ikiwemo Passport na VISA. Siku husika ya safari Naibu Balozi alimsindikiza Lissu hadi kwenye ndege ili kwenda Ujerumani kujificha
Hii ni sawa kabisa na ile ya "...kimbilieni Misri maana Mfalme ana nia mbaya na mtoto"
 
Mimi nilisha mchoka unajua watu hawaelewi ruto ali ongea mbele ya hasimu wake kenyatta kumtuhumu kutaka kumuuua huyu nyalisu magufuli alipo kuwa hai hakuwai kumchana live kwamba ulitaka kuniua na ushaidi huu ameacha mtu kafa eti ndio anadai haki pumbavu kweli tokea lini maiti ikaongea maisha magumu na yako kasi kwelikweli tumechoka na ngonjera zazamani Mimi nilisha mchoka uyo nyamlisu kila siku kelekle wakati mahakama zipo kwanini asifungue mshtaka kama wenzake
Ajabu sana
Kama akiwa anaongelea maendeleo sawa
Au mbinu za vijana kujikwamua au siasa uchwara tunayasikiliza

Sasa yeye kutwa kuongelea makovu yake tu na tuhuma, na maisha yake kila akipewa [emoji441]

Kweli mtu unasubiri sympathy kila leo ili iweje
 
Ajabu sana
Kama akiwa anaongelea maendeleo sawa
Au mbinu za vijana kujikwamua au siasa uchwara tunayasikiliza

Sasa yeye kutwa kuongelea makovu yake tu na tuhuma, na maisha yake kila akipewa [emoji441]

Kweli mtu unasubiri sympathy kila leo ili iweje

..ccm iko madarakani tangu tupate uhuru na imeshindwa kuleta maendeleo.

..unafikiri Lissu akiongelea maendeleo ndio ccm itabadilika na kuboresha maisha ya Watanzania?
 
Hata wakileta majibu ya uchunguzi yakatofautiana na mawazo yako utakataa pia.
Do not preempt of what someone is thinking about. Kitu cha muhimu ni kwanza wafanye huo uchunguzi ..... Kipi kinawazuia!!?
 
Lisu unachobugi unamchafua mwendazake
.
Aliyeko madarakani kwa sasa ni Samia... Hapo unajihangaikia tu
Kwani mwendazake alikuwa msafi? Kama hakuwa msafi mwacheni asemwe. Huko kwa wenzetu hata Kaburi lake lingelindwa hata mzimu wake usitoke.
 
Hayo maendeeo yanakujaje huku watu Wana majeraha moyoni vinyongo visasi nk acha watu wateme nyongo magufuli alikuwa mpumbavu Sana. Ndio maana watu hawamwiti hayati kama viongozi wengine anaitwa mwendazake au marehemu mjinga.
Huyu ukimwita marehemu unampa sifa ya kurehemewa au "kuhurumiwa" mtafutie jina jingine la saizi yake.
 
Hivi ile mikutano aliyekuwa anafanya Lisu ilikuwa inalindwa na serikali au amri ya nani?. Ifike mahali watu tumuogope Mungu hivi mtu atake kukua halafu akulinde kwenye mikutano yako. Yaani akuache mpaka umalize kampeni, akushinde ndio akuuwe kweli? Naamini JPM alikuwa kiongozi bora sana ikiwa hayupo hai miaka takribani miwili lakini kila siku watu hawaishi kumjadili.
 
Back
Top Bottom