Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

Ndio ameona aibu kumsifia
 
Huko Club house ndo wapi?Any way mkataba ukifanikishwa na Rostam Aziz fisadi Papa ,ujue hapo nchi imepigwa.
Dili kama hizi akosi

Maana pua yake inanusa harufu ya ankala tu si vinginevyo
 
Mzalendo wa kweli ni muuza bandari na loliondo tusimamie hapo
 
Huo mkataba unanuka rushwa.

Ni mkataba gani usio na kikomo??

Hakuna kitu kama hiki duniani.

Ni kama vile tumeamua kuifanya bandari kama sehemu ya Dubai.

Chief Mangungo part two hii.
Kwenye hili hata USSR imemtosa Maza.
 
Wazawa wapo chini ya nani ,KAMA serikali inashindwa kusimamia kisehemu kidogo hivyo wataweza kweli kusimamia ma ma ELITE KAMA HAO DP
 
Uhuru wa mahakam unaupomaje mbona huko USA nako huwa wanalalamikia pia mahakam zawa
 
Mh.. umeamua tu kutia chumvi ,kwa kuwa we ni anti jpm ,Singapore wanakitu gani special
 
Siku ikulu ikitaka kuuzwa utakuja kulalamika kwa nini jpm sheria hazikujumuisha ikulu badala yake ikaegemea kwemye madini tu .
 
Nini kinajadiliwa Bungeni wakati Mkataba ushasainiwa ?

Mbona twachezeana shere
Wabunge waridhie kupitisha mabadiliko ya sheria za Tanzania kwenye mikataba ili kukidhi mahitaji ya mkataba wa bandari kisheria! Yani Sheria zetu zibadilishwe ili kuaccomodate mkataba!

Bunge halina mandate ya kukataa au kubadilisha vipengele vya mkataba Ila kubadilisha Sheria zetu Kama ilivyo utaratibu!

Na mabadiliko hayo ya Sheria yameshafanyika kupitia vyombo husika kwa hiyo linakuja Bungeni Kama muswada ili kujadiliwa na kupitishwa na na Bunge.


Kinachofanyika Sasa Ni semina kwa wabunge na mlungula kuwaelemisha juu ya faida za mkataba huo ili wasiupinge au kwenda kinyume na mapendekezo ya mabadiliko ya Sheria ili kuaccomodate huo mkataba!
Na wabunge hao baada ya kugonga meza watakuja majimboni kutuelemisha wadanganyika juu ya umuhimu wa huo mkataba kwa maendeleo ya nchi.

Kumbuka wabunge Ni wa chama kimoja na Mwenyekiti wa Chama ambaye Ni Rais amekasimisha madaraka ya kusaini nankuidhinisha mkataba huo kwa Waziri Mabarawa.

Hivyo Basi mbunge yeyote atakayepinga au kuonesha kutokubaliana na kilichomo katika mkataba huo ajue anaweka ubunge wake rehani kwenye uchaguzi ujao..
Na kwakua akili za wabunge wetu zinawaza uchaguzi tu na sio maendeleo ya watanzania hawtakaua tayari kutofautiana na Mwenyekiti wa Chama pamoja na waNEC ambao miongobi mwao Kuna mawaziri ambao walikaa kwenye vikao vya Baraza kujadili mkataba huo.

Na kwa nguvu walizo nazowaNEC Ni pamoja na kuamua Nani awe mbunge na Nani asiwe mbunge.
Ni mbunge GANI ataoinga bila kusema naunga mkono hoja?
 
Nini kinajadiliwa Bungeni wakati Mkataba ushasainiwa ?

Mbona twachezeana shere
Wanafanya ratification. Mkataba una vipengele vinavyopingana na sheria za nchi hivyo wanahalalisha hilo kupitia bunge. Ndio hiyo ratification
 
Wanafanya ratification. Mkataba una vipengele vinavyopingana na sheria za nchi hivyo wanahalalisha hilo kupitia bunge. Ndio hiyo ratification
Nimemweleza vizuri hapo kuwa parliament inaenda kupitisha Sheria itakayoacoomodate mkataba wa milele na ambao hata ukikiuka international laws hauvunjiki!
 
Huo mkataba unanuka rushwa.

Ni mkataba gani usio na kikomo??

Hakuna kitu kama hiki duniani.

Ni kama vile tumeamua kuifanya bandari kama sehemu ya Dubai.

Chief Mangungo part two hii.
ukiona wabunge na serikali unakomalia mkataba fulani ujue ndani yake kuna rushwa na tayari watu wamelainishwa,lkn Mungu ni mjuvi watakuja kuumbuliwa tu na kuburuzwa mahakamani.tushirikiane kuipigania katiba ili wala rushwa siku moja tuone wakilambwa shaba hadharani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…