Wasira 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wajuzi wa mambo nambieni ndani ya CCM kama kuna kiongozi mwenye IQ inayokaribiana na ya Lissu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wasira 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hivi wajuzi wa mambo nambieni ndani ya CCM kama kuna kiongozi mwenye IQ inayokaribiana na ya Lissu
Haya ndiyo yaliyojaa huko CCM.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi.
Lissu amesema, hawawezi kushukuru kwa kufutiwa kesi za uwongo ambazo Rais mwenyewe amewahi kukiri hadharani kuwa zilikuwa za uwongo.
"Nakufungulia kesi ya uwongo, nakutesa, nakuweka gerezani, Mwenyekiti amekaa gerezani miezi minane, ameachiwa bure mlitaka apige magoti kushukuru?.."
“Sisi ukitufunga bure TUTAKUSEMA, ukituachia baada ya kutufunga bure TUTAKUSEMA, ukiiba TUTAKUSEMA, ukigawa nchi yetu kwa wageni TUTAKUSEMA, na tutakusema mchana kweupe, sisi hatuhongeki, kama mlifikiri mnatuachia kama hongo, hiyo haipo..." Tundu Lissu.
Huyo ndiye Lissu ‘White is White, Black is Black’.
Yakimzidia anakimbilia Ubalozini 😄🔥
Mtanikumbuka 😄😄🔥😀😀🔥
Akili gani?Lissu ana akili Kuzidi CCM wote ndani na Nje ya nchi
Nimeogopa kuku'quote' kupitisha ujumbe kwenye mada hii.Hakuna namna
MamaHivi wajuzi wa mambo nambieni ndani ya CCM kama kuna kiongozi mwenye IQ inayokaribiana na ya Lissu
Wee endelea kujitoa akili tuu, uchawa sio dealYakimzidia anakimbilia Ubalozini 😄🔥
Mtanikumbuka 😄😄🔥😀😀🔥
Hana lolote huyo chiba; mbona alikimbilia ubelgiji?[emoji23]
Mtatumia vyombo vya dola kuhakikisha haongei ukweli?Mwezi mchanga huu. Muacheni tu aendelee kuongea
Nchi hii wanaopewa vyeo ni wale wa ndio mzee. Lisu hawezi kupewa maana hafuati maagizo toka juu, bali huangalia sheria inataka nini.Huyu jamaa MUNGU ampe maisha marefu haswa, kwanini Rais asimteue kuwa Jaji Mkuu?
😂😂😂😂😂😂Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi.
Lissu amesema, hawawezi kushukuru kwa kufutiwa kesi za uwongo ambazo Rais mwenyewe amewahi kukiri hadharani kuwa zilikuwa za uwongo.
"Nakufungulia kesi ya uwongo, nakutesa, nakuweka gerezani, Mwenyekiti amekaa gerezani miezi minane, ameachiwa bure mlitaka apige magoti kushukuru?.."
“Sisi ukitufunga bure TUTAKUSEMA, ukituachia baada ya kutufunga bure TUTAKUSEMA, ukiiba TUTAKUSEMA, ukigawa nchi yetu kwa wageni TUTAKUSEMA, na tutakusema mchana kweupe, sisi hatuhongeki, kama mlifikiri mnatuachia kama hongo, hiyo haipo..." Tundu Lissu.
Huyo ndiye Lissu ‘White is White, Black is Black’.
Good point.Nchi hii wanaopewa vyeo ni wale wa ndio mzee. Lisu hawezi kupewa maana hafuati maagizo toka juu, bali huangalia sheria inataka nini.
Siku hizi umekuwa mjinga mpaka nakuhurumia, na nilijua tu toka siku ile ulipojitangaza kumuunga mkono Samia, ukihamia huko lazima akili zako umkabidhi mwenyekiti, jione sasa ulivyo!Mwezi mchanga huu. Muacheni tu aendelee kuongea
This is too low for you.Mwezi mchanga huu. Muacheni tu aendelee kuongea
Hata mimi nimeliona hilo.Siku hizi umekuwa mjinga mpaka nakuhurumia, na nilijua tu toka siku ile ulipojitangaza kumuunga mkono Samia, ukihamia huko lazima akili zako umkabidhi mwenyekiti, jione sasa ulivyo!
Debe tupu.
Huyu jamaa yuko vizuri, ila kuna wakati anaenda ndivyo sivyo.Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu akiwa Mkoani Kagera, kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika leo, amemjibu Kinana aliyewatuhumu Viongozi waandamizi wa CHADEMA kukosa shukrani kwa Rais Samia Suluhu Hasani aliyewafutia kesi.