Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,303
- 14,983
Bas mbunge wangu kaukwaa jamanMagu alikuwa na sifa zote Mwizi, Mzinzi na muuaji
Kawapa Ukimwi wanawake wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bas mbunge wangu kaukwaa jamanMagu alikuwa na sifa zote Mwizi, Mzinzi na muuaji
Kawapa Ukimwi wanawake wengi
hahahaBas mbunge wangu kaukwaa jaman
walete hata kwa codes mkuu..Na kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu wote waliotumwa kufanya unyama huo majina yao tunayo , wako 16
View attachment 1850026Maiti haiongei..hapa naomba niwe upande wa hayati
Kamanda amechelewa sn kuongea hili,anayemtuhumu hawezi kujitetea
Nimeshaelewa point yako..Lakini unadhani kila mmoja ni mwanasiasa humu?
Nimeona ukiwafanyia watu kadhaa hiki ulichonifanyia mimi..sasa nikupe kazi nyingine, maana hii uliyofanya haijatosha kunihukumu..angalia comments na replies zangu zote kisha Rudi hapa kunihukumu,km nishawahi kubishana kwenye hili jukwaa
Bro Mimi sihusiki na siasa kabisa,na sipo hapa kubihana na nyie wafia wanasiasa.Nimetoa Tu maoni yangu,so yaheshimiwe please
Na Magu nae alisoma seminary.Ati, naye alisoma seminary akitaka kuwa padri! Bora walimfelisha kwani angeliharibu kanisa na waumini wake Kwa unafiki huu alio nao!
Endelea kubaki hapa hapa jfwalete hata kwa codes mkuu..
Astaghafillulah !Magu alikuwa na sifa zote Mwizi, Mzinzi na muuaji
Kawapa Ukimwi wanawake wengi
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Uzi ndio tayari hapo? Kifupi mimi sijaelewa ulichoandika. Labda nitasoma comments nielewe ulichoandika
Amri kutoka kwa mtu mwenye jalada la "mental case" kule Milembe. Maamuzi yenye ubatili mtupu.Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
Haya si maneno yangu, bali ni maneno ya Kamanda wetu alieko ughaihuni aliyoyatoa leo kupitia twitter akimjibu kibosile fulani aliebua upya sakata hili.
Kamanda kadai kuwa alipata taarifa kuwa Bwana Yule aliagiza amalizwe mara baada ya uchaguzi kwisha.
Hakika Bwana Yule alikuwa na tatizo tena sio dogo.
So Balozi hapa nchini zinasaidia kuficha wahalifu?Huyo mwanaharakati aache kugeuza tukio Lake kuwa mtaji wa kisiasa, mtu yoyote akitendewa kinyume na sheria hasa kijinai anajukumu la kutoa taarifa kituo cha polisi cha jirani yake na pia ana jukumu la kutoa ushirikiano wa kutosha kuwezesha upelelezi na kumpata aliyemtendea uhalifu huo...
Hata kupelekwa Nairobi, kuna wakubwa walipenyeza siri kwa Mbowe juu ya mpango uliokuwa umepangwa. Wakashauri asipelekwe Muhimbili.
Taarifa zingekua zinavuja kirahisi hivyo asingetoka ile siku aliyoshambuliwa
Maamuzi ya Mbowe yalikuwa muhimu sana katika kuhakikisha uhai wa Lissu.
Ukafie mbele wewe qymaYahatuhusu.
Tuna mengi yakufanya .
Wanajuana wao kwa wao
Maamuzi ya Mbowe yalikuwa muhimu sana katika kuhakikisha uhai wa Lissu.