Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani?

Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji.

Wananchi wanatakiwa waambiwe mapato na matumizi sio kuficha ficha.

Wanadai eti kusema maovu kwa uwazi kunaua umoja wa chama kwamba yazungumziwe ndani.

Lissu amesema kama Uwazi ni jambo baya, basi tukubaliane uwazi ni jambo baya.

Hivyo hata CCM wanapofanyia gizani mambo ya kuhujumu taifa kama kuuzwa kwa bamdari tusipige kelele.

Amesema mambo ya kufanyia mambo gizani mara nyingi yanakuwa ni nia ovu. Wanapotumia madaraka yao vibaya, wanapotumia fedha za Umma vibaya na mambo yote yanayofanyia gizani tusipihe kelele. Tukubaliane Uwazi kwa CCM ni jambo baya hivyo hivyo na ndani ya chama tukubaliane Uwazi ni jambo baya unahatibu umoja wa chama.

Lissu amesema anacjofahamu ni mihimu kuwe na uwazi kwenye shughuli za Chama. Tunaficha nini na kwanini?

Kwanini tunaficha kwa mfano matumizi ya fedha za chama? Tunamficha nani na kwanini?

Mambo ya Umma yawe hadharani. Giza linazaa abuse Giza linazaa matumizi mabaya ya madaraka. Vitu vinavyo zungumzwa gizani hata visipo tekelezwa hakuna anayeweza kujua.

Chama cha mageuzi kama chadema hakiwezi kikakumbatia giza halafu tukasema sisi ni chama cha mageuzi.

Tukifanya mambo gizani chama kitakufa. Mtu asije kujidanganya kwamba chama hakiwezi kufa mfano ipo mingi. Hata UDP ilikuwa kubwa kuliko chadema.

Kwahiyo Uwazi utatufanya tuishi maisha marefu kuliko kukumbatia giza.
 
Ingekuwa rahisi hivyo kuongelea mambo ya ndani katiba za taasisi nyingi zisingeweka kipengele cha kuwataka wajumbe watunze siri za vikao.

Au hata makampuni makubwa huko duniani wasingeweka kipengele cha ‘restrictive covenant’ kinachozuia watu walioshika nafasi za senior designers na other senior strategic planning posts; kuweza kuacha kazi tu wenyewe bila ya kufukuzwa halafu uende kwa mshindani wao. Hilo halipo una siri zao, ndio maana unawekwa kipengele kitakacho kuzuia kwenda huko walau ipite miaka miwili kwanza baada ya kuacha kazi usipeleke mbinu zao huko.

Same kuna shida CDM kwa maelezo ya Lissu, lakini kwa nafasi yeye sio mtu wa kuongea; tena akiwa bado makamu mwenyekiti (kiongozi). Walau angekuwa ameachia hiyo nafasi kwanza ndio aongee, ata kama anagombea uenyekiti.

Lissu hana sifa ya uongozi kwa tabia zake. Hajui hata negotiations ni give and take; you don’t get everything in negotiations. Yeye ukisikiliza unaona kuna demands wakati hana upper hand kwenye bargaining power.

Lissu hatoshi, na Mbowe amepwaya.
 
Kuna mahali nimewahi fanya kazi zamani, huwezi zungumzia kampuni hiyo kwa chochote kwa Miaka mitano solid, na una sign agreement..

Haya anayosema Lissu kama ndio ameyaona kwa uongoz wa miaka 20 wa mwamba bas Mwamba ni mtu smart sana...

Kuna NGOs na taasisi nyingi sana madudu yake nchi ingetikisika..

Such a senior position with loose mouth, what a shame?
 
Kwa kweli Lissu anazidi kujipambanua; kuwa tofauti kabisa na haya magenge ya viongozi wachafu yaliyopo sasa hivi madarakani na huko kwenye vyama vya upinzani.

Yeye amejipambanua kuwa tofauti kabisa.
Kama mtu unashindwa kuelewa haya yaliyo semwa na Tundu Lissu hapa; siyo kwamba huna akili za kuelewa, bali ni kuwa akili zako zimetekwa, kuna sababu maalum zinazo kuzuia kuelewa./kukubali yanayo zungumziwa.
 
Wewe unaleta mambo ya kampuni; mali binafsi/kundi maalum katika maswala ya umma, mali ya wananchi? Utakuwa unayo akili sawasawa wewe kama huwezi kutofautisha hilo?
 
