Pre GE2025 Tundu Lissu: Ninakiri juu ya Dhambi ya kumleta Lowassa CHADEMA. Watanzania tumekusamehe, ubarikiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Unajua bajeti ya Kugombea Urais au Ubunge ambayo msajili amepitisha?(Gharama za kampeni).
Kupitisha budget ni jambo Moja, kupata pesa hiyo ni jambo lingine,

Mzee wa ubwabwa alikuwa na pesa kama ya Lowassa ,maana naye alikuwa candidate?
 
Una video ya Lisu kukiri kosa?

Mapema leo/ jana, nilianzisha uzi wenye maudhui ya Lowasa kuletwa CHADEMA na Lisu kukubaliana na kuletwa kwake.

Wapumbavu wachache wakanizodoa.

Voila! Kwenye mdahalo wao usiku, Lisu akaulizwa na kujibu kuhusu kile kile nilichokihoji awali!

 
Weka matako Yako chini sugua Kwa michanga kama unawashwa,

Mtu mungwana kakili kosa tumemuelewa wewe tuliza your buttocks.
 
Kupitisha budget ni jambo Moja, kupata pesa hiyo ni jambo lingine,

Mzee wa ubwabwa alikuwa na pesa kama ya Lowassa ,maana naye alikuwa candidate?

Waulize wagombea umuhimu wa Mpunga katika Kampeni ,kwahiyo ENL kuwa na pesa ya kampeni si dhambi maana chama hakina fedha ya kufanya kampeni nchi nzima na kama mgombea ana fedha si mbaya kuzitumia katika kampeni....Ungekuwa ushawahi kugombea hata mjumbe wa nyumba 10 ungejua umuhimu wa fedha katika kampeni...ulikuwa unataka kampeni manager na timu yake watoe fedha mifukoni mwao?
 
Sawa
 
Makasiriko ya wowote wivuuuuuu
 
Your browser is not able to display this video.
 

Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli
Your browser is not able to display this video.

.
 
Video Sina ila nimemsikia mm mwenyewe akiomba radhi juu ya DHAMBI ya kumleta Lowwassa CHADEMA alipokuwa akijibu swali aliloulizwa na Aloyce Nyanda kwenye Mdahalo Jana 🌟 tv.

Naamini U-tube video hiyo itakuwepo.
 
Pesa ni muhimu,

Na ni muhimu pesa hizo zikachangwa na wanachama na ikiwa ni pesa Toka mfukoni mwa mgombea, ni vyema tukajua alizipata vipi,

Isijekuwa aliuza bangi au alisaidiwa na wauza mihadarati Ili awarudishie apatapo uongozi.

Ni hayo tu .
 
Nachukua fursa hii kumsamehe TUNDU Lissu, na rasmi nampa nafasi ya kuongoza chama na Nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Similarly, tuchukue nafasi hii kumsamehe MBOWE kwa kufanya maridhiano na tumpe nafasi ya kuongoza chama na nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
 
Ni jambo gn hilo Lissu hataki kuongea kisa sio mropokaji? Au n lile swala la mbowe kuhusika kwenye ile ishu ya Dodoma?
Labda ni kuhusu uuzwaji wa bandari zetu na kuwafurusha wanasai ngorongoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…