Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mazezeta ya Syria yalikuwa hayataki kabisa ukombozi kutoka kwenye makucha ya BAATH PARTY chama cha Dikteta Assad, lakini baada ya Utawala kuanguka Mazezeta yakawa ndio ya kwanza kushangilia Ushindi.

Je hapa Tanganyika itakuwa kama Syria, Mazezeta yetu na yenyewe yataingia Kitaa kushangilia kwa Nderemo Vifijo na Hoihoi pindi yatakapokombolewa kutoka katika makucha ya CCM?

Kwako Lucas Mwashambwa vipi utashangilia anguko la CCM?
 
Chadomo wakigoma vyama vingine zinaibuka na kukubaliana na matakwa kisha ndio mwisho wake maana baada ya uchaguzi hakutakuwa na kiongozi hata mmoja wa kuchaguliwa wa chadema

USSR
Kwa hali ya sasa hata wakishiriki hawata tangazwa ni bora wapiganie mfumo kuliko hivi. Huwezi kwenda kwenye chaguzi wa kijinga hivi. Ni kwa wananchi wenyewe sasa kama wataendelea kukubali wawakilishi fake tumeanza kuona sasa wanakataliwa wazi wazi imefika walati watu wanaombea wabunge wafe! Sijui kama mnajua haya. CCM wanatakiwa kuogopa watu sio Lissu wanaamka wenyewe
 
HATA KANU WALISEMAGA HIVYO. WEWE NANI UFAHAMU YA KESHO? MTU AMBAYE HUWEZI TENGENEZA SISIMIZI UNASEMA SA100 ATASHINDA?
 
1733837959272.png
1733837959272.png
 
Hulka ya Zezeta ni muoga wa kufa wakati Njaa inamuua taratibu.

Hulka nyingine ya Zezeta ni Ujasiri wa kijinga wa kutovaa Condom lakini anaogopa Virungu vya Polisi.

flat,750x,075,f-pad,750x1000,f8f8f8.u1.jpg

Utamkomboaje Masikini Zezeta hakomboleki?! labda afanyiwe maombi ili Moshi wa Mwenge umtoke.

Zezeta Kalogwa akalogeka CHADEMA inapoteza muda wake tu.

Anajua sana mambo ya Yanga na Simba huku mlo mmoja unampiga chenga.
 
Wanasiasa kwa maneno hawajambo
Na uchaguzi utapita yatabaki maneno tu kama siku zote
 
Mkuu umesikiliza Speech ya Mbowe na Lissu kuhusu huu Uchafuzi mdogo?!
Nimeiona ya Mbowe na kuisikiliza mwanzo mwanzo
Nikasema ntaimalizia baadae ila nikaona hebu niangalie comments za watu
Unajua tena siku hizi watu wanakimbilia comments kabla
Ngoja nisikilize zote
 
Chadomo wakigoma vyama vingine zinaibuka na kukubaliana na matakwa kisha ndio mwisho wake maana baada ya uchaguzi hakutakuwa na kiongozi hata mmoja wa kuchaguliwa wa chadema

USSR
Hivyo vyama vyengine ni matawi ya ccm yanayotumika ili kuhalalisha uccm tu.
 
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha chaguzi huru na za haki nchini.
==

"Kuanzia 2015 hakuna ushindani, hawataki uchaguzi na ukweli wa Mungu ni kwamba sisi (CHADEMA) hatujashindwa uchaguzi na CCM tumeshindwa uchaguzi na Jeshi la Polisi, tumeshinda uchaguzi na Idara ya Usalama wa Taifa, tumeshindwa uchaguzi na mfumo mzima wa Tawala za Mikoa (TAMISEMI), Wakuu wa mikoa, Wakuu wa wilaya, Wakurugenzi na watumishi wao wote sio CCM"

"Sasa maana yake ni kwamba tatizo letu la msingi ni mfumo wa uchaguzi, huu unaofanya Polisi, Usalama wa Taifa, JWTZ, watumishi wa umma badala ya kusmamia uchaguzi na kutenda haki wanakuwa wao ndio wapambanaji wa uchaguzi huo, na vilevile wanaamua nani anashinda, na tukisema tunaenda hivihivi itatokea tena mwaka ujao (2025), na itatokea tena kwenye uchaguzi wowote utakaofanyika"

"Ni tatizo la mfumo, na jibu la tatizo la mfumo ni 'No Reforms, No Election' (bila mabadiliko ya mfumo wa uchaguzi, hakuna uchaguzi), sio kususia ni kuzuia uchaguzi hiyo ndiyo njia"
Safi hayo ndo maneno tunayoraka kusikia, siyo porojo za walamba asali mbowe na zito
 
Hata wakimsimamisha makamba
Kwa sasa ccm hawana presidential material
 
Tatizo la nyagi mchana hili

Watazuia kWa vigezo gani
 
Back
Top Bottom