Tundu Lissu: Ni wakati wa kufungua ukurasa mpya kama Taifa

Pole yetu wananchi wenzangu ya kuondokewa na kiongozi wetu mkuu wa nchi hayati MH. JOHN JP MAGUFULI. Binafsi nmeguswa na kifo hiki ingawa sikua na nasaba nae kivyovyote zaidi ya utanzania wetu, Ndani ya kipindi kifupi Tumepoteza viongozi wengi sana na wenye nyadhifa tofauti tofauti bara/visiwani.

Katika hii iliokua serikali ya awamu ya 5 chini Hayati Magufuli na mengi yalisemwa lakini kwanini Magufuli? ikumbukwe msiba huu umeanza kwa tabiri tabiri nyingi kabla hata haujatokea na tunataarifa za baadhi ya waliotangaza msiba kabla ya wakati kushikiliwa na vyombo vya usalama machungu yao yataisha vipi ikiwa walisema iliokuwa kweli?

Wahanga wa kisiasa na waliopoteza wapendwa wao kwenye mazngra tatanishi itakuaje? Wananchi wa kawaida na uwakilishi wa kero zetu barabarani nani atatuckia? Tunamshukuru MUNGU Watanzania wenzangu tuungane kwa hili kulinda Amani, Upendo na Mshikamano wetu!

Kwa wale wanaofurahia msiba huu wakiamini Mungu kamuadhibu, niwakumbushe hatufi kama adhabu, hatufi kwa kuombewa dua mbaya na adui zetu, hatufi kwa maradhi, hatufi kwa umaskini au mamlaka! Tunakufa na tutakufa siku zetu za kuishi duniani alizotupangia mola wetu mlezi zitakapo kamilika!

Mungu ailaze roho ya Mh. Magufuli mahali panapo stahili amina
 
Hiki kinahesabika Kama kipindi chake Cha kwanza hivyo sanasana atafikisha9
 
Mwenyezi Mungu amjalie kila aina ya Hekima na Busara. Mama ni mama tu. Hawajawahi kutuangusha hawa viumbe. Atatulea Watanzania kama watoto wake! Inshaallah!

Ukichukulia kwamba anatokea ule upande wa pili wa shilingi! Naamini atatuvusha tu. Muhimu asiwape nafasi WANAFIKI!!
 
Soma Katiba ya Tanzania
Sura ya 40

Makamu wa Rais akiapishwa kuwa Rais akiongoza kwa miaka zaid ya 3, anaruhusiwa kugombea MHULA MMOJA TU WA MIAKA MITANO
 
Lissu ametoa pole kwa familia ya marehemu na watanzania wote, na kusisitiza kuwa huu ni wakati wa kuanza ukurasa mpya. Maana kwa miaka mi tano watu wameuwawa, wameteswa, wamepoteza kazi na wegine wamebomolewa nyumba zao
Apewe uwaziri wa katiba na sheria. Lema ukuu wa wilaya
 
Kwenye kampeni zake hatukumuona akivaa Barakoa,
Ajitafakari yeye kwanza.
 
Reactions: 30P
Katiba ibara ya 40 inasema ataweza kuongeza kipindi kimoja tu kwa kuwa kwa sasa ataongoza zaidi ya miaka 3.

Tumwombee sana mama apewe hekima na busara za suleiman, kiburi cha dunia kimuepuke aaamin!
 
Nina wasiwasi mwisho wa tundu Lissu ukawa kama wa Malcom X ambapo historia inatuambia mbali na influence ya Malcom X katika jamii ya watu weusi huko america, Kifo cha Rais Kennedy kikamponza na kumpoteza kabisa.

Hivyo ni wakati viongozi wa chadema wakashuriwa vizuri, Hakuna haja ya kuprove point kwa wakati huu sababu kila kitu alichofanya marehemu kizuri na kibaya vinajulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…