Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Maiti haiongei..hapa naomba niwe upande wa hayati

Kamanda amechelewa sn kuongea hili,anayemtuhumu hawezi kujitetea
View attachment 1850026

Unayasoma wapi hayo uliyoyaandika jombi?
 
Ati, naye alisoma seminary akitaka kuwa padri! Bora walimfelisha kwani angeliharibu kanisa na waumini wake Kwa unafiki huu alio nao!
Na Magu nae alisoma seminary.
Angemwita Papa beberu.
Sirro amesema aliipenda hiyo kazi akiwa Tosamaganga alipomuona RPC wa Iringa anazungusha KIFIMBO
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana Mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
 
Uzi ndio tayari hapo? Kifupi mimi sijaelewa ulichoandika. Labda nitasoma comments nielewe ulichoandika

Jana Kamanda Sirro alikuwa kwenye kipindi cha Medani za siasa kinachrushwa kila jumamosi saa tatu na nusu mpaka saa nne na nusu usiku,host Chief Odemba! Aliulizwa kuhusu issue za Lissu kuhakikishiwa usalama wake ndipo aweze kurudi ,sirro ndio akajibu kwamba lissu ni mtz kama watz wengine ,kama hakuna usalama mbona hakuondoka na familia yake? Akasema kwamba Lissu ni mtata alimpigia mara kibao aende kutoa maelezo ya tukio la kupigwa risasi lakini hakutokea.
 
Amri kutoka kwa mtu mwenye jalada la "mental case" kule Milembe. Maamuzi yenye ubatili mtupu.

Mene, Mene, Tekeli & Peresi.

Unaweza kuiita "karma" kama ukipenda, lkn ilimpasa mtu mmoja afe ili taifa likapate kuponywa.
 

 
So Balozi hapa nchini zinasaidia kuficha wahalifu?

Kwanini balozi hazifuati sheria za nchi kwa kukinzana na mwenyeji.

Basi tuwe makini na Diplomasia za balozi zetu.

Mmmmmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…