Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,686
- 12,016
Hujui unachokisema umeamua kusema lakini kaeni mkijua kuwa hamtaendelea kutu huzunisha kila siku!
Aksante sana kaka Benson Mramba
A united front is standing before us which would help eradicate once and for all the traces of the oppressive régime!Umehuzunishwa na nani? Kaa na familia utapata furaha
A united front is standing before us which would help eradicate once and for all the traces of the oppressive régime!
Nina wasiwasi sana na huyu Tundu lissu anatumia kingereza anamu-address nani au ndio njama za kuleta machafuko kipindi hichi cha uchaguzi
Hawajui wazungu wenyewe hivi sasa,wana matatizo yao kedekedeNina wasiwasi sana na huyu Tundu lissu anatumia kingereza anamu-address nani au ndio njama za kuleta machafuko kipindi hichi cha uchaguzi
Hata kama ni propaganda,Kaka kumbuka kuwa kuna utu
Pia,Mbowe atakuwa amepigwa na wana-ccm au serikali ya ccm baada ya kushindwa kumnunua!
Great! Hayo yaliyompata nayo ni malipoKila ubaya utalipwa .
Ivi wewe, Lissu, Mnyika na wenziwe uikacha wanachama mikoani sio Watanzania? Ficha upumbavu wako, hadharani sio pahala pake. FUMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Wanaotuma wakora kuvamia watu na kuwajeruhi wasilete machafuko badala yake walete wahanga wa huo uhuni.Nina wasiwasi sana na huyu Tundu lissu anatumia kingereza anamu-address nani au ndio njama za kuleta machafuko kipindi hichi cha uchaguzi
Ili iwejeMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao
Wewe una wazimu hasa unaleta pumba za Lumumba hapa ili iweje??Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
We huoni ameji-expose nia yake mapema huyu bwana mdogo ni Angel of death 💀 anawaza na kupanga mabaya tu kwa Taifa ...Shida iko wapi kung'ang'ania mambo makubwa kumbe kiingereza hakikupandi
Serikali ingemtaka MBOWE asingekuwepo hao ni wahuni wenzie sio JAMHURI YA MUUNGANOWanaotuma wakora kuvamia watu na kuwajeruhi wasilete machafuko badala yake walete wahanga wa huo uhuni.
Free Advice: Rudi tena Mirembe.