WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Kwani ni Rais au chama chake kinaongoza nchi?Ndio agenda iliyomrudisha
Lawama zake haziwapi watu ajira
Kila leo lawama kama yatima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni Rais au chama chake kinaongoza nchi?Ndio agenda iliyomrudisha
Lawama zake haziwapi watu ajira
Kila leo lawama kama yatima
Hivi una umri gani? Polisi wamkamate balozi/naibu balozi? Are you insane?Aliyeruhusu kutoka central police ni huyo Naibu Balozi? Maana polisi siyo sehemu ya ubalozi na polisi wangeamua kumshikilia huyo Naibu Balozi angefanyaje? Wakati mwengine huyu jamaa yenu achuje mambo kabla ya kuongea. Kama watu wameamua kwenda mbele afocus mbele. [emoji120][emoji120][emoji120]
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]CCM na serikali hawajawahi kujibu hoja na tuhuma za Lissu hivyo kusema anachonganisha ni kukwepa hoja za msingi.
Kitu kinachoitwa maridhiano ni kiinimacho kafanyiwa Mbowe.
Watanzania tunahitaji muafaka wa kitaifa. Malalamiko yasikilizwe wahusika wajieleze na hatua zichukuliwe
Kwanza wapatikane then tusikie huo utetezi wao.Hata wahusika wakipatikana bado watadai walitumwa na jiwe.
Uwe unaelewa. Siyo unasoma kama umepiga smart iliyochanganywa na gongo. Soma tena halafu utulize akili yako.🙏🙏🙏Hivi una umri gani? Polisi wamkamate balozi/naibu balozi? Are you insane?
Hayo ndiyo maridhiano yanavyotakiwa kuwa.[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kama kweli kuna maridhiano kila kitu kiwekwe wazi, waliokufa, waliotekwa, waliopotezwa, walioporwa/waliodhulumiwa, waliojeruhiwa.
Kila mwenye malalamiko apewe nafasi ya kusikilizwa na malalamiko yako yafanyiwe kazi hii ni njia ya kuepuka kurudia makosa na kurudi kwenye situations zinazohatarisha umoja na mshikamano wa nchi.
Ndugu na jamaa wa wale waliouawa au waliopotezwa nao wapewe jukwaa la kuzungumza.
Kwenye ku-reconcile kila kitu kiwe wazi.
Mimi nilisha mchoka unajua watu hawaelewi ruto ali ongea mbele ya hasimu wake kenyatta kumtuhumu kutaka kumuuua huyu nyalisu magufuli alipo kuwa hai hakuwai kumchana live kwamba ulitaka kuniua na ushaidi huu ameacha mtu kafa eti ndio anadai haki pumbavu kweli tokea lini maiti ikaongea maisha magumu na yako kasi kwelikweli tumechoka na ngonjera zazamani Mimi nilisha mchoka uyo nyamlisu kila siku kelekle wakati mahakama zipo kwanini asifungue mshtaka kama wenzakeNdio agenda iliyomrudisha
Lawama zake haziwapi watu ajira
Kila leo lawama kama yatima
Are you smoking any illegal stuff right now?Uwe unaelewa. Siyo unasoma kama umepiga smart iliyochanganywa na gongo. Soma tena halafu utulize akili yako.[emoji120][emoji120][emoji120]
Wewe mpumbavu nini???Uliwahi ona Uhuru Kenyatta kule Kenya akihangaika kuwafunga wapinzani na kuwabambikia kesi lukuki??Lakini huyu fara wako kila siku kwa muda wa miaka mitano alikuwa anapambana na Wapinzani na kuwafunga kiholela bila sababu.Nasikitika kuona vijana wengi wanakuwa na mawazo kama yako kwenye uwanja ambao huwezi fanya hayo unayopendekeza.Mimi nilisha mchoka unajua watu hawaelewi ruto ali ongea mbele ya hasimu wake kenyatta kumtuhumu kutaka kumuuua huyu nyalisu magufuli alipo kuwa hai hakuwai kumchana live kwamba ulitaka kuniua na ushaidi huu ameacha mtu kafa eti ndio anadai haki pumbavu kweli tokea lini maiti ikaongea maisha magumu na yako kasi kwelikweli tumechoka na ngonjera zazamani Mimi nilisha mchoka uyo nyamlisu kila siku kelekle wakati mahakama zipo kwanini asifungue mshtaka kama wenzake
