Mbona suala la wananchi kuomba Babu Seya atolewe huzungumzii? mbona suala la wananchi kusherekea baada ya kutoka jela Babu Seya huzungumzii?..huwezi kukaribisha WALAWITI nyumbani kwako halafu ukasema unapinga uchafu huo.
..mwambieni mwenyekiti wenu ajitokeze na kuomba msamaha kwa kunajisi IKULU tuliyorithi toka kwa Baba wa Taifa.
sheria in the name of the law- atakuwa sahihi tu katika jamii ya wanasheria siyo jamii ya kawaida- akagombee urais wa TLSJamaa ananyoka na Sheria
hiyo ni haki ya faragha-faragha haitoki nje ikishatoka siyo faraghaYeah, hiyo ni kwa mujibu wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Watu wanapoambiwa katiba inahitaji mabadiliko, hawataki
sheria in the name of the law- atakuwa sahihi tu katika jamii ya wanasheria siyo jamii ya kawaida- akagombee urais wa TLS
Mkuu kila mawada na muktadha na vionjo vyake; hata walioona kisheria hawalalani hadharani- tuheshimu mila na desturi zetuKwa hiyo Sheria ni kwa ajili ya TLS wewe Mbwira?
Kwani tangu lini Tanzania ina sheria za jamii ya wanasheria na sheria za jamii ya kawaida? Hapo mchawi ni katiba tu.sheria in the name of the law- atakuwa sahihi tu katika jamii ya wanasheria siyo jamii ya kawaida- akagombee urais wa TLS
wewe ulishawaona?
Mkuu kila mawada na muktadha na vionjo vyake; hata walioona kisheria hawalalani hadharani- tuheshimu mila na desturi zetu
Watu wa kawaida bado wapo na hawaishi kwa mjibu wa sheria- wanaishi kwa mjibu wa mila na desturi ambazo kwao ni sherai toshaKwani tangu lini Tanzania ina sheria za jamii ya wanasheria na sheria za jamii ya kawaida? Hapo mchawi ni katiba tu.
Ili kuheshimu mila na desturi zetu, hilo linatakiwa lisipingane na katiba yetu. Katiba ipo juu ya mila na desturi, huwezi ukampiga mke wako ukasingizia ni mila na desturi, utaenda jela tu kwa kutumia sheria. Bila kubadilisha sheria, mashoga wakilambana chumbani hakuna wa kuwashtaki, hata kama yupo aliyewarekodi. Si ulimsikia kamanda wa polisi wa mkoa mmoja akisema kufumania sio kosa kisheria?Mkuu kila mawada na muktadha na vionjo vyake; hata walioona kisheria hawalalani hadharani- tuheshimu mila na desturi zetu
sasa bwana alikuwa anaongelea kitu ambacho hakipo?Kuna mashoga Tanzania?
Kwa bahati mbaya kwa uelewa wangu nchi hii hakuna sheria ambayo chanzo chake ni mila na desturi zetuIli kuheshimu mila na desturi zetu, hilo linatakiwa lisipingane na katiba yetu. Katiba ipo juu ya mila na desturi, huwezi ukampiga mke wako ukasingizia ni mila na desturi, utaenda jela tu kwa kutumia sheria. Bila kubadilisha sheria, mashoga wakilambana chumbani hakuna wa kuwashtaki, hata kama yupo aliyewarekodi. Si ulimsikia kamanda wa polisi wa mkoa mmoja akisema kufumania sio kosa kisheria?
Mtasubiri sana- hasa kwa kuzingatia Trump hataki vita