Tundu Lissu: Bila kuwa na Uwazi na Uwajibikaji, CHADEMA itakufa

Uwazi ni muhimu
UWAZI NI MUHIMU, MBONA WWE UNA FAKE ID........... hapa ndipo unaona kuwa watanzania akili zetu kiduchu. Unahubiri uwazi wakati una fake ID...strange!

Nanjua kuna sababu ya msingi wewe kutumia fake ID, likewise katika mambo ya "familia" l;ike chadema kuna wakati lazima uwazi uwe shelved for family's interests and safety!
 
Tundu Lisu tunamwelewa, shida ipo kwa huyo king'ang'anizi. Dawa yake ni kumng'oa.
 
Mkuu sio kweli, na hauko sahihi katika hili, tusemezane kwa staha. Tuliza munkari mkuu.
Mimi huwa sina unafiki; hilo lielewe kwanza.
Ushauri wako nauelewa na najuwa nia yako njema. Lakini angalia unavyo kuwa hakimu mwenyewe hapa!

Ni kitu gani ambacho umeona "siyo kweli"?
Humu jukwaani kila mtu ana uhuru wa maoni na mitizamo yake, jitahidi kuheshimiana hata kama mjadala ni wa moto namna gani!! Vumilia songa mbe kwa staha mkuu.
Na kama kweli unayaamini haya maneno yako hapa; moja kwa moja ungetambuwa kuwaunaninyima haki yangu, au siyo? Mimi siruhusiwi kuwa na "...uhuru wa manoni na mitizamo yangu..."? Mbona unataka kunifungia?

Mkuu 'Mizania', elewa tu kwamba maswala haya yanayo zungumziwa humu JF, siyo mzaha, siyo utani. Ingekuwa ni mkutano pale uwanjani, watu wangetiana ngeo vichwani, na hata kuuana. Haya maswala ya nchi yetu ni vita.

Napenda sana kuwa na staha, mahali ambapo kuna staha. Humu ndani hakuna staha. Huyu unaye mtetea hapa naona hujui historia yake humu. Huyu ni mtu ambaye alikwisha diriki hata kuandika humu humu kwa furaha kabisa yaliyo mpata Tundu Lissu alipo koswa koswa na zile risasi; na hapo hapo akaendelea kuhimiza wengine wamalizie kazi hiyo iliyo shindikana huko nyuma.

Sasa nikuulize wewe; kwa nini hukusema lolote wakati mtu huyu akitumia uhuru wake kujieleza?

Mwisho. Nia yako njeama naitambua, lakini kwa bahati mbaya hutambui vita kubwa inayo endelea nchini mwetu wakati huu.
 
Aiiseee!
Umeishia kuwa mtu wa namna hii?
Basi atwambie kama risasi ziliharibu male function yake maana uwazi unalipa ...kuna mabo huwa hatusemi kulinda heshima , mshikamano, ustawi wa ya familia..chadema familia

Lisu ni mropokaji tena mropokji kwa mabo ambayo hayana ushahidi
Kumbe chama (CHADEMA) kwako ilikuwa ina maana ya Mbowe, siku zote zile?
 

UWAZI ndiyo utakaompa 😛RO Lissu ..... Maza ana mambo mengi ya Gizani. Hasa kwa Wajomba zake.
 
Halafu, pamoja na kutofautiana mitizamo ni vizuri tukatoa msimamo yetu pasipo kutukanana na wenzetu tunaohojiana nao au tusiokubaliana nao.

Huo ndio ukomavu na uungwana. Uvumilivu ni kipimo cha ustaraabu na busara mkuu.
Kakwambia chochote juu ya ushauri wako huu? EEeeeeeenHeeeeee!

Bungeni ni mahala pa staha; mahali ambapo mijadala mizito hujadiliwa kwa uvumilivu mkubwa, chini ya taratibu makini zilizo wekwa kuhakikisha staha inatawala.
Lakini hata huko; kuna mabunge huishia kwenye vurugu kubwa mada zenye kuamsha hisia zinapo husika.

Hali hiyo huwa inazidi kuwa mbaya zaidi, inapo tokea kwamba kundi linalo ungwa na vyombo vya dola linapo lazimisha hoja zao zikubalike.
Hali hiyo ndiyo tuliyo nayo sasa hapa nchini kwetu. Wanacho taka CCM ni lazima kipite, hata kama wengine wote hawakitaki. Rejea swala la Bandari na DPWorld, na maswala mengi mengine

Wanaokataliwa hoja zao, hata kama ni hoja zenye manufaa makubwa, hawa tuna waambia wawe na STAHA!!!!
Kuwa na staha, maana ake kubaki na maumivu na kuyaugulia humo humo ndani yako mwenyewe!!!!

Inaudhi na kuumiza sana. Hasa hasa, huyo anaye kuhimiza kuwa na staha, na kukuumiza anaporudi na kuendelea kukusimanga katika maumivu yako.
 
Unadhani kwanini hawampeleki mahakamani wala hawaombi evidence? Wataibika vibaya mno na ndio kitu wanachoogopa ndio maana bwana zako wapo kimya maana mpaka hapo Lisu kawatendea huruma tu.
Wambie waseme Ng'wee, Abdul aliambiwa abishe ushahidi uwekwe hadharani mpaka leo yupo kimya.
 
Umenizushia uongo mwingi sana ya kuwa namchukia Lissu.

Shida ni kwamba hajui mipaka ya mdomo wake.

Nchi ipo kwenye re-negotiation ya mikataba.

Yeye anapotosha na mataahira wewe kama wewe kama mna nadi upuuzi wake wa nchi itashitakiwa MIGA (wakati anaongea upuuzi mtupu).

Serikali inamuonya acha tufanye yetu hataki kuelewa somo anapotosha wajinga kama nyie achekewe.

Fyatua tu (akaongee ujinga wake) akhera like I said before nitasema tena huko mbele; he deserved what he got.

MIGA ( the nonsense)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…