Ukiua au kujaribu kuua , sio aliyeuawa au aliyetaka kuuawa atakayekwenda mahakamani kufungua kesi, ni Jamhuri ndiyo itachunguza na kufungua kesi. Sawa eeh, na uounguze ujuaji kupitiliza.Mimi nilisha mchoka unajua watu hawaelewi ruto ali ongea mbele ya hasimu wake kenyatta kumtuhumu kutaka kumuuua huyu nyalisu magufuli alipo kuwa hai hakuwai kumchana live kwamba ulitaka kuniua na ushaidi huu ameacha mtu kafa eti ndio anadai haki pumbavu kweli tokea lini maiti ikaongea maisha magumu na yako kasi kwelikweli tumechoka na ngonjera zazamani Mimi nilisha mchoka uyo nyamlisu kila siku kelekle wakati mahakama zipo kwanini asifungue mshtaka kama wenzake
Porojo za kuhangaika na marehemu hizo.aje na suluhuhisho na UCHUMI mbovuKama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu
======
Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri ashughulikiwe tena bila kukosea shabaha. Tundu Lissu ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa alishambuliwa kwa risasi 16 siku ya Septemba 7, mwaka 2017 na kuondoka nchini kwa sababu ya matibabu.
Lissu amesema baada ya kupewa taarifa kuwa anatafutwa ili auawe mara baada ya uchaguzi, Oktoba 31, 2020 alijificha. Baadae alipata taarifa kuwa maficho yake yamejulikana na akashauriwa akimbie ndipo alipowasiliana na balozi wa Ujerumani ili kunusuru nafsi yake.
Alipofika katika Ubalozi wa Ujerumani, kabla ya kuruhusiwa kuingia magari matatu yalifika katika ubalozi na kutaka kumchukua kumpeleka kituo cha polisi. Lissu alibisha kwa kutaka kujua kosa lake na sababu ya kupelekwa kituoni.
Wakati wametaka kumuingiza kwenye gari, Naibu Balozi wa Ujerumani alitoka na kuwahoji waliokuwa wanataka kumchukua Lissu. Naibu balozi aliomba kama wanaweza kwenda na Lisu kwenye mahojiano ambapo waliotaka kumchukua walikubali, hivyo Naibu Balozi na Polisi na Lissu walienda wote kituoni na Naibu balozi aliuliza kuhusu muda watakao muhoji na kusubiri ili wakimaliza waondoke nae.
Baada ya majibizano, Naibu balozi alimuambia Lissu kuwa nchi hii sio salama hivyo wakampa makazi katika makazi ya ubalozi wa ujerumani. Alikaa hapo kwa siku nane akisaidiwa kupata vitu vyote vya safari ikiwemo Passport na VISA. Siku husika ya safari Naibu Balozi alimsindikiza Lissu hadi kwenye ndege ili kwenda Ujerumani kujificha
View attachment 2508265
View attachment 2508321
View attachment 2508326
View attachment 2508335
View attachment 2508336
This is of course one version, the other side cannot defend itself. Lakini kama ni kweli, kakaa miezi 3 akitembea Nchi nzima si wangemuua kwa ajali Sekenke au Kitonga? Hii ni ushahidi hafifu, sawa na ule wa risasi 16 za AK 47 zikukose wakati Wabunge wote Area D wamemriwa kususia lunch.Kama mikutano ya hadhara ni fursa ya kufitinisha na kuchafua watu tunahaja ya kuangalia. Ila pia ni vizuri kuwapa fursa watu kutema sumu
======
Tundu Lissu amesema alirejea Tanzania mwaka 2020 kwa ajili ya uchaguzi na alilazimika kuondoka tena mwaka huo kwa sababu mtesi wake alitoa amri ashughulikiwe tena bila kukosea shabaha. Tundu Lissu ambaye sasa ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa alishambuliwa kwa risasi 16 siku ya Septemba 7, mwaka 2017 na kuondoka nchini kwa sababu ya matibabu.
