Katibu wake alishiriki kwenye majadiliano kuhalalisha kanuni na maadili ya uchaguzi. Muhimu ni kujiandaa kisaikolojia kila mtu anaona uchokozi wa Lissu.
..usipotoshe.
..wakurugenzi waokimbia ofisi zao ili wasiwape wagombea wa upinzani fomu zake wanafuata kanuni na maadili gani?