LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kweli kwa msajili itabaki lakini mioyoni mwa umma itakufa.Hukufa wakati ule! Taraji na chadema haitakufa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kwa msajili itabaki lakini mioyoni mwa umma itakufa.Hukufa wakati ule! Taraji na chadema haitakufa
Haahaa mkuu huo usiri unasaidia nn ? Wizi na ufisadi tupuDuh!!!!
Kumbe nawe ni shit....
Nilikuwa nakuonaga wa maana
.
Shit
Nakala iwafikie Retired Lusungo Fundi Mchundo QuinineUwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani?
Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji.
Wananchi wanatakiwa waambiwe mapato na matumizi sio kuficha ficha.
Wanadai eti kusema maovu kwa uwazi kunaua umoja wa chama kwamba yazungumziwe ndani.
Lissu amesema kama Uwazi ni jambo baya, basi tukubaliane uwazi ni jambo baya.
Hivyo hata CCM wanapofanyia gizani mambo ya kuhujumu taifa kama kuuzwa kwa bamdari tusipige kelele.
Amesema mambo ya kufanyia mambo gizani mara nyingi yanakuwa ni nia ovu. Wanapotumia madaraka yao vibaya, wanapotumia fedha za Umma vibaya na mambo yote yanayofanyia gizani tusipihe kelele. Tukubaliane Uwazi kwa CCM ni jambo baya hivyo hivyo na ndani ya chama tukubaliane Uwazi ni jambo baya unahatibu umoja wa chama.
Lissu amesema anacjofahamu ni mihimu kuwe na uwazi kwenye shughuli za Chama. Tunaficha nini na kwanini?
Kwanini tunaficha kwa mfano matumizi ya fedha za chama? Tunamficha nani na kwanini?
Mambo ya Umma yawe hadharani. Giza linazaa abuse Giza linazaa matumizi mabaya ya madaraka. Vitu vinavyo zungumzwa gizani hata visipo tekelezwa hakuna anayeweza kujua.
Chama cha mageuzi kama chadema hakiwezi kikakumbatia giza halafu tukasema sisi ni chama cha mageuzi.
Tukifanya mambo gizani chama kitakufa. Mtu asije kujidanganya kwamba chama hakiwezi kufa mfano ipo mingi. Hata UDP ilikuwa kubwa kuliko chadema.
Kwahiyo Uwazi utatufanya tuishi maisha marefu kuliko kukumbatia giza.
But confidentiality haiusiki kwenye ubadhirifu na criminal,hayo sio mambo ya kuficha kwa kuwa hayaendani na good compliance,unaweza fiche siri za mbinu ya kibiashara ila sio ubadhirifu au forgeryIngekuwa rahisi hivyo kuongelea mambo ya ndani katiba za taasisi nyingi zisingeweka kipengele cha kuwataka wajumbe watunze siri za vikao.
Au hata makampuni makubwa huko duniani wasingeweka kipengele cha ‘restrictive covenant’ kinachozuia watu walioshika nafasi za senior designers na other senior strategic planning posts; kuweza kuacha kazi tu wenyewe bila ya kufukuzwa halafu uende kwa mshindani wao. Hilo halipo una siri zao, ndio maana unawekwa kipengele kitakacho kuzuia kwenda huko walau ipite miaka miwili kwanza baada ya kuacha kazi usipeleke mbinu zao huko.
Same kuna shida CDM kwa maelezo ya Lissu, lakini kwa nafasi yeye sio mtu wa kuongea; tena akiwa bado makamu mwenyekiti (kiongozi). Walau angekuwa ameachia hiyo nafasi kwanza ndio aongee, ata kama anagombea uenyekiti.
Lissu hana sifa ya uongozi kwa tabia zake. Hajui hata negotiations ni give and take; you don’t get everything in negotiations. Yeye ukisikiliza unaona kuna demands wakati hana upper hand kwenye bargaining power.
