Tundu Lissu: CHADEMA haitakwama kwa kukosa pesa za Mbowe

Mm namshukuru Mungu kwenye mishemushe zake aliwai kupita kwenye kizuizi cha mazao mwaka 2020 akitokea kumnadi mugombea ubungea nilikuwa natoza ushuru, alisimama nyuma ya foleni za magari zinazo kaguliwa akashusha kioo cha nyuma akaniomba nimsaidie kufungua barrier awai kulala maana kesho yake atakuwa na mkutano Karagwe. Nawaza kama anakumbuka hii kitu maana nililopoka kwamba jamani kuna Tundu lissu hapa, mugambo wa barrier wakaja kumsalimu wanamwambia mueshiwa chukua fomu ya urais basi? By that time alikuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni. Nachotaka kusema uwa ninaona mbali kuna uwezekano mkubwa wa Lissu kuchukua nchi.
 
Naona umepanick vibaya sana hadi unachanganya mambo mengi kwa mpigo, unatukana kila aliye kinyume na utashi wako! Narudia tena, Lisu sio muuza unga, usitegemee atoe hela yake ya mfukoni kuendesha chama. Kama ulikuwa unatoa 5m kwa chama hata sasa endelea kutoa maana chama kipo. Vinginevyo ulikuwa hutoi kwa chama bali kwa Mbowe.

Ulinidharau kusema jeshi lichukue nchi, kwani hata sasa ccm inakaa madarakani kwa backup ya nani? Wako madarakani kwa kura halali? Kama wanachama hawawezi kuchangia chama chao wanasubiri hela za wauza unga, ni bora kife watu waendelee na mambo mengine. Punguza jazba, kama ulikuwa unaendesha deal zako kupitia madaraka ya Mbowe kajipange kivingine, watu wametaka mabadiliko, jazba za nini?
 
Kama mashabiki wa Team ya Simba walichanga zaidi ya milioni 68 ndani ya siku zisizozidi 5 itakuwa kwa wanachama Nchi nzima, muhimu ielezwe matumizi yake na kuwe na uwazi kwa viongozi juu ya kiasi kilichochngwa na matumizi yake
Kwani hao wa Simba siyo wa nchi nzima! Unataka kutuaminisha Simba haina mashabiki mikoani! Siyo kweli.
 
Atajiju na kimbelembe chake.kwanza mtu mwenyewe hata ccm wanamlia timing.
 
Haya sasa chama mmepewa, tunataka kuona kinasonga mbele maana mlidhani Mbowe ndiye kikwazo. Sasa hizi kauli za bora kife zinadhihirisha chuki zenu kwa Mbowe, hasa wewe Tindo.
 
Kwahiyo mlitaka Mbowe aendelee kufanyia vikao vya chama nyumbani kwake Mikocheni
TATIZO lISU AMEWAAMBUKIZA KUSEMA UONGO! HAKUNA KITU KAMA HICHO HAPO JUU KILIKUWA KINAFANYIKA KWAKE, ONLY FUNDING TOKA KWAKE ILIKUWA KUBWA............na si vizuri kufund chama, sasa isu atafute pesa.
 
Hapo ulipo umelalia neti yenye matobo hata kodi ya elfu 50 inakushinda unaharisha JF utatoa 10M kwa chama!!!!! Lissu mjinga na ana mambo ya kitoto sana kuvimba kichwa kwa sentiments Hizi Za balehe
Mbona unahasira au kinyeo kinakuwasha
 
Harafu Bado ana dharau eti Kwa kukosa pesa za Mbowe 🤣🤣

Hawa wasipate hata Mbunge mmja harafu tuone
 
Siwezi ombea dua la Kuku CDM Nimetoka nayo mbali sana!! Lissu hakujiandaa kuiongoza CDM na kwa nature ya watanzania Hana muujiza wowote ule kuikwamua kifedha…. Hii pride ya kipumbavu na kitoto mliyonayo very soon mtaimeza….
Nyerere aliiongoza TANU kwa pesa yake?
 
Ngedere wewe eti ulikua unachanga mpaka million5 wakati hapo ulipo uanadaiwa Kodi chumba cha elfu 20
 
Unawasemea watu hawatochanga kwani zile 70 M alizolipiwa Mbowe ndani ya saa 24 ili asifungwe zilitoka wapi?
Mbowe ni mtu wa watu ana marafiki wenye pesa kibao,Kibaraka Lisu tofauti na kutegemea kina Amsterdam ana nini kipya?

Miezi 6 mnachangia gari lake mil.70 ndio mtaweza kuchangia mabilioni ya kuendesha chama ?
 
Naam ,He is a man to trust , hana konakona
 
Hapo ulipo umelalia neti yenye matobo hata kodi ya elfu 50 inakushinda unaharisha JF utatoa 10M kwa chama!!!!! Lissu mjinga na ana mambo ya kitoto sana kuvimba kichwa kwa sentiments Hizi Za balehe
Chawa wa Mbowe wameanza kumsumbua Lissu!
 

Bora Chama kifie kwa Lisu kwa kukosa pesa, Kuliko kiendelee kwa Hela za Mbowe na Ccm!
 
Michango ya gari tu nyie wa jf mlichanga Bei gani?
 
Mbowe ni mtu wa watu ana marafiki wenye pesa kibao,

Kibaraka Lisu tofauti na kutegemea kina Amsterdam ana nini kipya?
Wale waliotaka kufungwa kina Msigwa hawakuchangiwa
Miezi 6 mnachangia gari lake mil.70 ndio mtaweza kuchangia mabilioni ya kuendesha chama ?
Pesa aliyochangiwa Lissu hadi mara ya mwisho anatoa update ilishavuka hicho kiasi.

Na by the way chama hakijaomba michango kikija kuomba watu watachangia ila hatuwezi kusema mtu awe kiongozi sababu ana pesa?
Mbowe ni mtu wa watu ana marafiki wenye pesa kibao,
Kwahiyo zile milioni 300 walizochangiwa wasifungwe zilichangwa na marafiki wa Mbowe?
Kibaraka Lisu tofauti na kutegemea kina Amsterdam ana nini kipya?
Baada ya Mbowe kushindwa bado mnauguza maumivu kuliko hata wanachadema wa kambi yake.

Wewe Robert Amsterdam nadhani hujui hata ni nani mmekariri tu na kutumia neno kibaraka visivyo ujinga wa cold war hadi leo inasikitisha umehamishwa hadi kizazi hiki na CCM.
Miezi 6 mnachangia gari lake mil.70 ndio mtaweza kuchangia mabilioni ya kuendesha chama ?
Hilo gari kiwango ulichotaja kilishapitwa muda sana.

Na wewe nani amekwambia watu wakiombwa kuchanga watagoma?

Ingetokea Mbowe kafariki ina maana ndio ingekuwa mwisho wa chama au , maana huko Lumumba ni kama ubongo mnaupeleka likizo kipindi fulani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…