Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Ila chadema wapunguze kuomba omba wanakuwa omba omba kwani pesa wanayopewa na serikali kwa ajili ya kuendesha chama huwa inaenda wapi inafanha kazi gani?
Mkuu hadi kesho vyama vya siasa USA wanaomba michango online sembuse CHADEMA? Shida watu wamezoea tabia chafu ya CCM ya kuchota pesa za walipa kodi na kuwapatia wasanii na watu wachache ndiyo mnafikiria kila chama kifanye hivyo.
Kama chama ni cha wanachama ni lazima wakihudumie MUST
 
Hiyo hoja yako namba 3 ya 51% kwa 48% ni mfu yenye lengo la kukigawa chama.

Mwanachadema mwenye akili timamu hawezi kuitulia maanani.

Ni mamluki wa kijani ndio anaweza itumia.
 
Mjitegemee bhna
 
Ukiiweka hali ya sasa ya siasa za Tanzania in religious context, Lissu ni kama Jewish messiah aliekuwa anasubiriwa (just an allegory not to offend any Jews in the forum, if any).

Shida yake ni ropo-ropo akiweza kuacha matusi kwa Magufuli naona wananchi wakiichangia CDM aijawahi tokea katika historia yao.

Be it Lissu ni false hope, only that desperate times calls for desperate measures; ndio ninachokiona.
 
Naona unajitia moyo ya kwamba ipo siku CDM baada ya Mbowe kufurushwa na wajumbe. Kila kheri usijepata kiharusi.
 
Siku hizi umekomaa akili unawaza fact!
 
Kwaiyo unahisi mbowe alikuwa na mabillion magapi ya kuipa chadema kila siku?
 
Tena wa humu JF
Watamchangia sana wapo wengi wamefurahia yeye kupata hicho cheo

Hasiwe na wasiwasi kabisaaaaa
Atazipata pesa ataongoza vizuri na pesa ya kwenda popote hata nje ya nchi atazipafa tu

Ruzuku ataiona kama ya kununulia biryani akiwa ofisini

Furahieni jamani Mkuu kasema michango michango ili chama kisongeeee
 
Majeraha sionrahisi kuponyeka mapema
Mkuu watanzania wameichoka mno CCM..ikiitishwa michango utashangaa upepo wa kisurisuri wa michango
 
Ni hivi hakuna kuhama chama mkishindwa, ww utachanga au bado umenuna?
 
Ni kweli, tatizo ni umaskini ndio maana watu wanaweza kugombana na konda kwenye dalala kwa sababu ya sh 100 tu.
 
Mtoto akililia wembe mpe.

Sisi tumekaa pembeni tunakula popcorn. Tunaangalia mambo yanavyokwenda.

Hapo Bado anatakiwa kufanya ziara nchi nzima ya kujitambulisha , kushukuru , kuomba ushirikiano na kutangaza vipaumbele vyake.

Sisi ni wanachama tutamuunga mkono ila tunataka tuone ataendeshaje chama.

Kama unajua jogoo hapandi mtungi, unaoa ili nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…