Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupangiwe zamu za kupiga fimbo kaburi lakeIyo haitoshi afe tu tena huko kuzimu alipo asije kuwa reincarnated arudi duniani kama fisi na kuleta zahama na uhalifu aliofanya akiwa hai kama ubakaji, ushirikina, uonevu, uzinzi, uchawi, ufisadi, uporaji, ujambazi, ugaidi, uuaji, kuiba wake za watu name them all.
mkorinto Magonjwa Mtambuka
Hayo maendeeo yanakujaje huku watu Wana majeraha moyoni vinyongo visasi nk acha watu wateme nyongo magufuli alikuwa mpumbavu Sana. Ndio maana watu hawamwiti hayati kama viongozi wengine anaitwa mwendazake au marehemu mjinga.Tunahitaji sera saidizi za maendeleo wala hatuhitaji kujua maovu ya marehemu
Atadanganya mbele ya kamera inayotazamwa na mamilioni ya watu? Tena akijua anachoongea kinaivua nguo serikali?Duh kama aliosema ni kweli basi Hayati Magufuli alikuwa na roho mbaya sana
Kwahiyo makosa ya Hitler tumlaumu kansela wa Leo wa ujerumani? Au makosa ya Benito Mussolini tumlaumu Leo pm wa Italia? Au makosa ya idi amini tumlaumu museveni.?Lisu unachobugi unamchafua mwendazake
.
Aliyeko madarakani kwa sasa ni Samia... Hapo unajihangaikia tu
Aliyeruhusu kutoka central police ni huyo Naibu Balozi? Maana polisi siyo sehemu ya ubalozi na polisi wangeamua kumshikilia huyo Naibu Balozi angefanyaje? Wakati mwengine huyu jamaa yenu achuje mambo kabla ya kuongea. Kama watu wameamua kwenda mbele afocus mbele. 🙏🙏🙏Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu
======
Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri ashughulikiwe tena bila kukosea shabaha. Tundu Lissu ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa alishambuliwa kwa risasi 16 siku ya Septemba 7, mwaka 2017 na kuondoka nchini kwa sababu ya matibabu.
Lissu amesema baada ya kupewa taarifa kuwa anatafutwa ili auawe mara baada ya uchaguzi, Oktoba 31, 2020 alijificha. Baadae alipata taarifa kuwa maficho yake yamejulikana na akashauriwa akimbie ndipo alipowasiliana na balozi wa Ujerumani ili kunusuru nafsi yake.
Alipofika katika Ubalozi wa Ujerumani, kabla ya kuruhusiwa kuingia magari matatu yalifika katika ubalozi na kutaka kumchukua kumpeleka kituo cha polisi. Lissu alibisha kwa kutaka kujua kosa lake na sababu ya kupelekwa kituoni.
Wakati wametaka kumuingiza kwenye gari, Naibu Balozi wa Ujerumani alitoka na kuwahoji waliokuwa wanataka kumchukua Lissu. Naibu balozi aliomba kama wanaweza kwenda na Lisu kwenye mahojiano ambapo waliotaka kumchukua walikubali, hivyo Naibu Balozi na Polisi na Lissu walienda wote kituoni na Naibu balozi aliuliza kuhusu muda watakao muhoji na kusubiri ili wakimaliza waondoke nae.
Baada ya majibizano, Naibu balozi alimuambia Lissu kuwa nchi hii sio salama hivyo wakampa makazi katika makazi ya ubalozi wa ujerumani. Alikaa hapo kwa siku nane akisaidiwa kupata vitu vyote vya safari ikiwemo Passport na VISA. Siku husika ya safari Naibu Balozi alimsindikiza Lissu hadi kwenye ndege ili kwenda Ujerumani kujificha
View attachment 2508265
View attachment 2508321
View attachment 2508326
View attachment 2508335
View attachment 2508336
Yaani maajabu sanaDoa moja baya sana kuitumia polisi kwa masuala ya kisiasa.
Tuliaminishwa kuwa kuwa upinzani ni jinai kwa Taifa.
