Kwani matatizo ya taifa ambayo ni ya kisiasa yanaisha? Kwahiyo vyama vya siasa viache siasa vihubiri ujio wa yesuKila taasisi Ina matatizo yake na hayaishi Leo Wala kesho
Lakini wameamua kudili na matatizo ya Taifa kwanza maana taifa ni kubwa kuliko taasisi yoyote
Jitahidi kutumia akili
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa
Kwahiyo mwenyekiti kusema watakinukisha alilenga kukinukisha kabla au wakati wa uchaguzi?NRNE ililenga kabla ya uchaguzi, sio wakati wa uchaguzi
Hata hivyo nguvu yake ilipungua mno alifunguliwa kesi na chama kupigwa ban project ikafa
Hiki kilichoibuka katikati sio NRNE, ni kitu kingine
Hahaha mbona it simple, alisema ikaishia wapi.?Kwahiyo mwenyekiti kusema watakinukisha alilenga kukinukisha kabla au wakati wa uchaguzi?
Fikra inaishi kufa kwa imamu sio mwisho wa ibada labda uamue kutokuelewaHahaha mbona it simple, alisema ikaishia wapi.?
fikra huwa inakufa undercertain condition with time. Kuna factors zita determine ife au isifeFikra inaishi kufa kwa imamu sio mwisho wa ibada labda uamue kutokuelewa
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa
IGNORED AND BLOCKED SUCCESSFULLYKamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Wanachadema wanasema chadema ni Imani na unajua Imani inavyofanya kazifikra huwa inakufa undercertain condition with time. Kuna factors zita determine ife au isife
Si fikra zote zinadumu
Mboa kwenye maandamano sikuona chadema, sikuona viongozi, bendera ya chama? Or mwanachama?Wanachadema wanasema chadema ni Imani na unajua Imani inavyofanya kazi
Uhalisia ni kuwa lissu kawapeleka wafuasi wake machinjioni na wakachinjwa kuliko enzi za mbowe
Wapi nimetetea Serikali inayoua watu?
Wewe kalale Wanaume tunaingia kazini .TUKUTANE TAREHE 09.12.2025Ukweli mchungu
Vijana ambao mko mstari wa mbele hadi kufikia kuhatarisha maisha yenu kwenye maandamano
Baada ya nchi kukombolewa kama mnavyodai upinzani wakichukua nchi watoto wa Lissu walioko Marekani na Lema waliopo Canada ndo watakula teuzi ๐
Ila si hasa
Mbinu tu maana mbowe alienda na bendera ya chama kwenye maandamano akapewa kesi ya ugaidi najaribu kukuelewesha hata kama unaelewaMboa kwenye maandamano sikuona chadema, sikuona viongozi, bendera ya chama? Or mwanachama?
Wao si walipigwa marufuku kabisa kuendelea na shughuli zozote za chama?
๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎWapi nimetetea Serikali inayoua watu?
Nilichokisema taasisi za dini ziachane na siasa
Itapangwa tena tarehe 31-12Wewe kalale Wanaume tunaingia kazini .TUKUTANE TAREHE 09.12.2025
Mimi ni Mkatoliki. Nijulishe kuna matatizo gani kanisani kwangu ambayo siyajui.Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
1. Kanisa limekuwa biasharaMimi ni Mkatoliki. Nijulishe kuna matatizo gani kanisani kwangu ambayo siyajui.
Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA