Tundu Lissu: Mkataba wa bandari ni suala nyeti sana

Akaonya kuwa hata hii ksmpuni ya Dubai nayo inaweza kuendelea na mchezo huu maana ili ifanikiwe zaidi katika mkataba huu wa kuuza nchi, lazima CCM iendelee kubaki madarakani, maana serikali yake ndiyo iliyowauzia bandari kiubwete.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samia hastahili kabisa kuwepo kwenye ile nafasi yake, hafai, hao wanaomtetea huyu mtu kwasababu yoyote Mungu atawaadhibu.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kama hatuwezi kuwafungulia kesi hao waarabu matapeli, inaonekana kabisa kwenye yale makubaliano upande mmoja ulilemewa na utamu wa hongo, ukaingia makubaliano yanayohusu mali ya taifa kwa manufaa yao binafsi.

Wananchi wenye bandari yao walishirikishwa vipi kwenye kuamua hatma ya ile bandari? kama hawakushirikishwa, hapo ndio pawe chimbuko la kufungua kesi, kwasababu hao DP World kitendo cha mataifa mengi kuwafungulia kesi, inaonesha ni wahuni.
 
Asikudanganye mtu, Tundu Lisu ni sehemu ya huu utawala na hakuna asichokijua ni kama Zito Kabwe tu, kwangu mimi Tundu lisu is more evil klk hawa CCM kwa maana anajificha ili kuwahadaa watu kwamba yuko against utawala wa Samia wakati siyo kweli, pure evil!
 
CCM must go!

Wakae pembeni wajitathmini, ni ushauri wa bure kabisa. Matumaini ya Watanzania ni kuona Umoja party ikiingia madarakani na kusawazisha/kurakabisha masuala yaliyoikumba Serikali hii kupitia Chama cha Mapinduzi. Au, mageuzi yafanyike ndani ya CCM? Nani atayaweza???

Mambo mengi haya yanayotokea,yamechangwa na Upinzani uchwara uliojikita katika ajenda na sera za Kiuharakati na kupeleka nchi kuyumba. Yaani mazingira waliyoyatengeneza kipindi cha nyuma, ndio yaliyotoa Nchi yetu katika reli iliyokuwa ituvushe kutoka katika makucha ya Mabeberu na Ukoloni mamboleo.

Chagueni kwa Uangalifu 2025 -Umakini wako unahitajika.
 
Kumekucha!! Tutasikia meeengi, mengine bado yanakuja......kila mtu sasa ni msemaji, ni mchambuzi na wote wanajifikiria wana akili na wanajua huku wakijitahidi kuficha linalowasumbua haswaa (unafiki). Hakika lipo linalowasumbua, lipo haswaa na wala sio mkataba kama mkataba....kuna jambo!
 
Mwenge ndio chanzo cha laana zote zinazoliangamiza taifa letu
Isaya 50:11
 
Watanzania tunapaswa kufanya maamuzi magumu kuhusu huu utawala.
Binafsi kama huo Mkataba unaiuza nchi wala sioni shida, ni jambo jema na la kupongezwa sana.
Shida ni je, wakati hiyo nchi inauzwa wananchi wa hiyo walikua hawapo nchini? Kama walikuwepo ilikuwaje wakauzwa huku wakijiona? Wananchi hawana uwezo wa kujipambania zaidi ya kuandika mitandaoni?
Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwa wapi? Au kwao ulinzi na usalama ni kukinda serikaki na viongozi, au kwao ulinzi na usalama ni kulinda mipaka ya inapoanza na kuishia nchi bila kujali kilichomo ndani ya mipaka amepewa nani au kinatumikaje?

Kama ndivyo basi ni bora sana nchi iuzwe kuliko siku tukivamiwa na kuporwa.
 
Evil ni Yule aliyefukiwa chato, NDULI MLA NYAMA za watu.
 
Ubaya zaidi ni wanainchi hatuna elimu zaid juu ya nchi ya utawala na mamb ya kijamii,zaid tunawaza kutoboa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…