Lissu amesema baada ya kupewa taarifa kuwa anatafutwa ili auawe mara baada ya uchaguzi, Oktoba 31, 2020 alijificha. Baadae alipata taarifa kuwa maficho yake yamejulikana na akashauriwa akimbie ndipo alipowasiliana na balozi wa Ujerumani ili kunusuru nafsi yake.
Alipofika katika Ubalozi wa Ujerumani, kabla ya kuruhusiwa kuingia magari matatu yalifika katika ubalozi na kutaka kumchukua kumpeleka kituo cha polisi. Lissu alibisha kwa kutaka kujua kosa lake na sababu ya kupelekwa kituoni.
Wakati wametaka kumuingiza kwenye gari, Naibu Balozi wa Ujerumani alitoka na kuwahoji waliokuwa wanataka kumchukua Lissu. Naibu balozi aliomba kama wanaweza kwenda na Lisu kwenye mahojiano ambapo waliotaka kumchukua walikubali, hivyo Naibu Balozi na Polisi na Lissu walienda wote kituoni na Naibu balozi aliuliza kuhusu muda watakao muhoji na kusubiri ili wakimaliza waondoke nae.
Baada ya majibizano, Naibu balozi alimuambia Lissu kuwa nchi hii sio salama hivyo wakampa makazi katika makazi ya ubalozi wa ujerumani. Alikaa hapo kwa siku nane akisaidiwa kupata vitu vyote vya safari ikiwemo Passport na VISA. Siku husika ya safari Naibu Balozi alimsindikiza Lissu hadi kwenye ndege ili kwenda Ujerumani kujificha
View attachment 2508265
View attachment 2508321
View attachment 2508326
View attachment 2508335
View attachment 2508336
Tanga pia wanazo hizoDawa ya kuzuia risasi isisababishe madhara, wanazo sana waganga wa kigoma, na baadhi ya waganga wa nje ya kigoma huenda kununua hizo dawa za jadi huko.
Kuwa na fake Id hakukuondolei ujinga. Sitakujibu tena. Nilishakueleza ili siku nyingine usikurupuke kujibu.🙏🙏🙏Are you smoking any illegal stuff right now?
Sijui tumepishana wapi wewe kwaio una maanisha serikali inaunga mkono shambulio la tundulisuUkiua au kujaribu kuua , sio aliyeuawa au aliyetaka kuuawa atakayekwenda mahakamani kufungua kesi, ni Jamhuri ndiyo itachunguza na kufungua kesi. Sawa eeh, na uounguze ujuaji kupitiliza.
Serikali ya Magufuri iliunga mkono 100% ndiyo maana haikuwajibika kuanzia upelelezi wa tukio lenyewe,matibabu na mwisho ilimfuta kazi kwa kile ilichodai Tundu Lisu ni mtoro,mzururaji na hawajui aliko.Sijui tumepishana wapi wewe kwaio una maanisha serikali inaunga mkono shambulio la tundulisu
Hilo ni jibu wala sio swali.Sijui tumepishana wapi wewe kwaio una maanisha serikali inaunga mkono shambulio la tundulisu
Hauna akili, hiyo ID ndiyo iko verified au siyo? Akili za kushikiwa Sukuma gang wote mmekuwa mazuzu.Kuwa na fake Id hakukuondolei ujinga. Sitakujibu tena. Nilishakueleza ili siku nyingine usikurupuke kujibu.[emoji120][emoji120][emoji120]
Hata wakileta majibu ya uchunguzi yakatofautiana na mawazo yako utakataa pia.Kama siyo kweli. Waambie waunde Tume kuchunguza Jaribio la kumuua Lissu. Kuna vitu mnaponda kisiasa kupotosha ukweli. Hivi ulishawahi kujiuliza ni kwa nini hii kesi ya Lissu hakuna anayezungumza wala kuchunguza!?
Muacheni Lissu azungumze. Asipofanya hivyo kesi yake itasahaulika. Jinai haifi.