Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Kwenye utwala wa Sheria CCM hii imefeli vibaya mno. haya hoja hii nayo ishajibiwa tayari - tuwasikie tena!!
 
CCM wameishiwa hoja kabisa .
 
Kama tuna nia ya kupambana na ushoga basi tuanzishe utaratibu wa kuwapima watu marinda ili ambao hawana sheria ichukue mkondo wake!
Si tunapambana na ushoga?Yaani mtu akishutumiwa au kuhisiwa basi anapelekwa kupimwa!
 
Tuanze kukagua marinda yako kwanza
 
Atajua mwenyewe na ushoga wake
 
Kwa kuwa katiba ya JMT inalinda haki ya faragha ndio watu wafanye mapenzi kinyume na maumbile? Lissu amepotoka
 
Huyo ni T.Lissu ...a.k.a Akili kubwa
Huyo ni sifuli kabisa, mambo ya faraga mi ya mtu na mke au mpenzi mke na sio mtu mume na mume,
Akiwa uingereza alisema kwa kuwa katiba yetu hairuhusu, yeye akiingia madarakani ataifanyia marekebisho ili wapate haki yao.
Sasa hiyo haki wanayoitaka ni ipi ninyi bchadema?
Kwa kua haki ya kuwa binadam wanayo, ya kuwa mtanzania na kufanya kazi na uhuru usio vunja sheria walionayo
Sasa haki gani wanataka ambayo tundu lisu atawapa zaidi ya kuwatambua kwa tendo lao kisheria ambalo hata mungu hataki?
Kwa hiyo tundu ni mfasi wa shetani hata hakumbuki ya sodoma na gomora?

Tundu lisu anasema kwa nini hawajachukuliwa hatua wakati wapo, nimkumbushe kuwa hao waliopo ni sawa na mwizi ambaye yupo ila siku akiiba akakamatwa na anafungwa, na ndio maana wanafanya kwa siri. Ila wakiruhusiwa tutawaona kama tunavyowaona wanawake.
 
Kuhusu ushoga nadhani serikali “haichungulii vyumbani mwa watu” as such. Unaweza ukagongwa as much as you like huko chumbani kwak but usije kwenye mitandao ya kijamii na kutangaza huo upuuzi wako.
 
Aachane kivip yeye kaulizwa swali kuhusu ushoga jinsi ccm wanavyomsingizia na yeye kawajibu kwa kutumia katiba yao wenyewe ccm ya 1977
Lakini kwenye Sheria za nchi ushoga unakatazwa kabisa, na hyo haki ya faragha mbona kanitumia sehemu sio sahihi mfano amber rutty Mambo yao yalikuwa binafsi then wakarekodi na kurusha mtandaoni mlitaka aachwe tu.
 
Kibaraka wa mabeberu, Mbeligiji anasemaje tena?. Hatutaki ushoga, full stop 🛑.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…