Au hata makampuni makubwa huko duniani wasingeweka kipengele cha ‘restrictive covenant’ kinachozuia watu walioshika nafasi za senior designers na other senior strategic planning posts; kuweza kuacha kazi tu wenyewe bila ya kufukuzwa halafu uende kwa mshindani wao. Hilo halipo una siri zao, ndio maana unawekwa kipengele kitakacho kuzuia kwenda huko walau ipite miaka miwili kwanza baada ya kuacha kazi usipeleke mbinu zao huko.
kama kawaida yako; unajifanya hapa kujuwa maswala; lakini unashindwa kufanya tofauti kati ya hizo taasisi/makampuni ya watu binafsi na maswala ya nchi yanayo shughulikia maisha ya wananchi. Akili za aina hii ni za kukariri tu mambo na kuyachukua yalivyo bila kutumia uwezo wa kuyafafanua.

Lakini, hata huko kwenye makampuni, hujui kuwa madudu yanapo tokea na kujulikana makampuni hayo huwajibishwa?
 
Siasa na Ukweli ni Vitu ambavyo Havulikai pamoja.

Anacho kifanya lisu ni kumwaga mchele kwenye kuku wengi.

Naikubali sana hekima ya Dr. Slaa kukaa pembeni baada ya kutokukubaliana na Maamuzi ya CDM, Kufanya kazi na Lowasa
 
Lissu hana sifa ya uongozi kwa tabia zake. Hajui hata negotiations ni give and take; you don’t get everything in negotiations. Yeye ukisikiliza unaona kuna demands wakati hana upper hand kwenye bargaining power.
Ujuha ni kumwona Magufuli kuwa na sifa hizo unazozitaka wewe; lakini usizoweza kuziona kwa mtu mwingine kama Lissu!
Na akili yako inakufanya usione hata aibu katika ujuha huo huo!
 
Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani?

Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji.

Wananchi wanatakiwa waambiwe mapato na matumizi sio kuficha ficha.

Wanadai eti kusema maovu kwa uwazi kunaua umoja wa chama kwamba yazungumziwe ndani.

Lissu amesema kama Uwazi ni jambo baya, basi tukubaliane uwazi ni jambo baya.

Hivyo hata CCM wanapofanyia gizani mambo ya kuhujumu taifa kama kuuzwa kwa bamdari tusipige kelele.

Amesema mambo ya kufanyia mambo gizani mara nyingi yanakuwa ni nia ovu. Wanapotumia madaraka yao vibaya, wanapotumia fedha za Umma vibaya na mambo yote yanayofanyia gizani tusipihe kelele. Tukubaliane Uwazi kwa CCM ni jambo baya hivyo hivyo na ndani ya chama tukubaliane Uwazi ni jambo baya unahatibu umoja wa chama.

Lissu amesema anacjofahamu ni mihimu kuwe na uwazi kwenye shughuli za Chama. Tunaficha nini na kwanini?

Kwanini tunaficha kwa mfano matumizi ya fedha za chama? Tunamficha nani na kwanini?

Mambo ya Umma yawe hadharani. Giza linazaa abuse Giza linazaa matumizi mabaya ya madaraka. Vitu vinavyo zungumzwa gizani hata visipo tekelezwa hakuna anayeweza kujua.

Chama cha mageuzi kama chadema hakiwezi kikakumbatia giza halafu tukasema sisi ni chama cha mageuzi.

Tukifanya mambo gizani chama kitakufa. Mtu asije kujidanganya kwamba chama hakiwezi kufa mfano ipo mingi. Hata UDP ilikuwa kubwa kuliko chadema.

Kwahiyo Uwazi utatufanya tuishi maisha marefu kuliko kukumbatia giza.
Hukufa wakati ule! Taraji na chadema haitakufa
 
Lissu ana hoja
Asikilizwe

Huwezi ukaihubiri demokrasia ambayo wewe mwenyewe huna.
CDM lazima watoe boriti zao kabla ya kutoa vibanzi CCM
 
Lissu Yuko sahihi 100% kwenye mambo ya umma usiri wa nn? Chadema wasisahihishe
 
Lissu ana hoja
Asikilizwe

Huwezi ukaihubiri demokrasia ambayo wewe mwenyewe huna.
CDM lazima watoe boriti zao kabla ya kutoa vibanzi CCM
Huo ndo ukweli, tupende tusipende, mfano tunapinga kuweka ukomo kwenye uongozi wa chama, siku ccm wakipeleka bungeni mswada wa kuondoka ukomo wa urais tusipige makelele
 
Kwa kweli Lissu anazidi kujipambanua; kuwa tofauti kabisa na haya magenge ya viongozi wachafu yaliyopo sasa hivi madarakani na huko kwenye vyama vya upinzani.

Yeye amejipambanua kuwa tofauti kabisa.
Kama mtu unashindwa kuelewa haya yaliyo semwa na Tundu Lissu hapa; siyo kwamba huna akili za kuelewa, bali ni kuwa akili zako zimetekwa, kuna sababu maalum zinazo kuzuia kuelewa./kukubali yanayo zungumziwa.
Duh!!!!
Kumbe nawe ni shit....
Nilikuwa nakuonaga wa maana
.
Shit
 
Back
Top Bottom