Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

Kila siku nawaambia humu ndani ukiwapanga watanzania kwa ukubwa wa akili na usahihi wa matumizi basi Lissu atashika namba moja kwa miaka 100 au zaidi.
Hii nchi ina wajinga wengi ukiwagawia akili za Lissu pekee kila mmoja anapata na zinabaki.
Achaneni na Mbowe kabla hamjageuka Mazombie.
 
Uwazi ni muhimu
 

Sasa hivi hamna mwenyekiti wala makamu, wote ni wagombea so yupo sahihi na mfano wa corporate world haupo relevant kwenye siasa
 
Mkuu kampuni na chama cha siasa ni vitu tofauti.

Lisu kasisitiza kuweka wazi rushwa na matumizi ya mapato na matumizi.

Au unaona ni aibu kuweka wazi au una maanisha nini???
 
🤔 🤔 🤔
 

But confidentiality haiusiki kwenye ubadhirifu na criminal,hayo sio mambo ya kuficha kwa kuwa hayaendani na good compliance,unaweza fiche siri za mbinu ya kibiashara ila sio ubadhirifu au forgery
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👌👍
 
Hebu Tulia ww, hakuna siri kwenye uchafu. Sehemu kubwa ya siri wanazoficha huko kwenye taasisi ni mbinu za kufaidisha taasisi na sio wizi wa kijinga.
 
🌤️🙋‍♂️✍️🎯👌👍
 
Mkuu mayor,

Kweli of all the people Lissu ndiye asijue mipaka ya siri??? Wewe na Kalamu mnatofautiana sehemu ndogo sana.

Kwenye hoja hii, Lissu amejikita kuwepo uwazi kuhusu matumizi mapato na rushwa kwenye chama chao.

Nyie wawili mmetanua wigo nje ya mada hii na hapo ndipo tofauti yenu inapoanzia.

Tujielekeze kwenye mada hii, je ni sahihi Lissu kudai uwazi kwenye mapato, matumizi na rushwa???

Halafu, pamoja na kutofautiana mitizamo ni vizuri tukatoa msimamo yetu pasipo kutukanana na wenzetu tunaohojiana nao au tusiokubaliana nao.

Huo ndio ukomavu na uungwana. Uvumilivu ni kipimo cha ustaraabu na busara mkuu.
 
 
🤔 🤔 🤔 💭
 
Mkuu sio kweli, na hauko sahihi katika hili, tusemezane kwa staha. Tuliza munkari mkuu.

Humu jukwaani kila mtu ana uhuru wa maoni na mitizamo yake, jitahidi kuheshimiana hata kama mjadala ni wa moto namna gani!! Vumilia songa mbe kwa staha mkuu.

Jihadharini sana, msivuke mipaka ya kuingia kwenye uchawa! Mpo ukiongoni!!

Kuna mijadala ya moto zaidi ya huu baada ya uchaguzi huu.
 
🤣 🤣 🤣
 
Huna akili kumbe
 
Lisu anaropka bila evidence. Ameweka evidence gani? . Lisu ameweka revelations, ...submissions which submissions are not evidence.....Wewe ndiye hujui , huna akili za kuchanganua mambo unameza kama dodoki

LISU AMETOA TUHUMA , TUHUMA INABIDI ZITHIBITISHWE NA USHAHIDI.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…