Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Tundu hajawahi kupiga hela chafu kama afanyavyo JPM na makada wenzie
Ana hela ya kutulipa tuingie barabarani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana hela ya kutulipa tuingie barabarani?
Kule Bungeni CCM hukosa umakini kwa kuwa wabunge wake wengi huwa siyo chaguo la wapiga kura nafsi zinawasuta sana kwa vitendo vya kuiba kura ambavyo huwafanya kujutia madhambi yao mda mwingi badala ya kujenga hoja kuwaletea maendeleo jamii zaoKwa macho yangu nimeshuhudia mawakala wa upinzani wakati wa uchaguzi wa marudio wakipigwa na jeshi la polisi ili kusaini fomu fake za matukio. Kwa macho yangu niliona uchaguzi wa marudio hapo jimbo la Mtolea wakati wa uchaguzi wa marudio kupitia kituo cha ITV mabox ya kura yakitolewa kwenda kujazwa kura za ccm, na haya yalifanyika mbele ya polisi na afisa wa tume ya uchaguzi. Na hakuna hatua yoyote ilichukuliwa. Kwa macho yangu nilishudia msimamizi wa uchaguzi akifunga ofisi ili asipokee fomu ya mpinzani ili mgombea wa ccm apite bila kupingwa.
Hayo ni baadhi tu ya matendo yaliyofanyika mbele ya wapiga kura, na haya yalikuwa ni maagizo maalum. Baada ya ccm kunogewa na hali hiyo, uchaguzi wa SM ndio kukafanyika uhayawani wa wazi. Je kuendelea kukalia kimya ushenzi huo ni mpaka lini? Kwakuwa ccm mmeamua kuichezea amani, ngoja itumike njia itakayowafanya kuheshimu box la kura. Enough is enough, hakuna mwananchi asiyejua ushenzi unaoendelea kwenye box la kura, ndio maana watu hawajitokezi kwenye upigaji kura.
Tusubili tuone ili tumshauri wakati ukifika...sasa akidhulumiwa na kuibiwa kura mnamshauri achukue hatua gani?
Kufanyiwa ubaya awali hukupa mbinu za kukabili ubaya unaokuja mbele, atafanya nini subiria wamuibie kura utaona atakachokifanyaHadi sasa Katiwa ulemavu na hakuna alichofanya ni sawa na kumuachia Mungu tu,sasa akiibiwa kura ndio atafanya nini na watanzania hawa wa Mange kimambi?
Kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani tayari ni kiashiria cha kuivuruga AmaniNani alikudanganya kwamba nchi hii iliwahi kuwa salama ?
Kwanini usiwashauri tume ya uchaguzi wasicheze na kura? Tatozo Ni wizi wa kura, Kama hakuna wizi wa kura automatically hakuna maandamanoHiyo ndio Kauli ya Mh Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye uchaguzi mkuu mwezi October 2020. Ataingiza watanzania barabarani ikiwa ataibiwa kura zake.
View attachment 1526711
My take: Ni mapema Sana kwa mgombea urais kutoa kauli Kama hii si kiashiria kizuri. Anataka kutuaminisha kuwa hata ikitokea ameshindwa kihalali tuamini kuwa kaibiwa kura ili atimize azima yake.
Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Kuwa na elimu duni hamkumfazi mtu awe mbumbumbu wa mantiki.So mkuu unataka akiibiwa kira aende akalale zake home?
Mkiambiwa umatanga wenu umesababishwa na elimu duni mnasema mmetukanwa.
Huyu mdau mbona mbinafsi sana, badala aseme "ataingia na wanachi barabarani" yeye anasema "atawaingiza wananchi barabarani". Au hajasema yeye atakuwa wapi muda ambao wanachi atawaingiza barabarani ?
Lowasa alishinda 2015 lakini wakafanya kubadilishana Tumeccm ikachukua kura za lowasa ikamtangazia Magufuli na zile kura za magufuli alitangaziwa Lowasa
Unao ushahidi kuonyesha kuna watu wanapanga kumuibia kura ?..na wanaopanga kumuibia kura na kumdhulumu wao siyo wabinafsi?
..tujielekeze ku-deal na watu waliounajisi mfumo wetu wa uchaguzi kiasi kwamba vyama vya upinzani havina imani nao.
Nakufeel nikikuona kwenye baadhi ya threads, japo hatujuani. Ila haya mambo ya siasa, my dear one's unaniangushaKauli za mfa maji. Yeye ajiandae kuipatia ruzuku ya kutosha CDM. Nani aandamane kuhatarisha uhai wake kisa ulaji wa kikundi cha watu flani.
Nilipoona jana wanabadili Tunu yetu ya taifa, utambulisho wetu wa Taifa yaani wanageuza maneno ya Wimbo wa Taifa kwa kuweka maneno ya chama chao, nikajua hapa hawa hawana nia njema na watanzania. Wana ushari. Na wanachokitafuta watakipata.Uongozi wa CHADEMA umshauri huyu mgombea kauli hizi hazifai kwa usalama wa nchi yetu.
Huu ndio ujinga tunao upinga siku zote huu, mambo ya ajabu ajabu tu kila wakati hivi mnadhani watanzania ni wajinga kiasi hicho.Lowasa alishinda 2015 lakini wakafanya kubadilishana Tumeccm ikachukua kura za lowasa ikamtangazia Magufuli na zile kura za magufuli alitangaziwa Lowasa
Unao ushahidi kuonyesha kuna watu wanapanga kumuibia kura ?
Kwa hivyo tu mkuu hata Tanzania tunaweza kumchimba mkwara US.Kufanyiwa ubaya awali hukupa mbinu za kukabili ubaya unaokuja mbele, atafanya nini subiria wamuibie kura utaona atakachokifanya