Huyo Nyalandu ndio wale wagombea waliotoa rushwa. Na iwe marufuku cdm kuokoteza takataka za ccm na kuzipa nafasi za juu za kugombea.Lazaro Nyalandu aliibiwa kura zake 2020 na TAL huyo huyo
Chadema mna vituko sana π
Na wakigombana na Mbowe wanakimbilia wapi? Tuanze hapo.
Amandla...
Hakuna Cha mfumo wewe,pesa zitatafutwa Kwa mfumo wowote na siku zote mtafuta pesa anacheza na akili ya aliyeko madarakani
Does not make sense. Kwa hiyo Boss Lady anatoa mpunga kwa Msigwa ili agombane nae kisha ahamie CCM? Au unataka kusema Msigwa na Lissu wanatamani asali aliyolambishwa Mbowe? Hauoni how ridiculous it is? Hamstukii nguvu za ziada zinazotukumia kuwafanya watu waamini Mbowe ni mbaya? Ovyo kabisa.Mpunga umetoka kwa mdhamini mkuu, a.k.a Boss Lady ambaye hali akifahamu fika kwamba akitoa mpunga kwa masharti atakivuruga chama, alifanya hivyo kwa maksudi.
Hii resentment ya kina Msigwa na Lissu ilianza tangu kipindi cha Mwenyekiti kulambishwa asali, huu uchaguzi wa juzi was the last straw to break a camel's back.
Does not make sense. Kwa hiyo Boss Lady anatoa mpunga kwa Msigwa ili agombane nae kisha ahamie CCM? Au unataka kusema Msigwa na Lissu wanatamani asali aliyolambishwa Mbowe? Hauoni how ridiculous it is? Hamstukii nguvu za ziada zinazotukumia kuwafanya watu waamini Mbowe ni mbaya? Ovyo kabisa.
Amandla...
Na hicho chama cha upinzani cha Zitto kinatumika kama alternative inayokubalika ya CDM.Zitto alianzisha chama chake na kuwa Ayatollah.......
Msigwa na Slaa walienda kuomba hifadhi ya ukimbizi CCM........
Kuhusu Lissu ziwezi kumsemea, japo nafahamu fika kwamba uchaguzi wa 2025 hatauona akiwa ndani ya CHADEMA.......
Still does not make sense. Mpunga gani watampa Mbowe utakaofidia uharibifu mkubwa waliomfanyia kwenye biashara zake? Ni juhudi tu za kumchafua Mbowe kwa sababu mnaona ni tishio.Mbowe alimchukua kada wa ccm Edward Lowassa na akalambishwa mpunga mrefu. CCM wakamchukua Slaa wakamlambisha mpunga mrefu na teuzi.
Mpaka leo Slaa na Mbowe haziendi kabisa, kwasababu, surely there's no honor among thieves.
Choo ni kilekile ila wanyaji ndiyo tofauti tu.
Na hicho chama cha upinzani cha Zitto kinatumika kama alternative inayokubalika ya CDM.
Lissu hawezi kuondoka CDM. Akiondoka ataacha siasa ya vyama na kubaki kuwa activist na pundit wa mambo ya siasa. Hii inaweza kutokea kama CDM itawasamehe wakina Halima.
Amandla...
Still does not make sense. Mpunga gani watampa Mbowe utakaofidia uharibifu mkubwa waliomfanyia kwenye biashara zake? Ni juhudi tu za kumchafua Mbowe kwa sababu mnaona ni tishio.
Amandla...
Nimewahi fanya kazi kwenye taasisi Halmashauri ambayo inaongozwa na Machadema,kilochokuwa linaendelea ni Ufisadi na wizi tuu.Unaongea kama mtu mwenye uhakika wa kupata mshahara kila mwezi. Kwahiyo wewe unacheza na akili za CCM si ndiyo ?
Na yote haya ni kutaka kutuaminisha kuwa Lissu ana mpango wa kutoka CDM? Wote uliowataja hawana platform kama walivyokuwa nayo walipokuwa CDM. Kama maisha ni mazuri kwa Covid-19 kwa nini waombe msamaha?Don't put people in a box.
Inaelekea kabisa makamanda mshamkadiria Lissu na kuona kwamba hana maisha ya kisiasa nje ya CHADEMA.
This political megalomania, ndiyo imekuwa ikiwaumiza CHADEMA miaka nenda rudi. Zitto alitoka na mpaka leo yupo kwenye ramani, Slaa alitoka na mpaka leo yupo, Covid-19 walitoka na mpaka leo mnataka kuwasamehe. Sembuse the firebrand Lissu ?
You got to be kidding me!
Unaota. Bait gani ambayo huyo Boss Lady anaweza kumpa Mbowe?Boss Lady put the bait, and Mbowe took it.
As of now he's facing a similar predicament, a rich man was faced with during the times of Jesus: Either cling onto your riches and lose your soul, or sell everything you have and give to the poor, then follow me.
You can't serve two master at once. It's either the MONEY BAG or THE STRUGGLE. Unfortunately, Mbowe chose the BAG and doesn't want to fumble it.
Unaota. Bait gani ambayo huyo Boss Lady anaweza kumpa Mbowe?
Amandla...
Broken record. Lowassa bought nobody. He just wanted to be president and Mbowe saw it as an opportunity for his party to gain more seats in parliament and presidential votes which he got. The votes translated into a larger ruzuku that could be used to reach areas that CDM had never reached before. Slaa could never have won the votes Lowassa did. He also had nobody on his coattails who could ride his wave into parliament. It was a strategic move that Mbowe played to perfection.Listen to yourself!
Kama Fisadi Lowassa bought his was way to the top of CHADEMA what makes you think the Boss Lady hasn't already ?
You can't serve two masters: It's either THE MONEY BAD or THE STRUGGLE. Unfortunately, Mbowe chose the BAG and he doesn't want to fumble it.
Oooh really!Broken record. Lowassa bought nobody. He just wanted to be president and Mbowe saw it as an opportunity for his party to gain more seats in parliament and presidential votes which he got. The votes translated into a larger ruzuku that could be used to reach areas that CDM had never reached before. Slaa could never have won the votes Lowassa did. He also had nobody on his coattails who could ride his wave into parliament. It was a strategic move that Mbowe played to perfection.
Amandla....
I am done.Oooh really!
So CHADEMA went to bed with The Grand Duke of UFISADI just for the sake of securing the political largesse of RUZUKU.
And where are the financial records of the RUZUKU largesse ? How many branches have you established since 2016 ?
Nakutakia kila la kheri kamanda.I am done.
Amandla...
Nakutakia kila la kheri kamanda.
Upiganie haki na kuipinga rushwa ni hatari kwq individualsHii nchi bila rushwa madaraka utabidi uyasahau...
It's a rotten system and you can't get out of it by mere words...
Kupambana na rushwa sio jambo LA mchezo.
I wish him well, but he is fighting the battle he can't win....
Tupo Africa not Copenhagen
Haya ni maneno ya kupaka rangi upepo.
Ndiyo, mwanasiasa hawezi kukusaidia lakini mfumo unaweza kubadilisha maisha yako, kwa jema au baya.
Leo hii hao wanasiasa wakicheza na mfumo, hata wewe unayejitia hunufaiki hapa unaweza kujikuta ni mkimbizi au marehemu kama ilivyokuwa Uganda, Rwanda, Burundi na Congo.