Lissu hatoshi, na Mbowe amepwaya.
EEeeeenHEEEEh!Duh!!!!
Kumbe nawe ni shit....
Nilikuwa nakuonaga wa maana
.
Shit
Yoh.3.20 maana kila mtu atendaye mabaya huichukia nuru wala haji kwenye nuru ili matendo yake yasije yakakemewa (kama alivyokemea Antipas)Uwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani?
Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji.
Wananchi wanatakiwa waambiwe mapato na matumizi sio kuficha ficha.
Wanadai eti kusema maovu kwa uwazi kunaua umoja wa chama kwamba yazungumziwe ndani.
Lissu amesema kama Uwazi ni jambo baya, basi tukubaliane uwazi ni jambo baya.
Hivyo hata CCM wanapofanyia gizani mambo ya kuhujumu taifa kama kuuzwa kwa bamdari tusipige kelele.
Amesema mambo ya kufanyia mambo gizani mara nyingi yanakuwa ni nia ovu. Wanapotumia madaraka yao vibaya, wanapotumia fedha za Umma vibaya na mambo yote yanayofanyia gizani tusipihe kelele. Tukubaliane Uwazi kwa CCM ni jambo baya hivyo hivyo na ndani ya chama tukubaliane Uwazi ni jambo baya unahatibu umoja wa chama.
Lissu amesema anacjofahamu ni mihimu kuwe na uwazi kwenye shughuli za Chama. Tunaficha nini na kwanini?
Kwanini tunaficha kwa mfano matumizi ya fedha za chama? Tunamficha nani na kwanini?
Mambo ya Umma yawe hadharani. Giza linazaa abuse Giza linazaa matumizi mabaya ya madaraka. Vitu vinavyo zungumzwa gizani hata visipo tekelezwa hakuna anayeweza kujua.
Chama cha mageuzi kama chadema hakiwezi kikakumbatia giza halafu tukasema sisi ni chama cha mageuzi.
Tukifanya mambo gizani chama kitakufa. Mtu asije kujidanganya kwamba chama hakiwezi kufa mfano ipo mingi. Hata UDP ilikuwa kubwa kuliko chadema.
Kwahiyo Uwazi utatufanya tuishi maisha marefu kuliko kukumbatia giza.
Wapi Lissu kaongelea ubadhirifu na non-compliance zaidi ya baseless accusations.But confidentiality haiusiki kwenye ubadhirifu na criminal,hayo sio mambo ya kuficha kwa kuwa hayaendani na good compliance,unaweza fiche siri za mbinu ya kibiashara ila sio ubadhirifu au forgery
Mie naongelea umakini watu wanaochukua kuhakikisha mambo ya ndani ayaongelewi nje na watu wenye nafasi za mikakati, iwe taasisi ya public or private; political or business.kama kawaida yako; unajifanya hapa kujuwa maswala; lakini unashindwa kufanya tofauti kati ya hizo taasisi/makampuni ya watu binafsi na maswala ya nchi yanayo shughulikia maisha ya wananchi. Akili za aina hii ni za kukariri tu mambo na kuyachukua yalivyo bila kutumia uwezo wa kuyafafanua.
Lakini, hata huko kwenye makampuni, hujui kuwa madudu yanapo tokea na kujulikana makampuni hayo huwajibishwa?
Ni "mbinu" zipi za CHADEMA alizo zi'expose' Tundu Lissu!Msingi wa ‘restrictive covenant’ ni uelewa kwamba unambinu za vita za ndani, same kwenye siasa ‘unakaa kwenye vikao’ vya mipango; kwa hivyo kuna collective responsibility.
Ulicho andika wewe hakina uhusiano wowote na hakihusu maswala ya kisiasa.Mie naongelea umakini watu wanaochukua kuhakikisha mambo ya ndani ayaongelewi nje na watu wenye nafasi za mikakati, iwe taasisi ya public or private; political or business.
