Acha akili ndogo. Kufa ndiyo ukombozi, Tangany6bwill not be the same againKamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo
Yeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyuMaandamano kaanzisha yeye? Seriously
Mtu yupo mahabusu for how long?
Mbona hatukuwasikia wakikemea mauaji ya Zanzibar 2001? Au ule ulikuwa sio uovuPole sana kwa kuwa mpumb.avu, hujui hata maana ya siasa, wala hujui kazi ya watumishi wa Mungu.
Ulivyokosa akili unaamini kuwa uovu ni siasa. Watumishi wa Mungu wa kweli, siku zote, jukumu lao la kwanza ni kukemea uovu, na kuwataka waovu watubu, wamrudie Mungu, watende hami, kwa sababu Mungu tunayemwabudu ni MUNGU WA HAKI. Dhuluma ni uovu, na uovu ni dhambi. Dhambi itaendelea kuwa ni dhambi nila ya kujali kama anayetenda ni rais, ombaomba, mkulima au mfanyakazi, mwanaume au mwanamke, ana dini au hana dini.
Hongereni sana watumishi wa Mungu mliosimama imara kukemea dhambi ya dhuluma, dhambi ya mauaji, dhambi za utekaji na mauaji. Mungu wa kweli azidi kuwajalieni ujasiri wa kusimama katika kweli yake dhidi ya watumishi wa shetani waliosimama kuyatetea matendo ya shetani. Lakini lililo wazi, shetani hawezi kumshinda Mungu.
Ila dhumuni ilikuwa wasishiriki uchaguzi ili kuzuia vifoAcha akili ndogo. Kufa ndiyo ukombozi, Tangany6bwill not be the same again
Kwa taarifa yako siasa ni lazima ijadiliwe na yoyote ndio inayotuongoza wote. Hakuna popoteTEC imejadili siasa za vyama bali utawala. Jifunze kwaza tofauti ya siasa na utawala wa nchi, ukishajua tofauti uje kwenye mjadala. Epuka upotoshaji au kuwa bendera fuata upepo.Wakatoliki wana matatizo mengi makanisani mwao zaidi ya siasa wajihusishe na hayo kwanza siasa wawaachie wanasiasa na vyama vya siasa kama wanataka kujihusisha na siasa taasisi zao wazisajili kuwa vyama vya siasa the same applies to BAKWATA
Kwahiyo kutoshiriki kwao ilikuwa ni ili ccm wajitangaze kwa kura batili? Kuna popote uongozi wa cdm ulishika bunduki kuua watu? Ams mnadhani watu wataendelea kuwa waoga/wajinga wa kudumu.Ila dhumuni ilikuwa wasishiriki uchaguzi ili kuzuia vifo
Lissu alisema wanashiriki uchaguzi ili iweje? Waende wakauliwe tena kama inavyokuwaga kila uchaguzi!! Badala yake kipi kimetokea
Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa sasa maana dini haitajwi tena makanisani mwao ni uchaguzi tuKwa taarifa yako siasa ni lazima ijadiliwe na yoyote ndio inayotuongoza wote. Hakuna popoteTEC imejadili siasa za vyama bali utawala. Jifunze kwaza tofauti ya siasa na utawala wa nchi, ukishajua tofauti uje kwenye mjadala. Epuka upotoshaji au kuwa bendera fuata upepo.
Hivi unaelewa hoja?Kwahiyo kutoshiriki kwao ilikuwa ni ili ccm wajitangaze kwa kura batili? Kuna popote uongozi wa cdm ulishika bunduki kuua watu? Ams mnadhani watu wataendelea kuwa waoga/wajinga wa kudumu.
Wala si yeye, kuna mtu mnamruka na anajulikana.Yeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyu
Mbinu? 🤣🤣🤣 kuwa serious broMbinu tu maana mbowe alienda na bendera ya chama kwenye maandamano akapewa kesi ya ugaidi najaribu kukuelewesha hata kama unaelewa
Kipi muhimu tuachane na akichoandika tujadili mwandiko eti?Huu ndio mwandiko wa Tundu Lissu?
Endelea kujizima data hivyo hivyo kwa kujua watanzania ni mambumbumbu wasiojua nini kinaendeleaMbinu? 🤣🤣🤣 kuwa serious bro
Hawa watu walikaa pembeni, chadema haina wanachama nchi nzima
Na Mungu wa ajabu sana, walipigwa ban kufanya shughuli za kisiasa sababu ya kesi, yakatokea ya kutokea wakiwa hawapo uraiani
ni bora atugeuke huku ccm mkiwa nje kbs na mmerudsha mali za umma zote mlizoiba na kugawanaYeye ndo mchochezi namba moja wa hizi vurugu. Hili lipo bayana, na hata akiingia yeye madarakani atawageuka tu ni two in one huyu
Huyo slow slow ana wafuasi wangapi nchi hii acha kuhamisha magoliWala si yeye, kuna mtu mnamruka na anajulikana.
Alipokamatwa nguvu ziliishia hapo. Kilichoibuka ni kingine
uchaguz upi? Kwan kuna uchaguz umefanyka hp tanganyika? Mnaolitakia mema taifa hili madai ambayo yalitolewa na chadema kwny yale maridhiano yenu kabla ya chaguz mlishndwa nn kuyakubali ili yeye na chama chake waingie kwny uchaguzi? Kama mnalitakia mema taifa hli madai ya watz kabla ya uchaguz si yalikuwa waz kbs na yana maana kbs tena ya haki na amani mkajpa kiburi mkafanya uchaguz fake mkaanza kuua watanganyika, mngelikuwa mnalitakia mema taifa hili mngeuza bandari, migodi nk? Mngelikuwa mnalitakia mema taifa hli mngeua watu kama kuku ili kuhalalisha uchaguz fake? Nguruwe wewe hutakiwi kupewa lulu.Yeye angekuwa anaitakia mema nchi na anataka haki angesimama kidete kwenye uchaguzi, asingeanza siasa za mdomo badala ya vitendo. Kitendo cha kuanza siasa za maneno tayari ni kutoka kwenye weledi wako. Amezingua pakubwa. Na bado anachochea watu waandamane!!!.
Wala si yeye, slow slow kaja baadae sana, hakuwa na nguvuHuyo slow slow ana wafuasi wangapi nchi hii acha kuhamisha magoli
Tutaona itakapoishia maana mtu akifa huwa kuna waombolezaji mpaka sasa waombolezaji washajulikana ni akina nani hivyo ni rahisi kujua vifo vilikotokeaWala si yeye, slow slow kaja baadae sana, hakuwa na nguvu
Huna ujualo zaidi ya kupiga siasa mfu hapa jukwaani. Uchaguzi ni siasa? Lazima waongelee uchaguzi maana ndio unatoa hatima ya waumini wao kiuongozi. Hao waumini wao umesikia wakikataa viongozi wao wa dini kuungelea? Mtafanya ushenzi kisha viongozi wa dini waufumbie macho?Wajisajili kwa msajili wa vyama vya siasa sasa maana dini haitajwi tena makanisani mwao ni uchaguzi tu
Za kuambiwa changanya na zako... Wakati huo yupo magetoni anawaandikia vimemo....Kamshutumu mbowe kuwaingiza watu kikaangoni kila uchaguzi wakiuawa kisa kushiriki uchaguzi badala yake yeye ndio kawakaanga zaidi kwa kuwaingiza wafuasi wa chadema kwenye maandamano huku wakifa kama kuku na bado watu wanagawana vyeo