Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
- Thread starter
- #21
MmhUuzwaji wa rasilimali za Tanganyika ni pigo kwa watanganyika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhUuzwaji wa rasilimali za Tanganyika ni pigo kwa watanganyika
Wangekuwa chama gani?Lissu namkubali sana sema sehemu chama alichopo sio chama sahihi yeye na wenje
Nilijua tu Kwa nondo za Lissu huko Lumumba hakutakalika! Hata hivyo ccm bahata yao ni mbaya wameshachelewa! Wananchi tumeshafahamu kila kitu! Na Mh jemedari wetu Lissu tunaomba ututajie na viongozi wa dini waliopewa tenda ya kifisadi ya kuagiza sukari.Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu maswala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.
chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh Tundu Lissu
Nini ambacho Mh Kinana andhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Ulitaka wawe wapi nra?Lissu namkubali sana sema sehemu chama alichopo sio chama sahihi yeye na wenje
Wangekuwa chama alitakiwa awe na chama chake
Naapa naahidi mbele ya Mungu Chadema nitailinda mpaka kufa. Hakuna chama kingine mbadala wa Chadema Kwa nyakati hizi.Lissu namkubali sana sema sehemu chama alichopo sio chama sahihi yeye na wenje
Makamu Mwenyekiti CCM Kinana amekuja front kumjibu Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh. Lisu. Hakika hii imekaa vizuri.Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.
chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh. Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh. Tundu Lissu!
Nini ambacho Mh. Kinana anadhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Mbowe atajibiwa na mzee Wassira 🐼Makamu Mwenyekiti CCM Kinana amekuja front kumjibu Makamu Mwenyekiti CHADEMA Mh. Lisu. Hakika hii imekaa vizuri.
Sasa Mwenyekiti wa CHADEMA akiongea itabidi ajibiwe na Mwenyekiti wa CCM....
Mambo ni bampa to bampa....kwako
johnthebaptist
Kinana anaishi Masaki mtaa ulipo ubalozi wa South Africa.Genius wa siasa za Tizee, Kinana, one-one discussion/debate
Kinana na Lissu, Lissu anadhalilika
Wasira hawezi jibu misumari ya moto.Mbowe atajibiwa na mzee Wassira 🐼
Lissu kilema, nani anataka Rais wa hivyo? Na wanasema ukilema waga unapanda mpaka kichwaniKinana anaishi Masaki mtaa ulipo ubalozi wa South Africa.
Kama una akili timamu utaelewa kwa nini Kinana anaonekana wazi amezeeka, mashavu yameshuka lakini hataki kustaafu wakati ana pesa kibao tu.
kwamba puppet anatisha 🐒Wiki mbili za Tundu Lissu kufanya maandamano Takribani Mikoa 6 mfululizo zimeacha Madhara makubwa.
Madhara hayo ni kufungua Wananchi kuhusu masuala mbali mbali ikiwemo Uchaguzi, Katiba Mpyaz Uhuruz na Utawala bora, siasa na maendeleo.
chawa wengi walijaribu Kujitutumua kumjibu ikashindikana sasa amekuja Makamu mwenyewe Cmd. Mh. Kinana dhidi ya Makamu Mwenyekiti Mh. Tundu Lissu!
Nini ambacho Mh. Kinana anadhani walisahau ambacho amerudi kufafanua?
Ni mzee.Asamehewe.Kinana hata yeye mwenyewe hajui anaongea nini!
Huwa unakuwaga kama lijinga fulani hivi.Sasa huo ukilema upo hadi kwenye akili zake?Alikuambia utambeba mgongoni?Very stupid!Lissu kilema, nani anataka Rais wa hivyo? Na wanasema ukilema waga unapanda mpaka kichwani
Umevuka mipaka ya ubindamu, ccm inatambuwa walemavu na wanatengewa viti maalum bungeni.Lissu kilema, nani anataka Rais wa hivyo? Na wanasema ukilema waga unapanda mpaka kichwani
NyanokoHuwa unakuwaga kama lijinga fulani hivi.Sasa huo ukilema upo hadi kwenye akili zake?Alikuambia utambeba mgongoni?Very stupid!