Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Imani yangu inanionyesha adui yake alitoka ndani ya chama chake.....kuliko kutoka Serikalini ...inawezekana maadui wanajaribu ku diverge uongo uonekane kama ukweli ili wasigundulike......bado Nina kumbukumbu za Bw. Kubenea..aliwah zungumza siku moja kwamba wanaomtafuta Saanane waende kumuuliza Bw. Mbowe..bado sentensi Ile inanifikirisha mpaka Leo walah..
 
Mtoa mada haelewi maana ya Poetic Justice...
Kwa ufupi ni kusema Matendo yako Maovu ndiyo yalipomfikisha hapo alipo Dikteta Jiwe..

Na kuhusu kushangilia.. CCM walishangilia sana kuliko hata Upinzani... Wengine walikuwa wanaenda kutoa heshima za mwisho wakiwa wamelewa..

Viongozi wa CCM wengi walisheherekea kwa kuchinja Mbuzi...

Lakini mtu muovu anapoondoka Duniani huleta amani ya moyo kwa wengi waliobaki...
 
Magufuli mwenyewe alishasema ametoa uhaiwake kwaajili ya waTanzania.

Sasa wewe cheti feki na wajombazenu wakwepa kodi na mafisadi hata kama aliwaumiza then mkifurahi ndio mnalipiza kisasi, yani mnamkomoa marehemu ama vipi!.
Ama ndio kisirani [emoji3][emoji3] hovyo sana nyie watu.
 
Pole sana kwa makasiriko, lakini ukweli lazima usemwe, Jiwe kifo chake ni furaha kubwa sana kwa Watanzania (ondoa Sukuma gang kama wewe)
 
Kumbe Chacha Wangwe aliuawa ndio najua leo.
Hiyo kesi ya mauaji ilisikilizwa mahakama gani.
Mbona hukumuuliza Tundu Lisu kwamba ni mahakama gani iliyothibitisha kuwa Magufuli alihusika na kushambuliwa kwake?

Uchawa unakufanya uonekane kuwa kichwa chako kimejaa kamasi badala ya akili.
 
Pole sana kwa makasiriko, lakini ukweli lazima usemwe, Jiwe kifo chake ni furaha kubwa sana kwa Watanzania (ondoa Sukuma gang kama wewe)
Acha kuwasingizia waTanzania uwongo.
Hakuna mtanzania mwenye akili na mpenda maendeleo alie furahiya kifo cha Magu.
Furaha ni kwa nyie vyeti fek na wasaliti wachache wenye access ya JF.
 
Kufa Magufuli na akasema hilo, litabaki kuwa chaguo lake.
Tulimchagua kutuongoza siyo kufa kwa ajili yetu na yake binafsi na sukuma gang.

Na kama alipenda kufa siyo sahihi aupoteze uhai mtu mwingine yeyote kupitia wasiojulikana.
 
Alipigwa na JPM?
Unajuwa kuwa Rais maana yake kweli ?! . Unajua vyombo vinavyomtumikia ? Iwe ni kwa kutii au hata kujikomba ?. Unajua kwanini nchi ikifanya vibaya hulaumiwa kiongozi, hata kwa yale hakuhusika nayo ?!.

Jifunze nini maana ya amiri jeshi. Tena bahati mbaya akiwa mpenda sifa
 
Pole sana kwa makasiriko, lakini ukweli lazima usemwe, Jiwe kifo chake ni furaha kubwa sana kwa Watanzania (ondoa Sukuma gang kama wewe)
Wewe na mazezeta wenzako ndo mlifurahia kifo cha JPM lakini wapo wengi walisikitika sana tu kwa hiyo usiwe msemaji wa nafsi za watu!
 
Mkuu soma comment namb #41 upate majibu yanayofanana na yako.
 
Kwa hiyo yule jamaa aliyekuwa anahofia kiti chake kisije chukuliwa na Lissu ndiye aliyeagiza hata walinzi wasiwepo kwenye eneo linalolindwa 24hours kwani ni eneo alilokuwa anaishi waziri Kalemani na naibu spika.Acheni hizo jamani.

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu soma comment namb #41 upate majibu yanayofanana na yako.
Honestly kabisa unaweza kukuta walio husika kwenye shambulizi ni watu wa karbu na Lisu na walitumia fursa ya mgogoro wa makinikia na Magufuli kumumaliaza huku wakijua kabisa ajenda itakuwa aliyehusika Magufuli!
Ukijiuliza kwa nini dereva wake alifichwa na mpaka leo hajaonekana
Hata kipindi cha kifo cha Chacha Wangwe mambo yakikuwa na viashiria vya kundi la Mbowe kuhusika lakini watu walifumba macho na kuamini ulikuwa hali ya kawaida lakini watu wakumbuke kipindi cha msiba M,bowe ilibidi jeshi la polisi limpe ulizi maana wanachi wa Tarime walitaka kumshambulia!
Licha ya Kubenea kusema maneno yale lakini pia Sumaye alishawahi kuambiwa moto haulambwi!
 
Kwani tunavyosema siku zote kuwa jamaa ni "mwanakitendo" anaetumika kuwadhibiti wapinzani wa kweli ndani ya chama chake wewe unakuaga wapi?
Fikiria ni kwanini madhila makubwa yanayohusu kuuwawa anakutana nayo Lisu na mwenzake Lema huku jamaa ambae ndio kiongozi akiwa ana dunda uraiani?

Ukweli ni kwamba jamaa ana ng'ang'ania kile kiti kwa faida ya kazi zake na "kitengo chake" So kamwe mpinzani wa kweli aina ya Lisu hawezi kuruhusiwa kukalia nafasi ile maana ataharibu mission kama ile ya kumpokea mwanakitendo mungine (Lowasa) aje ausambaratishe upinzani ambao ulikuwa umeshajipanga Kwa ajili ya mageuzi.
 
Tell them!
Wajinga ni wengi sana,werevu wachache sana
 
Mkuu dunia ina mambo mengi sana! Hao walinzi ni binadanu tu kama mimi na wewe na wanaweza kupangwa na wakapangika vizuri tu!
Kwanini benki zinaibiwa na polisi wapo hapo na bunduki zao? Kwa nini dereva wa Lisu aliondoka nchini na mpaka leo hataki kurudi?
 
Lakini hiyo haizuii nia ya Magu kutaka kumuua Lissu. Risasi 60 Kama anaua koboko.
 
Ungetumia akili kidogo usingeandika hayo.
Kwa kifupi Lissu na akina Chacha wangedhuriwa na watu nje ya mfumo wa seriklini hao watu wangeshakamatwa,ni kwa vile wahusika wako kwenye system ndio maana hawakamatwi.

Na kama wahusika wako Chadema basi kitu gani kinashindikana kuwakamata?
Kama wameshindwa tumeshauri waje interpol kusaidia,lakini serikali haitaki,sababu ni moja tu wanaogopa kuaibika maana wanajua ni vigogo gani serikalini ndio wamehusika na unyama uliotokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…