Ratiba ya Lisu tunayoifahamu ni kutii sheria bila shuruti kwa kuripoti sentoro.
Kabudi wadhifa wake ni uprofesa tu. Hana lolote tatizo tumeichezea katiba yetu vibaya sana. Kwa akili yako ndogo unadhani Kabudi bado ni waziri?!. Halafu sio kila anayekosoa serikali ni mpinzani. Kama utakuwa mtu mzima kama mimi utajua jukumu la serikali ni nini na jukumu la CCM ni nini. Rudi darasani
UmenenaWAGOMBEA KUENGELIWA KIHOLELA NADHANI NI HILO
Jamani Tundu Lissu ana dharau za kiheshima sana. Yaani unaitwa Polisi lakini unaienda kuongea na Mabalozi.
Sasa wakienda utawalaumu au hawana akiliNdio maana nasema upinzani hamna akili.
Hivi unatambua wadhifa|nafasi ya kabudi katika nchi hii??
Njoo kwa wakuitwa Tundulissu ana nafasi au wadhifa gani katika hii nchi hii kumfanya afanye kikoa na Mabalozi kama sio kuomba huruma ya mabeberu.
Shida yenu dhulma ipo damuni,kwenu pamoja na mbeleko zenu zote.Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
Mwingine lugha haipandi, anawakimbiaKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania .
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Safari hii hawataniii best.Hizi drama za cdm hazijaanza leo. Miaka ya juzi kati wakiturushia tupicha wakiwa wakimbizi ubalozi wa EU na magwanda yao.
This time CDM wamejipanga kweli kweli.
HaahahahahKwani sasa ni saa ngapi kwa saa za Afrika ya mashariki?
Mnamwongezea kura za huruma tl kwa mnayomfanyia. Binadam tuna kawaida ya kumfariji anayeonewa.Hivi sometimes upinzani(hasa Chadema) akili sijui mnapeleka wapi(rika zote).
Mnazidi tuonesha hampo kwa ajili ya Watanzania bali mpo kwa ajili ya interest ya watu nje ya Tanzania.
Unakikao na Mabalozi wa nje kipindi cha kampeni ili wakusaidie nini?,au ndio unaenda kuteta upuuzi.
waamuzi ni sisi Watanzania,subiri oct.28 tuwafunge mdomo wapuuzi.
China wanasoma kiingereza kwa kasi, unadhani ni wajinga?Hapa ukoloni hauwezi kuisha kamwe.
kama mtu anasifia mtu kujua Lugha ya Mkoloni na kuponda Lugha ya Taifa lake.
Halafu mnataka kuongoza nchi..aisee!! Labda mtafute nchi ya kuiongoza huko ulaya
Tupo masikio na macho tunasubiriKuwa wa Kwanza kufahamu kwamba Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu Ijumaa hii atakutana na mabalozi wa nchi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa Tanzania.
Endelea kufuatilia kitakachozungumzwa kupitia hapa hapa JF
=======
Haha..(sorry kwa kukukwaza na infriority yangu ni typing error tu.)
Umekuja na Jambo jipya eti " Kuongea kingereza ni dalili ya jinsi ulivyoelimika". hii ni hatari!!
Hii kusema kutojua kingereza ni dalili ya kuto elimika.
Sijui ni kutajie Icon(watu wanaoonekana kutumia akili zao kuisadia dunia kwa vitu mbali mbali) wa dunia lakini hawajui kingereza.
Njoo China, angalia baadhi ya makocha wakubwa n.k
Umeanza kuchanganyikiwa kijana eenh.