Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Kama Serikali ya CCM inapinga kweli ushoga basi ikafute kipengele cha Katiba kinachoinyima Serikali kuingilia faragha ya mtu

Kwa hiyo kwa uelewa wa Ndugu Lissu faragha ni pamoja na mapenzi ya mwanaume na mwanaume wakiwa faragha...ndivyo anayeitwa mwanasheria msomi anavyosema
 
mmiliki siyo mumiliki
 
NI NANI ALISHAKAMATWA NA KUSHITAKIWA KWA KOSA LA USHOGA?CCM IMEISHIWA HOJA
Wewe upo Tanzania hii? Yaani Watanzania tumefikia hatua tuhalalishe watu kuingiliana kinyume na maumbile!!!! Ivi tutamtafuta vipi Mungu aliye tuponya na Corona tukianza kupigia debe ushoga?
 
Weka hiyo clip yake ya Uingereza

Sent from my vivo 1904 using JamiiForums mobile app
 
Katiba inalinda faragha lkn hairuhusu watu kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Bwana Lissu asijaribu kuinajisi katiba yetu kwamba inaruhusu ushoga.
 
Tundu Lissu akiwa Arusha leo asubuhi imeibuliwa tena hoja ya ushoga na huu ndiyo msimamo alioutoa...
Ethiopia Nchi yenye Ndege zaidi ya 120 kuliko Tanzania, Ethiopia ina Flyovers kuliko Tanzania, Ethiopia ina Tren ya Mwendo kasi kuliko Tanzania, Lakini Leo hii Waethiopia 28 na Wasomali 4, Wamekamatwa Wilayani Pangani, Wakijaribu kutoroka kwenda Kujitafutia Maisha Nchi za Kusin

Halafu maccm yanajisifu bila aibu, fyoko fyoko fyoko ndegeeeeee
 
Lissu naye aachane na ushoga hyo ni minor issue, na Mambo binafsi

Alafu mbona ushoga upo siku nyingi bongo. Nazani serikali inapinga ushoga kufanyika hadharani. Yaani kama mtu ni shoga basi afanyie faragha kwake hakuna wa kumsumbua. Katika hilo la ushoga niko na serikali. Hakuna kuhalalisha ushoga nchini kwetu.
 
Unajua ile ya hard talk ni tofauti na haya mazingira yetu kabisa it's like mbingu na ardhi, kwanini kuendelea na hyo hoja Kuna Mambo mengi ya msingi yanayottesa watanzania kuliko huo ushoga wenyewe
Kwahiyo asipojibu kesho mje mseme Lissu amekimbia swali la ushoga. Ccm wajinga sana kwa kweli
 
Nimesikitika Sanaa Tena Sana Na Hapa Simsikitikiii Lissu Nawasikitiki Vijana Wenzangu. Ivi in Kweli Tumefikia Kuwa Wapumbavu,wajinga kiasi cha kuona kila anachokisema Lissu yupo sawa...
Amekumbatia ushoga wapi?
 
Wewe upo Tanzania hii? Yaani Watanzania tumefikia hatua tuhalalishe watu kuingiliana kinyume na maumbile!!!! Ivi tutamtafuta vipi Mungu aliye tuponya na Corona tukianza kupigia debe ushoga?
Jibu swali! Nani amewai kukamatwa na kushtakiwa na serikali ya Ccm kwa kuwa shoga???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…