mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,441
- 431,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sirro nae kawa mwanasiasa, akistaafu atapewa cheo CCM, maisha yanaendelea...Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba gari yenye namba ambazo Tundu Lissu alidai inamfuatilia ilionekana Arusha.
..Na waziri wa mambo ya ndani akadai kwamba wamewahoji wahusika na wamejiridhisha kwamba gari hiyo haikuwahi kufika D'Salaam.
..IGP Sirro anadai Lissu hakuwahi kutoa taarifa kituo cha polisi kuhusu kufuatiliwa. Vilevile IGP anadai polisi hawana taarifa zozote kuhusu Lissu kufuatiliwa na " watu wasiojulikana. "
..Sasa katika mazingira kama hayo tumuamini nani? Je, Waziri wa mambo ya ndani alidanganya? Je, IGP anadanganya?
Hawa Jeshi la Polis kupitia , huyo Sirro na Huyo Tundu Lissu ebu watuache tupumzike, wana utoto mwingi hadi inakera kuwasikiliza.Mwanasiasa machachari wa Tanzania anayeishi mamtoni baaada ya kufanyiwa unyama amekanusha taarifa na kauli ya Igp Sirro kuwa alipigiwa simu na jeshi la polisi ili ahojiwe juu ya madhila yaliyompata.
Kupitia ukurasa wake wa Twita Lissu amedai kuwa taarifa hizo ni za uongo na hazina ukweli wowote.
====
IGP Sirro ni mwongo asiyefaa kuvaa sare ya Jeshi la Polisi, let alone kuwa Mkuu wake. For the record:
1) Hajawahi kunipigia simu au kuniita kwenye mahojiano yoyote.
2) Nikiwa Nairobi Hospital niliambiwa polisi watakuja kunihoji hospitalini. Niliwasubiri lakini hawakuonekana.
View attachment 1849851
Ngumu kupata hizo record kwenye mazingira tuliyopo, wao ndio kila kitu nchi hii, labda kama hizo record zingekuwa zinawahusu wapinzani ili wafanyiwe uchunguzi wao wangepewa upesi sana.Utakuwa mjinga sana ukatae kupigiwa simu kama ulipigiwa. Record zote zinaweza kupatikana kutoka kwenye record ya mtandao uliotumika.
Lisu kutoa kauli hiyo, ni dhahiri ana uhakika. Kwa record ya jeshi letu hili la kubambikia watu kesi, ni vigumu sana kuwaamini polisi.
Aje sasa ahojiwe
IGP Sirro angekuwa na busara angekaa kimya...Waziri wa mambo ya ndani, wakati huo Mwigulu Nchemba, alisema kwamba gari yenye namba ambazo Tundu Lissu alidai inamfuatilia ilionekana Arusha.
..Na waziri wa mambo ya ndani akadai kwamba wamewahoji wahusika na wamejiridhisha kwamba gari hiyo haikuwahi kufika D'Salaam.
..IGP Sirro anadai Lissu hakuwahi kutoa taarifa kituo cha polisi kuhusu kufuatiliwa. Vilevile IGP anadai polisi hawana taarifa zozote kuhusu Lissu kufuatiliwa na " watu wasiojulikana. "
..Sasa katika mazingira kama hayo tumuamini nani? Je, Waziri wa mambo ya ndani alidanganya? Je, IGP anadanganya?
Naona mnatumia akili kubwa sana kufikiria huu usanii wa hao jamaa.Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza
Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo.
Baada ya tukio CCTV zinaondolewa kwenye eneo la tukio
Badae vigogo serikalini waungwana wanamshauri Mbowe wampeleke nje
Ananyimwa pesa ya matibabu bila sababu
Anazuiliwa pesa zake za ubunge
Anavuliwa ubunge kinyume cha sheria
Anarudi kugombea urais anaibiwa kura na anataka kuuwawa tena vigogo serikalini wanamshauri kuondoka nchini!
Huyu mtu utasema hataki uchunguzi wa shambulio lake?
Kwanini uchunguzi usianzie kwenye walioondoa walinzi na CCTV?
Magufuli, Ndungai na Siro mtalipa huu uhuni!!
Simon Sirro alipaswa kuwa Padre, Ex seminari wengi waliopo serikalini wamevurugwa sana, sijui shida niniIGP Siro asingekuwa polisi angekuwa tapeli.
Mtaiamini?..Rais SSH aunde Tume ya uchunguzi inayohusisha Majaji wa mahakama ya rufaa kuchunguza suala hili.
Mkuu uko sawa. Hivi mkuu una degree gani? Mwaka gani ulihitimu?..Rais SSH aunde Tume ya uchunguzi inayohusisha Majaji wa mahakama ya rufaa kuchunguza suala hili.
Mtaiamini?
Nina uhakika igp ameamuwa kumtumikia shetani Ila hakuna la milele chini ya jua kwanini igp anasubiri mpaka lissu aje wamhoji?Mtu anakwambia anafatiliwa wewe unapuuza
Walinzi wanaondolewa kwenye makazi yake alafu anapigwa risasi eneo ilo ilo...