Pre GE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Pre GE2025 Tundu Lissu ni kiboko, wameshapitisha sheria sasa wanarudi kufafanua nini? Amemwibua Comrade Kinana!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ukimjibu chizi na ww unakua chizi. Same applies here. Lissu tunamtegemea ajiandae na uchaguzi. Sio kuongea vitu kila siku vinaongelewa hadi mtaani. Ajiandae na ucchaguzi. Kuachiwa kufanya midahalo. Kuna wamaliza wakina lissu na mbowe.

Daaah.... Sikujua kama humkubali Kinana kiasi hiki.
 
Kinana Kwa Sasa hoja zake nyingi ni kama anajidhalilisha hana atakolesema la maana,,,Aheshimu Nyakati ni bora mnoo,,,aking'ang'ana itakuwa sio poa sana kwa ukongwe wakwe watamtusi ya nguoni
Sasa kinana kweli anaweza kaa akazungumza na Lissu?
 
Siku ukipata akili hata ya kutosha kizibo cha chupa ya Soda utafunguka. Walevi au vichaa huongea kama unavyoongea hapo. Sishangai.
Unaonge tu kwa sababu hunijui umemkalili lisu as if ndo ana akili. Nyie mnasumbiwa na inferiority complex na elimu ndogo ndo mana mnamuona lisu ana akili. Mi mseminari rafiki yangu. Hakuna mseminari yeyote anaweza kimwabudu lisu
 
Huyu jamaa ni shida..... Ameshindikana. Kila mtu amejaribu lakini kashinwa. Fatma kanyamaza kabisa baada ya kujibiwa na Lissu. Kimefanyika kikao kujadili hoja zake wakaamua kumtuma Kinana. Naye amepuyanga tu. Lissu hawezekaniki.

Lini tena atahutubia? Sasa sitaki kosa msikia.
View attachment 2981436
Lissu ni fundi
 
Unaonge tu kwa sababu hunijui umemkalili lisu as if ndo ana akili. Nyie mnasumbiwa na inferiority complex na elimu ndogo ndo mana mnamuona lisu ana akili. Mi mseminari rafiki yangu. Hakuna mseminari yeyote anaweza kimwabudu lisu

Kilaza wewe. Wewe umezoea kuabudu watu ndo unadhani kuna wa kuabudiwa hapa? Ungekuwa na akili hata ulichoandika usingeandika hivyo. Kumbe kweli huna akili. Unaleta useminari? We dogo una ushamba wa kizamani sana.
 
CCM ni dola, anaandamana, tunaachia nyoka koboko au swila, inatokeoa fracas, mengine sisemi, labda awe katembea nq toolbox
 
Mi namzidi mbali lisu hanifikii hata kwa chembe. He seems to be intelligent when talking to fools like many tanzanians do, mostly you and only you.
Hata kichaa hudhani yeye ndio mwenye akili kuliko wote, you are among the real foolish
 
Kilaza wewe. Wewe umezoea kuabudu watu ndo unadhani kuna wa kuabudiwa hapa? Ungekuwa na akili hata ulichoandika usingeandika hivyo. Kumbe kweli huna akili. Unaleta useminari? We dogo una ushamba wa kizamani sana.
You seem to be as nincompoop as Lisu. Let me ignore your shortcomings
 
Hoja za Lissu zinahitaji utulivu sana kuzijibu. Hata hivyo Kinana amejitahidi ingawa kuna maeneo jibu pekee la hoja za Lissu ni Serikali 1 na Katiba Mpya. Otherwise hakuna anayeweza kuzijibu hata telete Malaika
Mmh imewauma kweli kweli
 
Mi namzidi mbali lisu hanifikii hata kwa chembe. He seems to be intelligent when talking to fools like many tanzanians do, mostly you and only you.
Hapo ndio unaonekana kuwa mweupe zaidi
 
You seem to be as nincompoop as Lisu. Let me ignore your shortcomings
You might have encountered the term recently and think if you use that term will show you have something in your skull. You are just a brand new secondhand boy. mr. Chatterbox.
 
Back
Top Bottom