Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Sirro nae kawa mwanasiasa, akistaafu atapewa cheo CCM, maisha yanaendelea.
 
Hawa Jeshi la Polis kupitia , huyo Sirro na Huyo Tundu Lissu ebu watuache tupumzike, wana utoto mwingi hadi inakera kuwasikiliza.
 
Ngumu kupata hizo record kwenye mazingira tuliyopo, wao ndio kila kitu nchi hii, labda kama hizo record zingekuwa zinawahusu wapinzani ili wafanyiwe uchunguzi wao wangepewa upesi sana.
 
IGP Sirro angekuwa na busara angekaa kimya.
 
Sawa maneno meengi muda mwiingi uwamuzi wa kufupisha Lisu na dereva waje wariport wahojiwe ijulikane mbivu mbichi hadithi nyingi siziwe kama simena..
 
Naona mnatumia akili kubwa sana kufikiria huu usanii wa hao jamaa.
 
Ati, naye alisoma seminary akitaka kuwa padri! Bora walimfelisha kwani angeliharibu kanisa na waumini wake Kwa unafiki huu alio nao!
 
Huyu jamaa siku hizi mabwana zake hawampi pesa ya matumizi? Mbona anawaya waya sana?
 
Hawa askari na ccm wanajaribu kwa kila namna kupunguza kasi ya mjadala wa katiba mpya.

Sasahivi wanachomelea kila aina ya mambo kututoa Kwenye mstari

However hawatafanikiwa
 
Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza

Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo...
Nina uhakika igp ameamuwa kumtumikia shetani Ila hakuna la milele chini ya jua kwanini igp anasubiri mpaka lissu aje wamhoji?

Angekuwa jeska mtoto wa magufuli amepigwa risasi au mtoto wa majaliwa waziri mkuu wangesubiri hizo protokali za kutengeneza? Siro usiathiriwe na kivuli cha jpm ameshakufa na harudi milele wewe siro Linda heshima yako uache legacy nzuri vinginevyo utakuwa na rekodi mbaya kuliko ya Omar mahita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…