Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Nimepokea vitisho vya kuuawa. Wanachama wawasindikize wagombea Ubunge na Udiwani kuchukua fomu NEC

Kama ni sumu hata upande wa pili hawapo salama, sumu zimezagaa kote nchini, ni suala la kumpata mercenary mmoja jasiri na mwaminifu ku execute,

Kama ilimfikia mangula who stay next to him ktk vikao vyao, yamkini ni mita chache tu ndio zilizobakia.
 
Lissu kwenye kichwa chake amesha shinda tayari. Kwa ivyo asiposhinda amezulumiwa tu.

The guy needs help

Sio kweli, na iwapo atashindwa kweli hakuna atakayemuunga mkono kwenye uvunjifu wa amani. Na ifahamike wazi tuko katika hali ya kutokuaminiana kwasababu tume sio huru ya uchaguzi.
 
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...

Anajidanganya kuna taifa kubwa kama USA au China au Rassia? China na Russia sitii neno. Lakini USA balozi wake juzi kati akikabidhi hati zake za utambulisho ikulu ya magogoni. Kwanza katia barakoa mfukoni, khalafu kasema wao USA wanaamini Tanzania ni nchi ya kidemokrasia Afrika Mashariki.

Ndio USA walivyo maslahi ya nchi yao kwanza, na they (USA) never bet on a losing horse.
 
..IGP amekosea kutoa statement ile.

..waliotakiwa kumjibu TL ni tume ya uchaguzi ya taifa.

..TL amezungumzia matukio ya wapinzani kudhulumiwa ushindi na haki zao wakati wa uchaguzi.

..IGP anakosea kuwatishia watu wanaolalamika kuibiwa na kudhulumiwa.

..badala ya kuwatisha, IGP alitakiwa amhakikishie TL na wenzake kwamba jeshi lake litafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa HAKI za vyama vyote zinalindwa.
IGP akuzungumzia mambo ya tume yeye alimpa salamu tu ata wao wamepewa kanuni.

Yeye katoa onyo kwa upande wa majukumu yao tu sio kwa Lissu bali wote maneno ya kushawishi vitendo vya uvunjifu wa sheria hayatovumiliwa. Ata hiyo mikutano yake kwa sasa ni busara tu wanamuacha.

Ameonywa jana tu leo anatumia maneno yale yale na kuendelea na mikutano kama vile the anarchist he is.
 
Ndio sera zenu mwaka huu, nina risasi mguuni, mkono wa kushoto, nina risasi pajani. Hayo ndio anayohubiri tokea amefika, maana lisu bado mgonjwa anafanya nini jukwaani. Mnatafuta huruma ya wananchi, anataka tumuhurimie tumpe nchi.
Nanyi wimbo wa corona hauwaishi vinywani mwenu
 
Kama kweli wanamtishia Tena kumuua sio fair.
Ila na yeye awe mkweli na maneno yake anayozungumza hizo ni Kauli nzito.
Ila kwa ccm suala la kupanga kumuua linawezekana.
Acheni huo mpango sio mzuri

Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app

Anachosema ni kweli maana ccm imechoka kushindana, na kwao kushindwa haswa na Lisu ni kama kudhalilishwa, hivyo wako tayari kufanya lolote kuepuka aibu. Na njia pekee ni kumuua Lisu.
 
Haya majitu hata aibu hayana hivi hayajui tutayaona BBC na vyombo vya nnje yanavyopanga na kuratibu mauaji endeleeni tu , dunia nzima itawashuhudia.
 
Hujitambui
Lisu naweweseka sana, amepania sana kuwa rais , hata kwa damu za watanzania lazima hawe rais, yupo tayari kuongea lolote lile hili international media zimpe attention achafue nchi mataifa makubwa yamsaidie kumkabidhi nchi. He will never archive that...
 
IGP akuzungumzia mambo ya tume yeye alimpa salamu tu ata wao wamepewa kanuni.

Yeye katoa onyo kwa upande wa majukumu yao tu sio kwa Lissu bali wote maneno ya kushawishi vitendo vya uvunjifu wa sheria hayatovumiliwa. Ata hiyo mikutano yake kwa sasa ni busara tu wanamuacha.

Ameonywa jana tu leo anatumia maneno yale yale na kuendelea na mikutano kama vile the anarchist he is.

..kwanini IGP hawaonyi wakurugenzi wanaoharibu mchakato wa uchaguzi?

..tukiwa na wakurugenzi wanaotekeleza majukumu ya kwa HAKI hatutakuwa na wanasiasa wanaolalamika kama TL.

..TL ni matokeo tu ya tatizo, tushughulike na CHANZO ambacho ni tume ya uchaguzi isiyotenda haki.
 
Sio kweli, na iwapo atashindwa kweli hakuna atakayemuunga mkono kwenye uvunjifu wa amani. Na ifahamike wazi tuko katika hali ya kutokuaminiana kwasababu tume sio huru ya uchaguzi.
Hivi ata unasikiliza speech zake yeye anataka umati wote kwenye ukumbi alimokua anaongea kesho wamsindikize mgombea wao kuchukua form na wakizinguliwa wakinukushe hapohapo.

Wakati NEC washatoa maagizo hakuna kufunga ofisi wala kwenda vikao kila mtu apewe form.
 
Back
Top Bottom