Taarifa nzuri pia kwa Tanpol wanamsubiri kwa hamuTaarifa mbaya sana hizi kwa MATAGA wa ccm.
Wabaya wa lissu wapo ndani ya chama awe makini akirudi wasije kumdhuru tena
Naimana chadema wengi mnajua sheria hata tundulisu mwenyewe so nilikua naomba ufafanuz wa hili jambo kwa Nia nzur tuMakamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Na yale magongo nani ampe Kura. Bavicha mtapata tabu sana awamu hii.
Mwai Kibaki alichaguliwaga akiwa kwenye wheelchair kama unakumbukaKuna walemavu kibao wanapigiwa kura. Tena huo ulemavu aliopatiwa na wanasiasa mabaradhuli, tunamnyimaje kura kwa mfano?
Usikute na huyo unayemfagilia ni afya mgogoro tu na hana tofauti yoyote ile na maiti inayotembea! Mungu ni wa ajabu sana!
Rais wa Marekani Franklin Delano Roosevelt, wakati wa msukosuko mkubwa wa kiuchumi kwenye ile miaka ya 1930's, alishinda uchaguzi kirahisi tu kitoka kwa Rais Mhafidhina wa chama cha Republican huku akiwa anatumia Wheelchair!
Wananchi wakitokea kuuchoka mfumo wa kiutawala, wanaweza kumuunga mkono kichaa!! Usiombee hali hiyo itokee nchini! Mtakimbiana enyi Maccm!
Huyo Lissu mtapitisha kama mgombea ama mna mhadaa babu wa watu aje alale lockup maana ana kesi nyingi za kujibu.
Wakimdaka inatumwa drone, kumbuka yule ni international figure kwa sasaSi ana kesi mahakamani huyu. Akishuka tu airport wanamdaka.
Mbuzi jike wote wa ccm lazima Lisu awatungishe mimbaNa yale magongo nani ampe Kura. Bavicha mtapata tabu sana awamu hii.
Mimi sijui, lakini kwani Lissu ni mtoro ?!. Hao majaji kama hawajui kwanini Lissu yupo nje ya nchi , basi sheria zetu zina kasoro kubwaNaimana chadema wengi mnajua sheria hata tundulisu mwenyewe so nilikua naomba ufafanuz wa hili jambo kwa Nia nzur tu
Ivi mtu ambae ana kesi maakaman akadhidisha muda wa dhamana na wadhamin wake kuomba kujitoa kwenye kesi yake. Je kwa mujibu wa sheria Mahakama itanfanya Nini Tundulisu na pia iv mahakama itakua imekosea?
Mnisaidie wadau
Karibu mfalme!Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amesema mwishoni mwa mwezi Julai, 2020 atarejea nchini kwa ajili ya kuendelea na shughuli za kisiasa.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Kuelekea Mkutano wa Baraza Kuu la chama na Mkutano Mkuu utakaofanyika Julai 29, Lissu amesema atahudhuria mkutano huo utaompitisha mgombea Urais wa chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.
Tundu Lissu ni mmoja wa watia nia waliojitokeza kuwania nafasi ya Urais kupitia chama hicho kwenye Uchaguzi Mkuu, wengine ni wakiwemo, Mwenykiti wa chama, Freeman Mbowe, Mbunge Peter Msigwa na mwanasiasa Lazaro Nyalandu.
Tangu alipopelekwa nje ya nchi kwa matibabu tangu Septemba mwaka 2017, Lissu hakuwahi kurudi nchini na hiyo itakuwa ni mara ya kwanza baada ya tukio la kushambuliwa na watu
Ulalamishi mwingine ni viashiria vya kuwa mchawi/mlozi. Kama waona hakuhusu si ukaendelee na shughuli zako ndg.Ndio anataka dar isimame akija? tuache kwenda kujitafutia riziki tumsubiri mwana wa Mabeberu [emoji28]