residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 10,348
- 15,205
Wewe umetupigia makelele tu hapa mbona? Maneno mengi, hoja sifuri. CCM mama yenu na baba yenu ni mmoja au ni vipi?Huyu mtu huyu, sjawahi kumkubali na stokuja kumkubali hata nibakie peke yangu ktk msimamo huo kisiasa
Anajiona ni yeye pekee mwelewa na msomi kuliko wote Tz,
Anajiona anajua kila kitu licha ya kushindwa kutoa mwelekeo wa kuishinda korona, makelele meeengi kuhusu MIGA yasiyo na ukweli wowote!
Makelele meeengi kuhusu uhusiano wa nchi yetu na mataifa mengine huku Magufuli akiendelea kupokea mabalozi wa nchi mbalimbali
Makelele meeengi kuhusu ujenzi wa nchi yetu unaohusisha vitu, huku akitumia Barabara zilezile anazozikataa zisijengwe!!
Makelele meeengi hayana hata maana yoyote
Na cha kumuumiza zaidi''' anashindwa vibaya huyu baba!!!
JPM, Hana wa kumzuia nafasi yake!!
Atapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
Sawa mkuu baada ya oktoba 28 tutakuwa humu humuWe endelea kuimba tu.. ukiweza na kiuno ukate kabisa.
Lisu mikoani ndio wanamuwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwaBonge la idea akitoka kariakoo aende manzese then mlimani city,alikuwa na mpango wa kwenda taifa mechi ya simba na yanga,maccm yakaisogeza mbele
Nani anayejali misafari ya Jiwe Dar es Salaam?mikoani ndio wanamwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
Jamaa keshafika kariakoo watu wameacha kazi zao wanamsindikiza kila anakokwenda.Sawa mkuu baada ya oktoba 28 tutakuwa humu humu
Utasikia Mwendokasi imesimamishwa kufanya kazi kwa siku 7 kutokana na matengenezo kwny barabara za mwendokasi.
Mlikejeli Magu aliposema tufunge na kuomba kwa siku tatu kwa ajili ya corona!Mungu yupi kakejeliwa? Msitake kuleta upotoshaji wa kijinga wakati kilichosemwa kuhusu Corona Kiko wazi. Usitake kumchanganya Mungu na siasa zenu za kiki.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kama wale wafuasi miloni 80 aliopata alipohudhuria hard talk ya bbc?Jana alifanya kikao cha ndani huko Kibaha, nimecheki Youtube hiko kikao kimehudhuriwa na watu 70,000!
Nipo kariakoo acha uongoJamaa keshafika kariakoo watu wameacha kazi zao wanamsindikiza kila anakokwenda.
Jipeni moyo tu hamna tena chakufanya.
Dar waoga wengi na wanafiki ila wanampenda sana subiri tarehe 28, ujue dar wengi wameajiriwa, huyo muhutu alitujaza uoga tunaogopa kuonyesha hisia zetu kulinda vibarua ila lissu anakubalikaLisu mikoani ndio wanamuwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
Hahahaaa haya, ila polepole hata hatujuaniUsije ukavunja simu umenunuliwa na Polepole hiyo, wacheni hasira.
Ko wametengeneza Chadema?Ona hili duduna eti ccm wametengeneza
Ndio wanamwaga mitusi huku kumuona Lissu kwenye mwendokasi, wanajua wana kesi ya kujibu, sijui leo itakuwa zamu ya nani huko lumumba kutoa majibu.Nenda kalete financial statement ya ccm ikionyesha kiasi cha pesa ilichotoa kugharamia huo mradi.
Ndio atakua rais si et eeh🤣2810
Ahaaaa ahaaaa, ikifika wakati wa kura mnasema wapiga kura hawako mijini bali wako vijijini ambako ndio ccm inashindia. Ila wakati wa kiki inakuwa kinyume chake!Lisu mikoani ndio wanamuwewesekea Dar es salaam mtu wa kawaida sana na wala hata misafara yake hakuna anayejali .Sema mikoani ushamba mwingi.Si unaona hata humo kwenye gari wala hawaoni kama kitu kikubwa
We ni BONGOLALA kweli, hiyo ni KODI yetu.Sijapatata kuona poor seasoning kama yako.Atapita kila kwa kila ilichotengeneza ccm roho inamuuma hadi anaugua tene
Serikali imetumia kodi kujengaKo wametengeneza Chadema?