We unaleta hadithi zako kama kawaida tofauti na nilichoandika.
Kuna mahali nimewahi fanya kazi zamani, huwezi zungumzia kampuni hiyo kwa chochote kwa Miaka mitano solid, na una sign agreement..
Haya anayosema Lissu kama ndio ameyaona kwa uongoz wa miaka 20 wa mwamba bas Mwamba ni mtu smart sana...
Kuna NGOs na taasisi nyingi sana madudu yake nchi ingetikisika..
Such a senior position with loose mouth, what a shame?
Ebu leta mfano mmoja duniani ambapo kiongozi anaponda chama chake akiwa bado ni sehemu ya vikao vikuu vya chama au serikali.Ulicho andika wewe hakina uhusiano wowote na hakihusu maswala ya kisiasa.
Na hata huko kwenye taasisi; hayo uliyo yaongelea haya weki ulinzi katika maswala ya uvunjifu wa sheria.
Wewe unarundika tu, bila ya kubainisha chochote, ili mradi uonyeshe unayajuwa ya huko yanavyo fanyika. Unaleta humu upotoshaji wa maksudi kabisa.
Usiwe king'ang'anizi tu wa hoja bila kutumia akili kufikiri.Ebu leta mfano mmoja duniani ambapo kiongozi anaponda chama chake akiwa bado ni sehemu ya vikao vikuu vya chama au serikali.
Hata Ruto alipoanza campaign zake aliachana na shughuli za serikali tena ilikuwa ya mseto.
"...mbinu za vita za chama" zipi alizo zitoa Tundu Lissu.Msingi wa ‘restrictive covenant’ kwenye employment contract ni uelewa kwamba unambinu za vita za ndani kwa baadhi ya nafasi, same kwenye siasa ‘unakaa kwenye vikao’ vya mipango; kwa hivyo kuna collective responsibility.
Akili zako na huyo Lissu ni sawa.Usiwe king'ang'anizi tu wa hoja bila kutumia akili kufikiri.
Maswala ya CHADEMA yameongelewa sana ndani ya Kamati Kuu ya chama hicho. Hata siku moja hukusikia yaliyo kuwa yakiongelewa huko.
Uwezekano wa kuyafumbua matatizo huko ndani umeshindikana na juhudi za kuendeleza ubovu huo zikiendelea. Sasa wewe ulitaka nini kifanyike; kuendelea kulea uozo huko huko ndani kwa jina la 'collective responsibility', au kuchukuwa wajibu wa kukiokoa chama!
Chama siyo mali ya mtu, au ya viongozi, ni mali ya wananchi.
Kwa hiyo sasa maswala yameletwa kwa wenye chama, waamue. Hizo siri unazo taka zifichwe ni zipi, hasa; unaweza kuzitaja?
Una hakika ni siri za chama, au ni za watu binafsi; hata kama ni viongozi wa chama?
Kwa nini wewe na wengine mnakazania sana madudu ya mtu/watu binafsi na wala siyo ya chama yalindwe? Chama kinafaidika vipi na hawa watu kufichiwa hizo siri?
Siri za watu binafsi zinazo kidhoofisha chama zifichwe, kwa jina la 'collective responsibility', kwa nini?
Uzuri ni kwamba yeye mwenyewe Lissu anafahamu siasa anazofanya zinakibomoa chama baada ya uchaguzi ashinde/ashindwe wana kazi kubwa mno ya kukirudisha kwenye mstari."...mbinu za vita za chama" zipi alizo zitoa Tundu Lissu.
Mwenyekiti wa chama alipewa maelekezo na chama kuyafanya yote yanayo lalamikiwa? Kama kachukuwa jukumu la kufanya mambo binafsi; bado ni sahihi asiambiwe kwa vile yeye ni mwenyekiti?