Vyombo vya usalama vimeishi kwenye hizi siasa za kinyama maisha yao yote
😅😅😅Muacheni aongeee atoe dukuduku lake hata ungekuwa wewe mtoa mada ungeongea tu Ili mradi uongee
Waanze nae huyo naibu wakaombe wapi misaada waliwatukana wazungu mchana usiku wanaenda kukopa na kuomba misaadaMngeanza nae huyo Naibu
Wangemshikilia huyo naibu wangafanyiwa alivyofanyiwa idi Amin wa uganda na wa IsraelAliyeruhusu kutoka central police ni huyo Naibu Balozi? Maana polisi siyo sehemu ya ubalozi na polisi wangeamua kumshikilia huyo Naibu Balozi angefanyaje? Wakati mwengine huyu jamaa yenu achuje mambo kabla ya kuongea. Kama watu wameamua kwenda mbele afocus mbele. 🙏🙏🙏
Watu wa Ikungi walilia sana wakati Lissu anawaonyesha makovu juzi. Pia walicheka sana siku aliporudi Ikungi. Mwaka 2020 walilia na kusali sana kumshukuru Mungu Lissu kurudi!Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu
======
Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri ashughulikiwe tena bila kukosea shabaha. Tundu Lissu ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa alishambuliwa kwa risasi 16 siku ya Septemba 7, mwaka 2017 na kuondoka nchini kwa sababu ya matibabu.
Lissu amesema baada ya kupewa taarifa kuwa anatafutwa ili auawe mara baada ya uchaguzi, Oktoba 31, 2020 alijificha. Baadae alipata taarifa kuwa maficho yake yamejulikana na akashauriwa akimbie ndipo alipowasiliana na balozi wa Ujerumani ili kunusuru nafsi yake.
Alipofika katika Ubalozi wa Ujerumani, kabla ya kuruhusiwa kuingia magari matatu yalifika katika ubalozi na kutaka kumchukua kumpeleka kituo cha polisi. Lissu alibisha kwa kutaka kujua kosa lake na sababu ya kupelekwa kituoni.
Wakati wametaka kumuingiza kwenye gari, Naibu Balozi wa Ujerumani alitoka na kuwahoji waliokuwa wanataka kumchukua Lissu. Naibu balozi aliomba kama wanaweza kwenda na Lisu kwenye mahojiano ambapo waliotaka kumchukua walikubali, hivyo Naibu Balozi na Polisi na Lissu walienda wote kituoni na Naibu balozi aliuliza kuhusu muda watakao muhoji na kusubiri ili wakimaliza waondoke nae.
Baada ya majibizano, Naibu balozi alimuambia Lissu kuwa nchi hii sio salama hivyo wakampa makazi katika makazi ya ubalozi wa ujerumani. Alikaa hapo kwa siku nane akisaidiwa kupata vitu vyote vya safari ikiwemo Passport na VISA. Siku husika ya safari Naibu Balozi alimsindikiza Lissu hadi kwenye ndege ili kwenda Ujerumani kujificha
View attachment 2508265
View attachment 2508321
View attachment 2508326
View attachment 2508335
View attachment 2508336
Makosa ya Hitler mpaka Leo wameshakuwa Wazee bado wanafikishwa Mahakamani na kufungwa!Kwahiyo makosa ya Hitler tumlaumu kansela wa Leo wa ujerumani? Au makosa ya Benito Mussolini tumlaumu Leo pm wa Italia? Au makosa ya idi amini tumlaumu museveni.?
Tuanze na huyo Mjerumani?! Dah, hututakii Mema! Tusumbuane sisi waswahili wenyewe kwa wenyewe, hao Wajerumani hatuwawezi!Mngeanza nae huyo Naibu
Mwenye dawa ni Mungu pekee ndiyo maana amekumbatia roho yake.Mfu Magufuli ataendelea kuwanyoosha vilaza chadema, Lissu bado anahitaji dawa ya kufungwa mdomo na bahati mbaya mwenye dawa hayupo.