Pre GE2025 Tundu Lissu: Ninakiri juu ya Dhambi ya kumleta Lowassa CHADEMA. Watanzania tumekusamehe, ubarikiwe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Similarly, tuchukue nafasi hii kumsamehe MBOWE kwa kufanya maridhiano na tumpe nafasi ya kuongoza chama na nchi ikimpendeza Mungu maana ni mkweli.
Lissu:Kusamehewa bila kitubio ni Haiwezekani. Akiri kosa kwanza.
 
Dr Slaa angekuwa amemleta Lowassa CHADEMA angeweza vipi kukikimbia chama tena mbele ya waandishi wa habari?.

Hawezi kujitetea kwa sasa akiwa huko mahabusu na Lissu anasema lolote ambalo anaamini litamjenga kimtazamo mbele ya wapiga kura na jamii nzima.
 
Maturity 💯
 
Lissu:Kusamehewa bila kitubio ni Haiwezekani. Akiri kosa kwanza.
Maridhiano yalipitishwa na kamati kuu Lisu akiwemo, endeleeni kudanganywa na Lisu ukweli mtaujuwa baadaye ni swala la muda tu.
 
Wengine walioshiriki wamewahi kukiri?
 
Maridhiano yalipitishwa na kamati kuu Lisu akiwemo, endeleeni kudanganywa na Lisu ukweli mtaujuwa baadaye ni swala la muda tu.
Ulizuka mzozo wa viongozi kuhoji kwanini Mbowe aende Ikulu bila kupata ridhaa ya chama?

Hapo ndipo tatizo lilipoanzia,

Mbowe kuridhiana na Samia hatua ya kwanza kabla ya chama kujulishwa
 
Kiukweli sasa,

Sina neno tena na TUNDU Lissu,

Nimemsamehe Bure, Abarikiwe!
Mlimuona Lowassa mkosefu sana mpaka kumleta Chadema kuwe ni kosa?

Msijipe mamlaka ya kuhukumu maana hata nyie mtahukumiwa.
 
Mlimuona Lowassa mkosefu sana mpaka kumleta Chadema kuwe ni kosa?

Msijipe mamlaka ya kuhukumu maana hata nyie mtahukumiwa.
Lowassa hakuwahi kukana Wala kukubali tuhuma za ufisadi, aliishia kusema, mwenye ushahidi aende mahakanani,

Sasa ikiwa Lissu amekubali kuwa, kumleta Lowwassa CDM ilikuwa dhambi, sasa kati Yako wewe na Lissu, nani ana ushahidi juu ya usafi au uchafu wa Lowassa kumzidi mwingine?
 
Ulizuka mzozo wa viongozi kuhoji kwanini Mbowe aende Ikulu bila kupata ridhaa ya chama?

Hapo ndipo tatizo lilipoanzia,

Mbowe kuridhiana na Samia hatua ya kwanza kabla ya chama kujulishwa
Mbowe haitaji ridhaa ya chama kwenda ikulu, Tundu Lisu hakuomba ridhaa ya chama kukutana na Samia Belgium, Mbowe hakuomba ridhaa ya chama kukaa jela miezi minane.

Acheni ukasuku, by the way Bawacha matokeo vipi? Naona kimya JF hakuna updates zozote.
 
Kama nyie mnajiona hamna dhambi kama Lowassa (Rip) basi ni jambo jema.
 
Lissu kudai pesa za matibabu ni jambo linalohitaji ridhaa ya vikao vya chama?

Yaani ukamatwe Kwa kuanzisha vuguvugu la kudai Katiba mpya Kisha ufungwe Kisha uhamishie madai ya Katiba mpya ndani ya Ikulu?
 
Actually Lisu alikuwa ni sampuli ya akina Ntobi tu kwenye maamuzi ya Mbowe!

Na kama asingegombea uenyekiti,basi angekuwa muimba mapambio wa Mbowe kwenye uchaguzi huu!
 
Kama nyie mnajiona hamna dhambi kama Lowassa (Rip) basi ni jambo jema.
Lissu ndiye aliyekuwa akimshambulia Lowassa kuwa ni fisadi na alidai kuwa na ushahidi.

Sasa wewe ulidhani Lowassa alikuwa Malaika asiyekosea?

By the way, mishahara wa waziri mkuu au waziri haiwezi kufanya kuwa tajiri kiasi kile, labda uniambie Kuna biashara ndani ya Serikali viongozi hufanya.

Tofauti na hapo, lazima alikuwa fisadi tu.
 
Baada ya miaka 10 kupita???
Time is a good teacher.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…