Hii ni misrepresentation. Hakuna mtu anaesema uovu ufichwe. Uovu wowote ndani ya chama unatakiwa ushughulikiwe kwa taratibu walizojiwekea kuushughulikia. Kuuleta hadharani inatakiwa iwe hatua ya mwisho baada ya kuona viongozi hawataki kuzishughulikia. Hatua hii mara nyingi inatakiwa iendane na kujiuzuru kutoka katika nafasi ya uongozi. Kinachoendelea sasa hivi ni kutoa tu allegations bila substantiation.
'Actually' kadri ninavyo zidi kumfahamu Tundu Lissu kwa haya yanayo endelea sasa hivi, sina tatizo kabisa na huo mstari ulio uweka hapo juu.Akili zako na huyo Lissu ni sawa.
Habari za vikao vya ndani vilivyo shindikana!Sana Lissu ameelezea extent ya tatizo; aiwezekani prominent members viongozi wa kanda kuwa na msimamo mmoja Lissu, Lema, Heche, Msigwa, yule wa kusini (jina limenitoka) na Wenje (kabla ya kugeuka). Clearly Mbowe muda ulikuwa umefika.
Lakini hizo ni taarifa za vikao vya ndani, sio public knowledge na kawaida kwenye siasa. Sasa baada ya hapo uwezi toka nje na kuanza kuropoka especially mtu bado ni kiongozi.
Ni kweliUwazi na uwajibukaji ndo utafanya CHADEMA idumu sio kuficha Uovu. Amyeaongea hayo kwenye Clubhouse alipoulizwa kwamba haoni kama kuongea mambo kwa Uwazi kunaua Umoja wa kitaifa wa chama? Kwanini asionhelee mambo ndani?
Kufanya mambo kwa Uwazi kunaleta uwajibikaji.
Wananchi wanatakiwa waambiwe mapato na matumizi sio kuficha ficha.
Wanadai eti kusema maovu kwa uwazi kunaua umoja wa chama kwamba yazungumziwe ndani.
Lissu amesema kama Uwazi ni jambo baya, basi tukubaliane uwazi ni jambo baya.
Hivyo hata CCM wanapofanyia gizani mambo ya kuhujumu taifa kama kuuzwa kwa bamdari tusipige kelele.
Amesema mambo ya kufanyia mambo gizani mara nyingi yanakuwa ni nia ovu. Wanapotumia madaraka yao vibaya, wanapotumia fedha za Umma vibaya na mambo yote yanayofanyia gizani tusipihe kelele. Tukubaliane Uwazi kwa CCM ni jambo baya hivyo hivyo na ndani ya chama tukubaliane Uwazi ni jambo baya unahatibu umoja wa chama.
Lissu amesema anacjofahamu ni mihimu kuwe na uwazi kwenye shughuli za Chama. Tunaficha nini na kwanini?
Kwanini tunaficha kwa mfano matumizi ya fedha za chama? Tunamficha nani na kwanini?
Mambo ya Umma yawe hadharani. Giza linazaa abuse Giza linazaa matumizi mabaya ya madaraka. Vitu vinavyo zungumzwa gizani hata visipo tekelezwa hakuna anayeweza kujua.
Chama cha mageuzi kama chadema hakiwezi kikakumbatia giza halafu tukasema sisi ni chama cha mageuzi.
Tukifanya mambo gizani chama kitakufa. Mtu asije kujidanganya kwamba chama hakiwezi kufa mfano ipo mingi. Hata UDP ilikuwa kubwa kuliko chadema.
Kwahiyo Uwazi utatufanya tuishi maisha marefu kuliko kukumbatia giza.
Huku ndiko kujitoa ufahamu wewe mwenyewe waziwazi kabisa na kujichukulia kuwa wewe ni mwerevu!Uzuri ni kwamba yeye mwenyewe Lissu anafahamu siasa anazofanya zinakibomoa chama baada ya uchaguzi wana kazi ashinde/ashindwe wana kazi kubwa mno ya kukirudisha kwenye mstari.