Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Tundu Lissu: IGP Sirro ni Jeshi la Polisi, hawajawahi kunipigia simu wala kunihoji, Waliagizwa wanipoteze baada ya Uchaguzi

Maiti haiongei..hapa naomba niwe upande wa hayati

Kamanda amechelewa sn kuongea hili,anayemtuhumu hawezi kujitetea
View attachment 1850026
Nimeshaelewa point yako..Lakini unadhani kila mmoja ni mwanasiasa humu?

Nimeona ukiwafanyia watu kadhaa hiki ulichonifanyia mimi..sasa nikupe kazi nyingine, maana hii uliyofanya haijatosha kunihukumu..angalia comments na replies zangu zote kisha Rudi hapa kunihukumu,km nishawahi kubishana kwenye hili jukwaa

Bro Mimi sihusiki na siasa kabisa,na sipo hapa kubihana na nyie wafia wanasiasa.Nimetoa Tu maoni yangu,so yaheshimiwe please

Unayasoma wapi hayo uliyoyaandika jombi?
 
Ati, naye alisoma seminary akitaka kuwa padri! Bora walimfelisha kwani angeliharibu kanisa na waumini wake Kwa unafiki huu alio nao!
Na Magu nae alisoma seminary.
Angemwita Papa beberu.
Sirro amesema aliipenda hiyo kazi akiwa Tosamaganga alipomuona RPC wa Iringa anazungusha KIFIMBO
 
Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana Mkuu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
 
Uzi ndio tayari hapo? Kifupi mimi sijaelewa ulichoandika. Labda nitasoma comments nielewe ulichoandika

Jana Kamanda Sirro alikuwa kwenye kipindi cha Medani za siasa kinachrushwa kila jumamosi saa tatu na nusu mpaka saa nne na nusu usiku,host Chief Odemba! Aliulizwa kuhusu issue za Lissu kuhakikishiwa usalama wake ndipo aweze kurudi ,sirro ndio akajibu kwamba lissu ni mtz kama watz wengine ,kama hakuna usalama mbona hakuondoka na familia yake? Akasema kwamba Lissu ni mtata alimpigia mara kibao aende kutoa maelezo ya tukio la kupigwa risasi lakini hakutokea.
 
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Amri kutoka kwa mtu mwenye jalada la "mental case" kule Milembe. Maamuzi yenye ubatili mtupu.

Mene, Mene, Tekeli & Peresi.

Unaweza kuiita "karma" kama ukipenda, lkn ilimpasa mtu mmoja afe ili taifa likapate kuponywa.
 
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.

Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.

Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
 
Huyo mwanaharakati aache kugeuza tukio Lake kuwa mtaji wa kisiasa, mtu yoyote akitendewa kinyume na sheria hasa kijinai anajukumu la kutoa taarifa kituo cha polisi cha jirani yake na pia ana jukumu la kutoa ushirikiano wa kutosha kuwezesha upelelezi na kumpata aliyemtendea uhalifu huo...
So Balozi hapa nchini zinasaidia kuficha wahalifu?

Kwanini balozi hazifuati sheria za nchi kwa kukinzana na mwenyeji.

Basi tuwe makini na Diplomasia za balozi zetu.

Mmmmmmm
 
Back
Top Bottom