Pre GE2025 Tundu Lissu: Bilioni 54 za kununua pikipiki "SSH 2025" zimetoka wapi?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ushawahi kuagiza gari nje ya nchi?
 
Au ndio zile 200 katika kila kilo ya sukari, au zimetoka kwa wale jamaa wa dubenga, yote yanawezekana.
 
Hivi Mshahara wa Raisi ni shilling ngapi na utamudu pikipiki ngapi? Tuanzie hapo Kwanza...
Kama ni kweli kwamba Raisi huwa anahudumiwa kila kitu na serikali, je huo mshahara wake anautumiaje au kwa mambo gani, pikipiki imo au ? Atupe mchanganuo kwa kweli... ndio njia pekee ya kuwanyamazisha hawa wanao mzodoa. aweke na salary slip yake kwa kweli... numbers don't lie, huwa wanasema akina Sugu Mbilinyi na wenzanie...
 
Au ndio zile 200 katika kila kilo ya sukari, au zimetoka kwa wale jamaa wa dubenga, yote yanawezekana.
Maswali ni mengi kuliko majibu, chura kimya, kabda atoke majini aonye joto na yeye ardhini.
 
Anatengeneza scandal kwenye serikali yake anashindwa kujitetea, mwishowe anaamua kuacha mambo yajiendee yenyewe huku kazi yake kubwa inakuwa ni kuchota sehemu ya hizo pesa anazotuibia na kuzigawa kwa critics wake kuwafunga midomo ili wasimseme.

Samia amefeli.
 
Maswali ni mengi kuliko majibu, chura kimya, kabda atoke majini aonye joto na yeye ardhini.
Na alisema hataki mtu aguse uchumi wake, sasa sijui alimaanisha uchumi wa nchi au wake binafsi
 
Ok sawa siyo B 54!! Wewe Kwa hesabu zako umepata shilingi ngapi jumla?
 
umepigilia msumari utosini, nakazia, ni uchumi wake wa mfukoni au wa nchi ya Tanzania?
Nadhani ni uchumi wake kwasababu uchumi wa nchi hawezi kuuita wake, ameona maswali ni mengi kuhusu vyanzo vyake vya mapato.
 
Waarabu wamenunua ngorongoro tsh bilioni 27, Bandari zimeuzwa tsh bilioni 200, eneo la madini ya graphite waliouziwa wa Korea kusini wameuziwa bilioni 90 na zote kakunja mfukoni mwake.hizo pesa za pikipiki ni sehemu mdogo tu ya pesa alizouza Nchi.
 
Ni sahihi watu wasitugawe kwa maslahi yao,lakini sio kweli bei iliyoko mitandaoni ndiyo halisia kwenye soko la ndani.
Boxer moja ni almost 3.5M Kila kitu.
 
Mi nahangaika kuwaza tu buree, kumbe pikipiki ni laki 7 tu? Tena boxer! naomba uniagizie nakutumia hiyo hela
 
Ficha ujinga wako nenda dukani wanakouza piki piki ndio uje na bei,hizo online ushaweka kodi hapo? Mambo ya wazi kabisa unataka kutumia nguvu kibao sokoni kwa sasa Bajaj ni 12m na piki piki ni 3m approximately
 
Waarabu wamenunua ngorongoro tsh bilioni 27, Bandari zimeuzwa tsh bilioni 200, eneo la madini ya graphite waliouziwa wa Korea kusini wameuziwa bilioni 90 na zote kakunja mfukoni mwake.hizo pesa za pikipiki ni sehemu mdogo tu ya pesa alizouza Nchi.
Dah..hivi ni kweli hili jambo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…