Katibu wake alishiriki kwenye majadiliano kuhalalisha kanuni na maadili ya uchaguzi. Muhimu ni kujiandaa kisaikolojia kila mtu anaona uchokozi wa Lissu.
Haya yako; na lile jibwa la kakonkoLissu kwenye kichwa chake amesha shinda tayari. Kwa ivyo asiposhinda amezulumiwa tu.
The guy needs help
mkuu acha kupoteza muda kujibu hizo ndondochaCCM kuna vilaza wengi sana, muda wa kampeni bado we kilaza.
Lissu kwenye kichwa chake amesha shinda tayari. Kwa ivyo asiposhinda amezulumiwa tu.
The guy needs help
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
IGP akuzungumzia mambo ya tume yeye alimpa salamu tu ata wao wamepewa kanuni...IGP amekosea kutoa statement ile.
..waliotakiwa kumjibu TL ni tume ya uchaguzi ya taifa.
..TL amezungumzia matukio ya wapinzani kudhulumiwa ushindi na haki zao wakati wa uchaguzi.
..IGP anakosea kuwatishia watu wanaolalamika kuibiwa na kudhulumiwa.
..badala ya kuwatisha, IGP alitakiwa amhakikishie TL na wenzake kwamba jeshi lake litafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa HAKI za vyama vyote zinalindwa.
Hakuna nchi duniani ina Amiri Jeshi Mkuu mropokaji kama Tundu Lissu. Kama unabisha, nipe mfano mmoja.Huyu jamaa anafaa kuwa amiri Jeshi mkuu wa majeshi , tumekuelewa raisi mtarajiwa
Nanyi wimbo wa corona hauwaishi vinywani mwenuNdio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
Kama kweli wanamtishia Tena kumuua sio fair.
Ila na yeye awe mkweli na maneno yake anayozungumza hizo ni Kauli nzito.
Ila kwa ccm suala la kupanga kumuua linawezekana.
Acheni huo mpango sio mzuri
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
Si ukamsikilize mwenyewe yaani uchaguzi ni wake kushinda vinginevyo lazima hujuma imeusika.Haya yako; na lile jibwa la kakonko
Hakuna nchi duniani ina Amiri Jeshi Mkuu mropokaji kama Tundu Lissu. Kama unabisha, nipe mfano mmoja.
TUKUTANE OKTOBA 28!
Sijasikia akisema atawafanyia nini watanzania. Lissu sio mtu sahihi kupambana na Magufuli. Magufuli alihitaji mtu kama lowassa wa 2015.
Sio kweli. Hizo ni hisia zako tu. Wewe ni mdada? 🤣 🤣Si ukamsikilize mwenyewe yaani uchaguzi ni wake kushinda vinginevyo lazima hujuma imeusika.
Huyu mtu Mungu alimnusuru kuuawa kwa mpango maalum , si bure .
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
IGP akuzungumzia mambo ya tume yeye alimpa salamu tu ata wao wamepewa kanuni.
Yeye katoa onyo kwa upande wa majukumu yao tu sio kwa Lissu bali wote maneno ya kushawishi vitendo vya uvunjifu wa sheria hayatovumiliwa. Ata hiyo mikutano yake kwa sasa ni busara tu wanamuacha.
Ameonywa jana tu leo anatumia maneno yale yale na kuendelea na mikutano kama vile the anarchist he is.
Hivi ata unasikiliza speech zake yeye anataka umati wote kwenye ukumbi alimokua anaongea kesho wamsindikize mgombea wao kuchukua form na wakizinguliwa wakinukushe hapohapo.Sio kweli, na iwapo atashindwa kweli hakuna atakayemuunga mkono kwenye uvunjifu wa amani. Na ifahamike wazi tuko katika hali ya kutokuaminiana kwasababu tume sio huru ya uchaguzi.