Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

Blessed justification, I also celebrated, even now, tomorrow and the years to come, even if I am dead! I will celebrate the death of a killer!
Nitaacha kumchukia magufuli na kumlaani mpaka mabaki yake Kwa kondisheni zifuatazo.
1. Serikali iseme nani alimshambulia lisu.
2. Yuko wapi Azory Gwanda.
3. Yuko wapi Ben Saanane.
4. Iko wapi footage ya shambulio la lissu kwenye CCTV camera.
5. Waliofukuzwa kazi kwa ubabe mpk wakapoteza Maisha Kwa stress wafidiwe.

Otherwise aliempoteza ni hero!
 
Yale makaburi yote ya ndugu zako uliozika kumbe walipinga mipango ya Mungu? Na kwa mantiki hiyo wewe huwezi kufa kwakuwa hupingani na mipango ya Mungu?
Kifo ni lazima kwa kiumbe hai yeyote. Lakini ukiona mtu kafa baada watu wengi kuomba kwa Mola akuondoe basi jua uko na matatizo
 
Naungana na Lisu, yaani adui Yako afe then usikitike? Utakuwa timamu kweli? Ustaarabu wa hivyo Baki nao mwenyewe
 
Usitupangie cha kusema. Sukuma Gang mnateseka sana na maridhiano mnatamani kila siku watu waokotwe kwenye viroba. Huu uhasama wenu pelekeni kwenu Burundi.
 
Tundu Lissu itachukua muda sana kugundua watu gani walihusika kushambuliwa kwake, kuna siku atakuja muomba msamaha Hayati JPM.
Huyo aendelee kuteseka tu tena ageuzwe kuni za kuwachomea waovu wenzake
 
Unatoaje maoni kwenye kifo?! Ukitaka kujua hebu fikiria kila kwenye maziko ya waislam hutolewa tangazo la nani ana mdai marehemu- ulishaona watu wanijitokeza? Unadhani ni ujinga au uoga?
Tuondolee upuuzi wako hapa kama vipi mfuate huko kuzimu
 
Sitasahau magufuli alivyotamba mbele ya dola kwamba ndugai awatoe kina lisu bungeni ili aje awashambulie uraiani halafu akajisifu kumdukua lissu akamalizia Kwa kutamba this is government! Saa Saba lisu anashambuliwa baada ya kauli hiyo. Kaburi la magufuli lingekiwa kisutu ningeenda kunya Kila siku na kuweka Pedi za kinadada zilizotumika
 
Natakafuta maelezo kama haya siku Lisu kapigwa chuma

Sent from my CPH2179 using JamiiForums mobile app
 
Nimekupuuza uliposema SGR yenye Kasi zaidi Africa..
Magufuli alijua kuwadanganya vilaza
 
Lissu na Magu na Dr Slaa ni watu pendwa sana Kanda ya ziwa.

1.Magu alikuwa mwana mageuzi kimfumo ndani ya CCM kuhakikisha wanafanya KAZI na kukataa RUSHWA...
Sasa kwanini mmoja akataka kumuua rafiki yake kabla Mungu hajaingilia kati?
 
Mfano Lissu angekuwa baba yako halafu akapigwa risasi zile ungemfurahia Magufuli?
Kuna mtu anaitwa ramdhan kadrov sijui ni kiongozi wa chehen baba yake aliuwawa kwa maelekezo ya putini baada ya kuwa anataka kujitenga na urusi na baada ya hapo kijana wake akawa mkuu wa nchi na sasa ni chawa wa putini hapo unasemaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…