Tundu Lissu kurejea Nchini January 25, 2023

Ushauri poa sana huu, atapata mileage kubwa mnoo ya kisiasa kama statesman na mkomavu kisiasa.
 
Nitaunga mkono hoja yako endapo atathibitisha kuhusika kwake na tukio la kupigwa risasi wahusika lazima wapatikane siamini kama magu alishika hiyo bunduki
 
Kwani kabla hatujanyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji na kushitakiwa Miga, tulikuwa tunalipwa ngapi?
 
Hata kama,tulinyolewa na vipande vya chupa pasipo maji na accecia na kufirisiwa,kama mwanasheria Lissu alivyokuwa anatuaminisha?hayo mambo ya tulipata kidogo kuliko tulichotarajia hayo hayana shida kwani hata mwanzo kwenye tawala zilizo pita hatukuyapata na maisha yalisonga, lakini je tulishitakiwa Miga na kunyolewa kwa vipande vya chupa pasipo maji kama Lissu alivyokuwa anatuogopesha watanganyika?
 
..kunyolewa bila maji ni vijembe tu vya wanasiasa.

..je, huna taarifa kuwa acacia waliishtaki serikali ya Tanzania?

..kama unaamini kulipwa usd 300 mil badala ya usd 191 bil ni ushindi hakuna namna ya kukusaidia.
 
Kwaiyo accecia walipokwenda Miga wakashinda kesi,ndipo wakaamua kutulipa usd 300, pasipo kutufilisi kama tuvyokuwa tukiogopeshwa.Wapenzi wa Lissu mnashinda kweli Kweli.
 
Kwaiyo accecia walipokwenda Miga wakashinda kesi,ndipo wakaamua kutulipa usd 300, pasipo kutufilisi kama tuvyokuwa tukiogopeshwa.Wapenzi wa Lissu mnashinda kweli Kweli.

..Nimekuuliza kama unafahamu kuwa acacia waliishitaki serikali mahakamani.

..Kama hatukuogopa, kwanini tulikubali usd 300 mil badala ya usd 191 bil tulizohakikishiwa kuwa ni haki yetu?
 
..Nimekuuliza kama unafahamu kuwa acacia waliishitaki serikali mahakamani.

..Kama hatukuoga kwanini tulikubali usd 300 mil badala ya usd 191 bil tulizohakikishiwa kuwa ni haki yetu?
Kama walishitaki walilipwa au waliishia wapi? mbona Siku sisikii Kampuni inayochimba madini inayoitwa accecia wakati walikwenda Miga na kushinda kesi?wadanganye Chadema wenziwe wanaokamatwa masikio na lisu.
 
TL Mungu ambariki sana
 
Kama walishitaki walilipwa au waliishia wapi? mbona Siku sisikii Kampuni inayochimba madini inayoitwa accecia...
Unafahamu mahusiano ya acacia na barrick?

Unaelewa kwanini aliyemtongoza Magufuli mpaka kukubali kishika uchumba cha usd 300 mil ni ceo wa barrick badala ya acacia?

Unafahamu tungelipwa usd 191 bil ambazo magufuli alisema tumeibiwa leo serikali isingekuwa inakopakopa?
 
Kuwepo ushoga tangu enzi za Ibrahim si habari mpya; habari mpya ni watu kuhongwa € 50m kuja kuhamasisha ushoga.

Lipi gumu hapo kueleweka kwako?
Lete video/chochote hapa kinachomuonesha Lissu akihamasisha ushoga, kama huna basi wewe ni LIPUMBAVU FLANI TU HIVI linalochafua watu mitandaoni, Stupid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…