Tundu Lissu: Baada ya uchaguzi nilitakiwa kushughulikiwa, amri ilisema wasikosee shabaha

Wewe ulishaua wangapi hapo Mlima KITONGA na SEKENKE?.
 
Hata wakileta majibu ya uchunguzi yakatofautiana na mawazo yako utakataa pia.

..hakuna ripoti ya uchunguzi ambayo matokeo yake yaliungwa mkono kwa asilimia 100.

..pamoja na ukweli huo serikali imekuwa ikiunda tume za uchunguzi kila wakati.

..kinachoshangaza ni Polisi kukwepa wajibu wako wa kuchunguza tukio la Lissu na serikali kuunda tume ya uchunguzi.

..Serikali pia imekataa ombi na ushauri wa kuwashirikisha wachunguzi toka nje ili kuongeza kuaminika kwa matokeo ya uchunguzi.

..Tuendelee kusisitiza Raisi aunde TUME YA UCHUNGUZI ili waliomshambulia Lissu wajulikane na sheria ichukue mkondo wake.
 
Hii ni sawa kabisa na ile ya "...kimbilieni Misri maana Mfalme ana nia mbaya na mtoto"
 
Ajabu sana
Kama akiwa anaongelea maendeleo sawa
Au mbinu za vijana kujikwamua au siasa uchwara tunayasikiliza

Sasa yeye kutwa kuongelea makovu yake tu na tuhuma, na maisha yake kila akipewa [emoji441]

Kweli mtu unasubiri sympathy kila leo ili iweje
 
Ajabu sana
Kama akiwa anaongelea maendeleo sawa
Au mbinu za vijana kujikwamua au siasa uchwara tunayasikiliza

Sasa yeye kutwa kuongelea makovu yake tu na tuhuma, na maisha yake kila akipewa [emoji441]

Kweli mtu unasubiri sympathy kila leo ili iweje

..ccm iko madarakani tangu tupate uhuru na imeshindwa kuleta maendeleo.

..unafikiri Lissu akiongelea maendeleo ndio ccm itabadilika na kuboresha maisha ya Watanzania?
 
Hata wakileta majibu ya uchunguzi yakatofautiana na mawazo yako utakataa pia.
Do not preempt of what someone is thinking about. Kitu cha muhimu ni kwanza wafanye huo uchunguzi ..... Kipi kinawazuia!!?
 
Mwenda zake msikieni tu! Alikuwa bonge la dikteta na katili.
 
Lisu unachobugi unamchafua mwendazake
.
Aliyeko madarakani kwa sasa ni Samia... Hapo unajihangaikia tu
Kwani mwendazake alikuwa msafi? Kama hakuwa msafi mwacheni asemwe. Huko kwa wenzetu hata Kaburi lake lingelindwa hata mzimu wake usitoke.
 
Hayo maendeeo yanakujaje huku watu Wana majeraha moyoni vinyongo visasi nk acha watu wateme nyongo magufuli alikuwa mpumbavu Sana. Ndio maana watu hawamwiti hayati kama viongozi wengine anaitwa mwendazake au marehemu mjinga.
Huyu ukimwita marehemu unampa sifa ya kurehemewa au "kuhurumiwa" mtafutie jina jingine la saizi yake.
 
Hivi ile mikutano aliyekuwa anafanya Lisu ilikuwa inalindwa na serikali au amri ya nani?. Ifike mahali watu tumuogope Mungu hivi mtu atake kukua halafu akulinde kwenye mikutano yako. Yaani akuache mpaka umalize kampeni, akushinde ndio akuuwe kweli? Naamini JPM alikuwa kiongozi bora sana ikiwa hayupo hai miaka takribani miwili lakini kila siku watu hawaishi kumjadili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…