Luheshi
Senior Member
- Jul 31, 2019
- 130
- 151
Unao ushahidi wa kutosha au umeandika tantalira za kiccm CCM.Lema na Lisu wake zao wamewaachia wazungu wakifaidi utamu, alafu wamekuja huku kutupigia kelele za kijinga kabisa. Wasaliti wakubwa nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unao ushahidi wa kutosha au umeandika tantalira za kiccm CCM.Lema na Lisu wake zao wamewaachia wazungu wakifaidi utamu, alafu wamekuja huku kutupigia kelele za kijinga kabisa. Wasaliti wakubwa nyie
Policcmtoa ushahidi na upeleke polisi vinginevyo ni majungu na wivu wa kike
Ninaelewa kuwa kuna wapumbavu wengi sana wamesajiliwa na Bashite ili kuja hapa kuchafua hali hewa na hata haya majina wamejipa kwa lengo maalum> NI wa kupiga kwa namna zote! maajent wa MalyamunguKwa hiyo kumbe wachaga wote ndo wapinzani wa Makonda? Waache ukabila mtu afanye aonavyo!
Huyu mtu si mwanasheria? Kwa nini asipeleke kesi mahakamani?Ameongeza kwa kusema " kwa nchi zenye kufuatia utawala wa sheria Makonda alipaswa kuwa jela".
View attachment 2820200
Mahakama ya nani???Wakati mlijitoa hata kwenye mahakama za Afrika ili mfanye upumbavu wenu.Tunawashangaa sana ninyi chama cha mambuzi.Huyu mtu si mwanasheria? Kwa nini asipeleke kesi mahakamani?
Chama cha mambuziTumewawekea kijana anayefanana nao, kama mbway na iwe mbway maana ustaarabu waliushindwa wao wenyewe, wakaanza matusi jeuri kibri tumewapa huyo anayeendana nao ki hulka,
Kidumu chama cha mapinduzi.

Ujinga wa CCM ukafikiri kizazi hiki ni cha enzi ya Nyerere wakasuka mipango yao mibovu kuanzia Mahakama,Bunge,Vijijini,Serikali za Mitaa,Tume ya uchaguzi,Uchaguzi 2020,kifo cha Magufuri,mawasiliano na kila aina ya takataka .Mahakama ya nani???Wakati mlijitoa hata kwenye mahakama za Afrika ili mfanye upumbavu wenu.Tunawashangaa sana ninyi chama cha mambuzi.
Katibu Mwenezi wa CCM ha ha ha ha ha.
Ameongoza kikosi kazi cha uvccm kumpiga mitama Mzee WariobaKatibu Mwenezi wa CCM ha ha ha ha ha.
Halafu Mhuni asiye na adabu na heshima kwa wakubwa anapewa madaraka makubwa kisa kuilinda ccm.Ameongoza kikosi kazi cha uvccm kumpiga mitama Mzee Warioba
ccm haina watuHalafu Mhuni asiye na adabu na heshima kwa wakubwa anapewa madaraka makubwa kisa kuilinda ccm.
Kweli kabisa.ccm haina watu
Mipasho ya kwenye kanga haitokusaidia kitu kijana.Wewe una matatizo mahala. Siyo bure unalinganisha mikutano ya chadema bayo watu wanaenda wenyewe na ile ya c ambayo watu hupewa posho, usafiri, lhanga na wasanii juu? Hah
wewe mimi naishi Tanzania tena naenda sana vijijini.sishindi kwenye IT rooms kama uvccm tunajua stori ya ukweliMipasho ya kwenye kanga haitokusaidia kitu kijana.
Ninachoweza kukwambia ni kwamba ile operation uchwara ya "255", iliyoanzishwa na Chadema kamwe haitoendelea tena ili kukwepa aibu ya kumezwa na kimbunga cha mikutano ya Makonda. Unaweza kujitoa akili kwa kukataa kinafiki hapa JF lkn akilini na moyoni unakubaliana na kile nilichoandika hapa.
We vipi ushahidi hupelekwa Mahakamani, kinachopelekwa Polisi ni mashtaka. Mlisoma ili nini?!toa ushahidi na upeleke polisi vinginevyo ni majungu na wivu wa kike
badilsha katiba pawe na tume huru ya uchaguzi, TISS wakae mbali na polisi twende kaziMipasho ya kwenye kanga haitokusaidia kitu kijana.
Ninachoweza kukwambia ni kwamba ile operation uchwara ya "255", iliyoanzishwa na Chadema kamwe haitoendelea tena ili kukwepa aibu ya kumezwa na kimbunga cha mikutano ya Makonda. Unaweza kujitoa akili kwa kukataa kinafiki hapa JF lkn akilini na moyoni unakubaliana na kile nilichoandika hapa.
Mahakama zipi? Hizi hizi zinazoendeshwa na huyu mfagizi aliyeingia ikulu? Huoni kinachoendelea kwenye sakata la Mwabukusi??Huyu mtu si mwanasheria? Kwa nini asipeleke kesi mahakamani?
Afunike bakuli lake sasaMahakama zipi? Hizi hizi zinazoendeshwa na huyu mfagizi aliyeingia ikulu? Huoni kinachoendelea kwenye sakata la Mwabukusi??