paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,504
NI ULEVI WA KUPINDULIAMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Yani binaadamu mwenye roho mbaya ktk mwili wake utamjua tuu yani kila Uzi lazima atie fitnaMimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Heche anaongeaga kikuryaMbowe amekuwa mtu wa busara busara nyiiiiingi hata mahali zisipohitajika/anapoonewa tofauti kabisa na Kina Lema na yule mbunge wa kule Nyamongo ambao wao ni watu wamisimamo kama ni mbaya iwe mbaya tu.
Sasa acha Mbowe apewe kichapo kidogo akitoka hosp. Nadhani atapnguza zile busara busara zake ambazo hua zinapelekea kuonewa bila mpango.
Si alikuwa anakunywa na Mama yako.We ongea huko ila sisi tunangoja majibu kama ni MLEVI ama laa
Tumuombe Lissu amfundishe mzee meko lugha ya malkia.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
Lissu hizo gharama za kukaa ulaya unataka kuzilipa kwa kuwapa mabeberu rasilimali zetu pale utakapoingia ikulu.
Hatukuhitaji mtu kama wewe awe rais
Madikteta wote duniani mwisho wao huwa ni mbaya sana, vifo vyao huwa ni vya hovyo hovyo tu. Kejeli na dhihaka zina mwisho wake. Mwenyekiti wetu wa CCM ajifunze kwa Marehemu dikteta mwenzie NKURUNZINZA.Mimi nina mashaka Inawezekana hizi ni njama ndani ya chama kumpoteza Mbowe ili kuwapokonya watu wa Kilimanjaro Chama chao.
ACHA MIHEMKO YA KISHAMBA.....Si alikuwa anakunywa na Mama yako.
Ila unamuhitaji huyo mtenda maovu ambaye sasa anataka kujificha kwa maovu yake mbali mbali nyuma ya muswaada wa kidikteta eti ASISHTAKIWE. Ni maovu gani katenda hadi aweweseke!?
Mkuu mbona tokea zamani rais wa JMT hashtakiwi ndani ya Jamhuri
Utawala huu umekuwa wa kishenzi sana, tulipofikia hakuna tofauti na ule utawala dhalimu wa Dikteta Nduli Idd Amin. Magufuli atambue tu kwamba hata yeye hatoishi milele, na huenda kifo chake kikawa ni SHEREHE KWA WENGI.Huyo Lissu naye toka apigwe risasi akili zake haziko sawa, kajaa visasi tu na hasira ambazo hajui amuelekezee nani, jitu la mahasira etu linataka kuwa rais!! si litaendesha nchi kwa ujingaujinga tu!!
Mkuu mbona tokea zamani rais wa JMT hashtakiwi ndani ya Jamhuri
Amepoteza sifa ya kuitwa mheshimiwa, utawala wake hauna tofauti na ule wa Nduli Idd Amin Dadaa.We nani mpaka umtabirie ujinga Mhe Rais? yaani Mwenyekiti wenu kapiga pombe mpaka kala mweleka kavunja mguu, kwa aibu anadai amepigwa na vibaka!! halafu we dada unakuja hapa unakenuakenua tu na kulaumu serikali bila ushahidi, katafute mume labda utatulia
Wametuibia sana...Hawa jamaa wamezidi uhuni.
Nadhani wwe ndo unatumika. Mmefanya kituko cha mwaka. Mwenyekiti kalewa chakarii mnakuja kuleta uzushi kavamiwa na watu wasiojulikana. Mtu kaumia kifundo cha mguu kakodiwa ndege.Usihangaike na hicho kikaragosi kinachotumika